Kosa langu ni nini mpaka uniulize habari ya viloba? Nimewaletea hoja nzuri mujieleze vizuri unanirukia na kuniparua.
hoja zako hazijajibiwa kwa sababu huna hoja in the first place umetaja mlolongo wa matukio na kutumia hoja dhaifu zisizo na mashiko kuiusisha cdm na matukio hayo yaani kwa ufupi umetumia hoja za kitoto na sasa unataka nasi tushuke chini kufanyia kazi hoja zako za kitoto please grow up
si mfanye uchnguzi? ugumu ukowapi..polis wenu..usalama wenu..na cdm wamewapa alternatv kuunda tume ya majaji kuchnguza mbona mnasita?? tafakari.
Wanajamvi nimefuatilia
kwa mda mrefu siasa za chadema na kubaini kuwa kimekuwa ni chama cha
matukio yakiwemo ya kuandamana,milipuko,misiba,kuanguka kwa
majengo,kutoka bungeni,matokeo ya mitihani nk.
hali hii inaonesha wazi kwamba chadema hakina hoja kama matukio
yatakoma,ndiyo maana wamekuwa wakiandaa matukio ili wapate la kusema
katika jamii ,je kama matukio yatakoma na chadema kitakoma?
Wewe utakuwa ni mwehu,hivi matukio yote uliyoyataja hapo yameandaliwa na CHADEMA? CDM ndiyo wanaandaa milipuko kama ni hivyo kwa nini hadi leo hakuna kiongozi au mwanachama wa CDM aliyekamatwa kwa mlipuko wowote uwe wa Olasiti, Soweto au ule wa Ubungo? yaani kwa akili yako CDM ndiyo wanafelisha watoto wetu wakiwemo na wa kwao ili tu wapate umaarufu.Wanajamvi nimefuatilia kwa mda mrefu siasa za chadema na kubaini kuwa kimekuwa ni chama cha matukio yakiwemo ya kuandamana,milipuko,misiba,kuanguka kwa majengo,kutoka bungeni,matokeo ya mitihani nk.
hali hii inaonesha wazi kwamba chadema hakina hoja kama matukio yatakoma,ndiyo maana wamekuwa wakiandaa matukio ili wapate la kusema katika jamii ,je kama matukio yatakoma na chadema kitakoma?
Hivi kwanini CHADEMD hakikufutwa na jaji Tendwa?
Kosa kubwa katika utumishi wa jaji Tendwa ni kukiacha chama chenye kuvunja sheria kiendelee kufanya siasa.
Wanajamvi nimefuatilia kwa mda mrefu siasa za chadema na kubaini kuwa kimekuwa ni chama cha matukio yakiwemo ya kuandamana,milipuko,misiba,kuanguka kwa majengo,kutoka bungeni,matokeo ya mitihani nk.
hali hii inaonesha wazi kwamba chadema hakina hoja kama matukio yatakoma,ndiyo maana wamekuwa wakiandaa matukio ili wapate la kusema katika jamii ,je kama matukio yatakoma na chadema kitakoma?
Wanajamvi nimefuatilia kwa mda mrefu siasa za chadema na kubaini kuwa kimekuwa ni chama cha matukio yakiwemo ya kuandamana,milipuko,misiba,kuanguka kwa majengo,kutoka bungeni,matokeo ya mitihani nk.
hali hii inaonesha wazi kwamba chadema hakina hoja kama matukio yatakoma,ndiyo maana wamekuwa wakiandaa matukio ili wapate la kusema katika jamii ,je kama matukio yatakoma na chadema kitakoma?
Chadema chama imara sana
"Nchi ngumu hii"