CHADEMA inaanza kupotea kwenye ramani ya siasa

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,505
674
Yaani taratibu yaani hatua kwa hatua. Naona CHADEMA ya Dr slaa ndiyo ilikuwa kimkakati zaidi
Naona hii HADEMA ya lowasa imepoa kama barafu
Naona CHADEMA ya sasa imekuwa butu butu na imeshuka kiwango ka simba fc. Naona CHADEMA ya sasa inatafutiza kick kila kukicha lakini wapi
CHADEMA ya sasa inatetea uozo. Ufisadi ...ujinga

CHADEMA ya sasa imepoteza mvuto kwa wananchi wa hali ya chini ambao Ni weengi sana nchini
CHADEMA ya sasa imekumbatia mafisadi
CHADEMA ya sasa yaanza kufutika na kuelekea kwa akina TLP
CHADEMA ya Lowassa haijafanya maandamano

CHADEMA YA SASA HAIPENDI SERIKALI IFANYE MAAMUZI SAHIHI KUSUDI IPATE PA KUONEKANA LAKINI WAPI
CHADEMA YA SASA HAIPENDI WATU WAKWELI NA WASIOPENDA NA KUVUMILIA UFISADI KAMA JPM

CHADEMA ya Mbowe na Lowasa inatetea matajiri
CHADEMA ya Dr.Slaa ilikemea ufisadi hadharani lakini CHADEMA ya sasa inakemea ufisadi mafichoni
 
Mabadiliko kutoka kwenye siasa za harakati na kukaza shingo kuelekea kwenye siasa halisi ,mfumo yaani CHADEMACCM Academia
 
Yaani taratibu yaani hatua kwa hatua

Naona chadema ya Dr slaa ndiyo ilikuwa kimkakati zaidi

Naona hii chadema ya lowasa imepoa kama barafu

Naona chadema ya sasa imekuwa butu butu na imeshuka kiwango ka simba fc

Naona chadema ya sasa inatafutiza kick kila kukicha lakini wapi

Chadema ya sasa inatetea uozo. Ufisadi ...ujinga

Chadema ya sasa imepoteza mvuto kwa wananchi wa hali ya chini ambao Ni weengi sana nchini

Chadema ya sasa imekumbatia mafisadi

Chadema ya sasa yaanza kufutika na kuelekea kwa akina TLP

CHADEMA YA LOWASA HAIJAFANYA MAANDAMANO

CHADEMA YA SASA HAIPENDI SERIKALI IFANYE MAAMUZI SAHIHI KUSUDI IPATE PA KUONEKANA LAKINI WAPI

CHADEMA YA SASA HAIPENDI WATU WAKWELI NA WASIOPENDA NA KUVUMILIA UFISADI KAMA jpm

Chadema ya mbowe na lowasa inatetea matajiri

Chadema ya slaa ilikemea ufisadi hadharani lakini chadema ya sasa inakemea ufisadi mafichoni
Kachukue bk 7, Lumumba ukapate supu ......maana naona umeamka nazo ...
 
Kweli mwaka huu CCM ipo juu milinga kaja na hoja ya beby, mwingine anataka kulia bungeni, mwingine wabunge wa upinzani wana sura mbaya, vijana wa CCM acheni kunywa kitwanga lagar
 
yes ni kweli CHADEMA inakumbatia mafisadi ndiyomaana hatutaki bunge liwe live na mijadala yetu bungeni ni kuhalalisha bangi, kuwa na uchungu bunge lisiwe live, kumuenzi diamond kwa kumtengenezea sanamu maalum pia kuingia bungeni tukiwa tumelewa chakari.
1464417397998.jpg

Hilo jamaa likitoka hapo linaweza kuua raia mwema na kuacha jambazi....... Ndo serekali hii
 
Back
Top Bottom