CreativityCode
Senior Member
- Aug 8, 2020
- 158
- 653
Watu wanachanga pesa hatariiiiiiii nami pia nitaunga mkonoBwashee HATUTACHANGA PESA, mmezoea kila uchaguzi kusingizia hamna pesa ili mtukamue. Safari hii tunasikiliza sera alafu tunasepa, HATUTACHANGA
Ccm tunaumia mioyo tukiona mnachangiwa , subirini tuwambikie kesi, tuseme hizo pesa hazijalipiwa kodiWatu wanachanga pesa hatariiiiiiii nami pia nitaunga mkono
Watu gani hao wakati Mbowe na Lissu wanalia njaa tu ?Watu wanachanga pesa hatariiiiiiii nami pia nitaunga mkono
Mkuu wanaojua yaliyotendwa na jpm kwa wapinzani kwa miaka mitano, tutawachangia.we kalaleHela za ruzuku
Hela za michango ya wabunge kila mwezi
Hela sa uanachama
Hela za wahisani
zote zimeenda wapi mpaka mnaomba michango sasa. Hivi miaka yote 5 tulikua tunajipanga kweli au tulitegemea kupata mgombea tajiri tena
waliyotendewa ina uhusiano gani na fedha za ruzuku michango ya wabunge etc? maana hata hela za Matibabu ya Lisu ni sisi tulichangiaMkuu wanaojua yaliyotendwa na jpm kwa wapinzani kwa miaka mitano, tutawachangia.we kalale
we kweli hamnazo, Trump mwenyewe na mabilioni yake anachangiwa itakuwa Mbowe??.Bavicha huwa wanatamba Mbowe ni tajiri tangu enzi za Nyerere lakini kila unapofika uchaguzi Chadema huwa hoi sana kipesa kwenye kampeni!!
Mfano uzinduzi wa kampeni leo ni hovyo kabisa na ni dhahiri chadema hawana pesa.
Je utajiri wa Mbowe una manufaa gani kwa Chadema??