Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Hawa ndiyo Chadema wazee wa Promo.
Utaishia hapo tu -- badala ya kujenga hoja. Si ungekwenda ITV kujenga hoja na mbele ya wazee wa kazi kuokoa aibu ya chama chako ya kukimbia mjadala?
Hawa ndiyo Chadema wazee wa Promo.
Kwenye red:
Nakuhakikishia ni wajinga sana, tena kwa kiwango kikubwa ambacho huwezi hata kufikiria. Wanakubali kuendeshwa na Mchemba badala ya uweledi wao.
Bomu la Arusha, kina Chagonja wamefikia wapi? Wameonyesha weledi gani kuwasaka wahusiko, hata kama ni CDM wenyewe? Kikubwa ni kubweteka tu kungojea ushahidi wa Mbowe -- kwani bila shaka wnaogopa kuendelea na uchunguzi wao kwa hofu kwamba hawajui Mbowe ana ushahidi gani. Wasije wakanasa mtegoni kichwa kichwa.
Polisi wetu ni just a bunch of useless nincompoops! Oh yes, ther are!!!!
CHADEMA INAJITENGENEZEA MATUKIO ILI KUJITANGAZA KISIASA.
~Tukio la bomu Arusha.
Askari aliyevaa nguo ya jeshi aja na gari ya polisi na kurusha bomu kwenye mkutano wa chadema kweupe na kukimbia. Haraka sana Chadema walaani tukio lile hata kabla ya kuzika na kutangaza kuwa wanaushahidi wa nani amefanya.!!!
~Dar es salaam Bomu laripuka bahati mbaya mbele ya mbunge wa chadema mh Mnyika!!!.
~Matukio ya wabunge wao bungeni ya mtindo wa kulianzisha na kuteka vyombo vya habari kwa hoja ya kuonewa na Spika kutetea maliasili za watanzania!!!
~Mauaji ya Daudi Mwangosi yaliotekelezwa na polisi mbele ya wananchi. Kitu chenye ncha kali chatua tumboni mwa marehemu Mwangosi baada ya hapo mkanda watolewa ukionyesha nani muuaji na kugeuka mtaji wa chama kuomba misaada ulaya kwahoja ya kuonewa.
Few to mention.
Jamani nahisi kizunguzungu. Hivi hawa polisi ni wajinga kiasi hiki au kuna jambo hapa?
Nitoeni kizungumkuti mwenzenu kwahoja sio mapovu.
CHAMVIGA, naona unashabikia matukio haya yanayosababishwa utawala usiozingatia sheria na haki, historia iko wazi kwa mwenye macho na masikio...uvumilivu una mwisho. Hebu angalia hizi picha hapa chini halafu ujaribu kutafakari athari za mwananchi kuchoka na kunyanyaswa na vyombo vya dola, iko siku na wao wataamua kujibu mapigo. Hawa polisi wanaopambana na wananchi katika hizi picha kuna wakati walidhani wako juu ya sheria kwani wanatekeleza uovu kwa kuwalinda wakubwa wao.
View attachment 104295 View attachment 104296
View attachment 104298View attachment 104297
Wewe si bure utakuwa na matatizo ya kufikiri na kuchanganua mambo, hivi baada ya tukio lile la ubungo yule mkuu wa Polisi alitoa maelezo gani kama sio maelezo ya kijinga, kwa nini mabomu ya polisi yalipuke kwenye mikutano ya CHADEMA na sio ya CCM. Kwa hiyo kwa ujinga wako bomu hilo la Ubungo mipango ya ulipuaji ilifanywa na MNYIKACHADEMA INAJITENGENEZEA MATUKIO ILI KUJITANGAZA KISIASA.
~Tukio la bomu Arusha.
Askari aliyevaa nguo ya jeshi aja na gari ya polisi na kurusha bomu kwenye mkutano wa chadema kweupe na kukimbia. Haraka sana Chadema walaani tukio lile hata kabla ya kuzika na kutangaza kuwa wanaushahidi wa nani amefanya.!!!
~Dar es salaam Bomu laripuka bahati mbaya mbele ya mbunge wa chadema mh Mnyika!!!.
~Matukio ya wabunge wao bungeni ya mtindo wa kulianzisha na kuteka vyombo vya habari kwa hoja ya kuonewa na Spika kutetea maliasili za watanzania!!!
~Mauaji ya Daudi Mwangosi yaliotekelezwa na polisi mbele ya wananchi. Kitu chenye ncha kali chatua tumboni mwa marehemu Mwangosi baada ya hapo mkanda watolewa ukionyesha nani muuaji na kugeuka mtaji wa chama kuomba misaada ulaya kwahoja ya kuonewa.
Few to mention.
Jamani nahisi kizunguzungu. Hivi hawa polisi ni wajinga kiasi hiki au kuna jambo hapa?
Nitoeni kizungumkuti mwenzenu kwahoja sio mapovu.
Naendelea kukuambia wewe ni Mburura uliyepitiliza kumbuka kauli ya Kikwete Dodoma alisema kwa sasa CCM tuache kutegemea Polisi tujizatiti wenyewe alikuwa anamaanisha nini? na baada ya hapo nini kilitokea? na kauli ya Pinda unaipa nafasi gani? kwa maswali hayo ukipata majibu utajua ni nani anayewatumia Polisi au ukiona umekosa majibu kamuulize MWIGULU atakuambia.Hoja yangu mnaikimbia. Hamtaki kujadili na kujibu kile ninachoamini na kufikiri mimi na mwingine kuwa haya matukio ya polisi na chadema yanamaswali mengi kuliko majibu. Kwanini kila siku polisi polisi. Nani anawatumia hawa polisi?
HAMY-D, thatha, chama, bungeni. Na makamanda wote njoeni huku tusaidiane jamani ni kivipi haya ya polisi na katika style hii?
Wewe si bure utakuwa na matatizo ya kufikiri na kuchanganua mambo, hivi baada ya tukio lile la ubungo yule mkuu wa Polisi alitoa maelezo gani kama sio maelezo ya kijinga, kwa nini mabomu ya polisi yalipuke kwenye mikutano ya CHADEMA na sio ya CCM. Kwa hiyo kwa ujinga wako bomu hilo la Ubungo mipango ya ulipuaji ilifanywa na MNYIKA
Naendelea kukuambia wewe ni Mburura uliyepitiliza kumbuka kauli ya Kikwete Dodoma alisema kwa sasa CCM tuache kutegemea Polisi tujizatiti wenyewe alikuwa anamaanisha nini? na baada ya hapo nini kilitokea? na kauli ya Pinda unaipa nafasi gani? kwa maswali hayo ukipata majibu utajua ni nani anayewatumia Polisi au ukiona umekosa majibu kamuulize MWIGULU atakuambia.
Kosa langu ni nini mpaka uniulize habari ya viloba? Nimewaletea hoja nzuri mujieleze vizuri unanirukia na kuniparua.
CHADEMA INAJITENGENEZEA MATUKIO ILI KUJITANGAZA KISIASA!.
~Tukio la bomu Arusha.
Askari aliyevaa nguo ya jeshi aja na gari ya polisi na kurusha bomu kwenye mkutano wa chadema kweupe na kukimbia. Haraka sana Chadema walaani tukio lile hata kabla ya kuzika na kutangaza kuwa wanaushahidi wa nani amefanya.!!!
~Dar es salaam Bomu laripuka bahati mbaya mbele ya mbunge wa chadema mh Mnyika!!!.
~Matukio ya wabunge wao bungeni ya mtindo wa kulianzisha na kuteka vyombo vya habari kwa hoja ya kuonewa na Spika kutetea maliasili za watanzania!!!
~Mauaji ya Daudi Mwangosi yaliotekelezwa na polisi mbele ya wananchi. Kitu chenye ncha kali chatua tumboni mwa marehemu Mwangosi baada ya hapo mkanda watolewa ukionyesha nani muuaji na kugeuka mtaji wa chama kuomba misaada ulaya kwahoja ya kuonewa.
Few to mention.
Jamani nahisi kizunguzungu. Hivi hawa polisi ni wajinga kiasi hiki au kuna jambo hapa?
Nitoeni kizungumkuti mwenzenu kwahoja sio mapovu.
Kupuuzwa kwa matukio haya na mh Jk ambaye ni raisi wa watu, mtu wa watu, mwenye upendo, msikilizaji na mvumilivu sana kuna alama ya kuuliza pia. Iweje mh asithubutu hata kuwazungumza mdomoni mwake wanaodhaniwa kuwa ni wahujumu wa usalama wa taifa letu. Raisi amesikika akisema mtu asietaka kushiriki nasi kuijadili na kuilinda amani ya nchi yetu tuna wasiwasi nae. Akimaanisha huyo ndio mwenyewe anaehujumu amani ya taifa letu, rejea kongamano la amani uwanja wa taifa la mwaka huu. Lakini ni kwanini mh anaagizi kushughulikiwa wahujumu hawa bila mafanikio? Au ndio uchunguzi haujaisha!Undeni tume ichunguze kisha watatuambia kuwa CDM walijilipua, sio mnaleta FBI fake na kulazimisha policcm wapewe ushahidi.
Mbinu za kitoto kweli wanazotumia wameua watu wameona haiwasaidii wanatunga visa sasa .
si mfanye uchnguzi? ugumu ukowapi..polis wenu..usalama wenu..na cdm wamewapa alternatv kuunda tume ya majaji kuchnguza mbona mnasita?? tafakari.Mbinu za kitoto kweli wanazotumia wameua watu wameona haiwasaidii wanatunga visa sasa .
kama kweli haiwasaidii mbona Arusha,shnynga,morogoro kata wamechukua? nivyema tuwe objective. mbona hadi leo hii hao polisi unaowatetea wameshndwa kuja na majibu ya kiuchunguz ya tuhma hzo, jibu ni rahsi tu..wanatumiwa kisiasa na ccm na hawawez kuwachngza wanaojituma.