CHADEMA INAJITENGENEZEA MATUKIO ILI KUJITANGAZA KISIASA!.
~Tukio la bomu Arusha.
Askari aliyevaa nguo ya jeshi aja na gari ya polisi na kurusha bomu kwenye mkutano wa chadema kweupe na kukimbia. Haraka sana Chadema walaani tukio lile hata kabla ya kuzika na kutangaza kuwa wanaushahidi wa nani amefanya.!!!
~Dar es salaam Bomu laripuka bahati mbaya mbele ya mbunge wa chadema mh Mnyika!!!.
~Matukio ya wabunge wao bungeni ya mtindo wa kulianzisha na kuteka vyombo vya habari kwa hoja ya kuonewa na Spika kutetea maliasili za watanzania!!!
~Mauaji ya Daudi Mwangosi yaliotekelezwa na polisi mbele ya wananchi. Kitu chenye ncha kali chatua tumboni mwa marehemu Mwangosi baada ya hapo mkanda watolewa ukionyesha nani muuaji na kugeuka mtaji wa chama kuomba misaada ulaya kwahoja ya kuonewa.
Few to mention.
Jamani nahisi kizunguzungu. Hivi hawa polisi ni wajinga kiasi hiki au kuna jambo hapa?
Nitoeni kizungumkuti mwenzenu kwahoja sio mapovu.[/QUOTE
We Mama sijui dada or whatever inasikitisha kuona unaandika hoja za kishoga namna hii halafu unasema wakujibu kwa hoja na si povu
Povu umeliandika wewe ndio maana unajistukia kama mtu aneoga nje,unadai na haiingii akilini kama kweli unaakili timamu kujidai kwamba hata ukweli unaukataa sababu ya kutetea ujinga,ndio maana kuna thread iliandikwa kwamba wasomi wa Tanzania hawauziki na hawawezi kifanya kazi nje ya nchi i think u are among them
Bomu la Dar polisi wenyewe walikiri kwamba ni kweli bomu lililipuka lakini kwa bahati mbaya inashangaza kuna wapumbavu wanasema chadema wanajitengenezea matukio kwa hiyo ni wao walioingia kwenye gari la Policcm wakalipua bomu ili watangaz,utasoma mwandishi ana akili au makamasi kichwani,acha kuandika kikomo cha upumbavu wako humu kama haujui ni vizuri ukatulia unajishusha uonekane kama kituko tu
Bomu la Arusha ccm na serikali wameambiwa wauunde tume ya kimahakama wapewe Ushahidi wanaogopa nini kama si wao waunde wapewe ushahidi,hauwezi kumpa ushahidi mtu unaemtuhumu kwamba amekulipua kwa bomu ambao ni Policcm kuwapa ushahidi wako ni kuupoteza
Unapoandika ujinga humu hebu kana kwamba Policcm hawajakiri kwamba bomu lililipuka bahati mbaya Mnyika akiwa karibu ,na bomu la Arusha waunde tume hawataki,sasa ni tukio gani walilotengeneza kujitangaza kama sio mtu anafikiri kwa kutumia MA------?
Acheni ushabiki na hoja zisizo na maana badala yake tuje na hoja za msingi zisizo na ushabiki wa kipumbavu usio na tija na wewe mwandishi unaonekana boya