CHADEMA inajitengenezea matukio ili kujitangaza kisiasa.

CHADEMA inajitengenezea matukio ili kujitangaza kisiasa.

Limeisha tukio la tozo za simu. Ngoja tusubiri tuko jingine
 
Ukitaka kujua CHADEMA ni Chama cha namna gani, muulize, Nape, Mwigulu, HAMY-D,RIZT na wengineo, waulize wana A-town 4-0, na badp Sombetini mwisho wa maneno 2015.



Si umemsikia Tendwa, kama kingekuwa chama ziii msingekuwa mnakitajakila post zenu. Mtu hujikuna pale anapowashwa. Si ulihudhuria kikao cha wana Iramba ambaye naye anataka kutengeneza matukio unayoyasema?
Matokeo ya wapiga kura 200 kati ya 2000 waliojiandikisha huku watu wakijazwa hofu ya kuwepo kwa vurugu na matumizi ya nguvu ya ziada kwenye kampeni vinaweza visiwe vipimo sahihi kudhihirisha CDM ni chama gani. Tusubiri 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwelekeo wa nani ni nani utaonekana wazi kwani hapa kila mtu atasimama kama yeye kunadi sera badala ya nguvu za chama kizima kwenye kata moja.
 
Matokeo ya wapiga kura 200 kati ya 2000 waliojiandikisha huku watu wakijazwa hofu ya kuwepo kwa vurugu na matumizi ya nguvu ya ziada kwenye kampeni vinaweza visiwe vipimo sahihi kudhihirisha CDM ni chama gani. Tusubiri 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwelekeo wa nani ni nani utaonekana wazi kwani hapa kila mtu atasimama kama yeye kunadi sera badala ya nguvu za chama kizima kwenye kata moja.


Sawa sawa tena ikiwezekana fufueni kipindi cha mchakato majimboni, muone cha moto
 
Ni kweli maana CCM wanasikika TBC kwa maisha bora kwa kila mtanzania
 
Nenda field ukaone vijana wanavyowachakaza magamba,nyie kaeni mkihubiri kwenye keyboard!!!
 
Mtoa mada yupo sahihi,vyama vingi hujitutumia pale jambo linapotoke ndio kelele yanapoanza.tuelezieni sera zenu ni nini!
 
Wanajamvi nimefuatilia kwa mda mrefu siasa za chadema na kubaini kuwa kimekuwa ni chama cha matukio yakiwemo ya kuandamana,milipuko,misiba,kuanguka kwa majengo,kutoka bungeni,matokeo ya mitihani nk.

hali hii inaonesha wazi kwamba chadema hakina hoja kama matukio yatakoma,ndiyo maana wamekuwa wakiandaa matukio ili wapate la kusema katika jamii ,je kama matukio yatakoma na chadema kitakoma?

pole sana wewe mwenye fikra hizo ila ukimaliza nenda kachukue chako pale lumumba kwani ndio wanao kuweka hapa mjini tu
 
Lengo lako kuu upate buku 7 hoja huna.
 
Jamani katika watu wajinga na wanajaza uharo humu jamvini ni wewe nawenzio mnaojiita Lumumba FC yaani magamba mnaosumbuliwa na utapiamlo/utumwa wa njaa.Yaani mnaandika ujinga,upuuzi na upinda muda wote.HIVI WEWE NA MWENZIO HAMY-D MNA AKILI TIMAMU KWELI? NINA MASHAKA NA UPEO WENU WA KUPAMBANUA MAMBO..KABISAAAA!! HAIWEZEKANI KILA MNACHOPOST NI UHARO.
 
Napenda mnavyo post wenyewe na ku comment wenyewe vilaza wa lumumba

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
CHADEMA waelewe kuwa watanzania wana jitambua na wana elewa mbinu zote za hila ambazo zimekuwa zinafanywa na CDM, hukumu ya CDM ipo jikoni 2015 itapakuliwa.

Subirini hiyo 2015 muumbuke kama mlivyoumbuka Arusha!
 
Chama chenyewe kilianzishwa kimatukiotukio tu. Hivi unajua kuwa wazo la kuanzisha Chadema lilianzia baa?

Hata kama wazo la kuanzishwa kwake lilianzia baa tatizo lako nini?

Kingekuwa chama cha hovyo kingewakosesha usingizi kiasi hicho?
 
Chamviga achana na buku 7, hazikusaidii kitu.vijana tuungane tuikomboe nchi toka kwa mkoloni mweusi ccm.
 
Wewe utakuwa ni mwehu,hivi matukio yote uliyoyataja hapo yameandaliwa na CHADEMA? CDM ndiyo wanaandaa milipuko kama ni hivyo kwa nini hadi leo hakuna kiongozi au mwanachama wa CDM aliyekamatwa kwa mlipuko wowote uwe wa Olasiti, Soweto au ule wa Ubungo? yaani kwa akili yako CDM ndiyo wanafelisha watoto wetu wakiwemo na wa kwao ili tu wapate umaarufu.
Ndugu jitahidi sana kuwa na akili ukiona akili yako haiko sawa kaa kimya sio kila unachokiwaza ukilete hapa JF unaweza kukaa tu ukawasimulia familia yako lakini sio kujivua nguo kama ulivyofanya sasa.
huo ndio ukweli,wanaandaa matukio kwa faida yao kisiasa,sasa We mdau hapo kama hulioni hili bs ukapimwe akili maana uhakika hauko sawa,
 
Mazingira wanayoyafanya kuingia ikulu ndio yatakayo watoa madarakani kwa kipindi kifupi kama watafanikiwa kuingia ikulu
 
Huyu chamviga nilifikiri ni great thinker kumbe ni mwehu...unatakiwa ukapimwe akili, maana wewe ni taahira , mwendawazimu, chizi, mwehu na mchumia tumbo.vijana dizaini zako ni mzigo kwa taifa.
 
Back
Top Bottom