Uchaguzi 2020 CHADEMA inahitaji kuwezeshwa kifedha maana tofauti na CCM inayotumia rasilimali za Serikali kufanya kampeni haina pa kushika

Zile pesa za kina Lijualikali kumbe kweli zilipigwa
Nimeona wachache wakibeza CHADEMA kuchangisha fedha kwenye mikutano yake ya kampeni sidhani ikiwa wako makini.

Ila ukweli ni kwamba watu wote wanaopenda mabadiliko ya kweli ambayo kwa hakika kwa kipindi hiki anayeweza kuyaleta ni Tundu Lissu pekee.

Wala siyo Magufuli kwa maana tumekwisha muona kwa miaka 5 yote na bado ameendelea kuahidi yaleyale ambayo kwayo maisha ya watu yamekuwa magumu na haki ya kuishi na uhuru wa kuongea ukiminywa ili yeye pekee aonekane mbele ya wananchi.

Wala siyo Membe maana ana kila elements za CCM

Wala siyo Lipumba maana ni mamluki.

SASA WEWE USIPOMCHANGIA LISSU NA CHADEMA WADHANI FEDHA ZA KAMPENI ZITATOKA WAPI? NAWASIHI NDUGU ZANGU WAPENDA HAKI TUICHANGIE CHADEMA ILI TUNDU LISSU AWEZE KUWAFIKIA WAPIGA KURA WENGI ZAIDI.

MWISHO NAWAOMBA CHADEMA MUWEKE NA ACCOUNT YA BENKI ILI TULIO NJE YA NCHI NASI TUCHANGIE

NI HAYO TU, USIKU MWEMA
 
Bavicha huwa wanatamba Mbowe ni tajiri tangu enzi za Nyerere lakini kila unapofika uchaguzi Chadema huwa hoi sana kipesa kwenye kampeni!!

Mfano uzinduzi wa kampeni leo ni hovyo kabisa na ni dhahiri chadema hawana pesa.

Je utajiri wa Mbowe una manufaa gani kwa Chadema??

Maelezo yako ni tatizo la elimu bila maarifa hupaswi kulaumiwa utaekewa taratibu
 
Bavicha huwa wanatamba Mbowe ni tajiri tangu enzi za Nyerere lakini kila unapofika uchaguzi Chadema huwa hoi sana kipesa kwenye kampeni!!

Mfano uzinduzi wa kampeni leo ni hovyo kabisa na ni dhahiri chadema hawana pesa.

Je utajiri wa Mbowe una manufaa gani kwa Chadema??
Mlivyotumia vyombo vyenu vya dola kumfilisi unadhani watanzania tumesahau?
 
Bwashee HATUTACHANGA PESA, mmezoea kila uchaguzi kusingizia hamna pesa ili mtukamue. Safari hii tunasikiliza sera alafu tunasepa, HATUTACHANGA

Hamjaambiwa ninyi wa ccm mchango huu ni kwa ajili ya wana chadema na wanaopenda mabadiliko ww tulia hivyo hivyo
 
Nimeona wachache wakibeza CHADEMA kuchangisha fedha kwenye mikutano yake ya kampeni sidhani ikiwa wako makini.

Ila ukweli ni kwamba watu wote wanaopenda mabadiliko ya kweli ambayo kwa hakika kwa kipindi hiki anayeweza kuyaleta ni Tundu Lissu pekee.

Wala siyo Magufuli kwa maana tumekwisha muona kwa miaka 5 yote na bado ameendelea kuahidi yaleyale ambayo kwayo maisha ya watu yamekuwa magumu na haki ya kuishi na uhuru wa kuongea ukiminywa ili yeye pekee aonekane mbele ya wananchi.

Wala siyo Membe maana ana kila elements za CCM

Wala siyo Lipumba maana ni mamluki.

SASA WEWE USIPOMCHANGIA LISSU NA CHADEMA WADHANI FEDHA ZA KAMPENI ZITATOKA WAPI? NAWASIHI NDUGU ZANGU WAPENDA HAKI TUICHANGIE CHADEMA ILI TUNDU LISSU AWEZE KUWAFIKIA WAPIGA KURA WENGI ZAIDI.

MWISHO NAWAOMBA CHADEMA MUWEKE NA ACCOUNT YA BENKI ILI TULIO NJE YA NCHI NASI TUCHANGIE

NI HAYO TU, USIKU MWEMA
Zile walizokuwa wanakatwa wabunge ziko wapi? Hizo si ndio zilikuwa na lengo hilo au?
Wanapanga mipango kisha wanashindwa kuitekeleza
Sasa wakipewa nchi tutavugana tu
 
Back
Top Bottom