CHADEMA inaanza kupotea kwenye ramani ya siasa

Yaani taratibu yaani hatua kwa hatua. Naona CHADEMA ya Dr slaa ndiyo ilikuwa kimkakati zaidi[emoji13]
Naona hii HADEMA ya lowasa imepoa kama barafu [emoji14]
Naona CHADEMA ya sasa imekuwa butu butu na imeshuka kiwango ka simba fc[emoji2]. Naona CHADEMA ya sasa inatafutiza kick kila kukicha lakini wapi[emoji23]
CHADEMA ya sasa inatetea uozo. Ufisadi ...ujinga[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]

CHADEMA ya sasa imepoteza mvuto kwa wananchi wa hali ya chini ambao Ni weengi sana nchini[emoji35]
CHADEMA ya sasa imekumbatia mafisadi[emoji28]
CHADEMA ya sasa yaanza kufutika na kuelekea kwa akina TLP[emoji23]
CHADEMA ya Lowassa haijafanya maandamano [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

CHADEMA YA SASA HAIPENDI SERIKALI IFANYE MAAMUZI SAHIHI KUSUDI IPATE PA KUONEKANA LAKINI WAPI[emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji29]
CHADEMA YA SASA HAIPENDI WATU WAKWELI NA WASIOPENDA NA KUVUMILIA UFISADI KAMA JPM[emoji81]

CHADEMA ya Mbowe na Lowasa inatetea matajiri [emoji38]
CHADEMA ya Dr.Slaa ilikemea ufisadi hadharani lakini CHADEMA ya sasa inakemea ufisadi mafichoni [emoji28] [emoji28] [emoji28]

utapotea wewe na mmeo, chadema mwendo mdundo
 
CHADEMA ya sasa inaongoza jiji la Dar CHADEMA ya sasa inaongoza jiji la Mbeya CHADEMA ya sasa inaongoza jiji la Arusha CHADEMA ya sasa inaongoza halmashauri nyingi zaidi CHADEMA ya sasa ina wabunge wa kuchaguliwa 12 zaidi ya ile CHADEMA ya awali CHADEMA ya sasa ina madiwani wengi zaidi kuliko ile ya 2010 CHADEMA ya sasa haipangi tena mikakati sana ya kuishauri serikali bali mikakati ya kuwatumikia wananchi katika sehemu wanazoziongoza. Sijui niendeleee
 
Yaani taratibu yaani hatua kwa hatua. Naona CHADEMA ya Dr slaa ndiyo ilikuwa kimkakati zaidi[emoji13]
Naona hii HADEMA ya lowasa imepoa kama barafu [emoji14]
Naona CHADEMA ya sasa imekuwa butu butu na imeshuka kiwango ka simba fc[emoji2]. Naona CHADEMA ya sasa inatafutiza kick kila kukicha lakini wapi[emoji23]
CHADEMA ya sasa inatetea uozo. Ufisadi ...ujinga[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]

CHADEMA ya sasa imepoteza mvuto kwa wananchi wa hali ya chini ambao Ni weengi sana nchini[emoji35]
CHADEMA ya sasa imekumbatia mafisadi[emoji28]
CHADEMA ya sasa yaanza kufutika na kuelekea kwa akina TLP[emoji23]
CHADEMA ya Lowassa haijafanya maandamano [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

CHADEMA YA SASA HAIPENDI SERIKALI IFANYE MAAMUZI SAHIHI KUSUDI IPATE PA KUONEKANA LAKINI WAPI[emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji29]
CHADEMA YA SASA HAIPENDI WATU WAKWELI NA WASIOPENDA NA KUVUMILIA UFISADI KAMA JPM[emoji81]

CHADEMA ya Mbowe na Lowasa inatetea matajiri [emoji38]
CHADEMA ya Dr.Slaa ilikemea ufisadi hadharani lakini CHADEMA ya sasa inakemea ufisadi mafichoni [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sahau, Miaka 1000, Chadema ndio kielelezo cha siasa halisi za upinzani Tanzania, pia ndio chama mbadala Tanzania.
 
Yaani taratibu yaani hatua kwa hatua. Naona CHADEMA ya Dr slaa ndiyo ilikuwa kimkakati zaidi[emoji13]
Naona hii HADEMA ya lowasa imepoa kama barafu [emoji14]
Naona CHADEMA ya sasa imekuwa butu butu na imeshuka kiwango ka simba fc[emoji2]. Naona CHADEMA ya sasa inatafutiza kick kila kukicha lakini wapi[emoji23]
CHADEMA ya sasa inatetea uozo. Ufisadi ...ujinga[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]

CHADEMA ya sasa imepoteza mvuto kwa wananchi wa hali ya chini ambao Ni weengi sana nchini[emoji35]
CHADEMA ya sasa imekumbatia mafisadi[emoji28]
CHADEMA ya sasa yaanza kufutika na kuelekea kwa akina TLP[emoji23]
CHADEMA ya Lowassa haijafanya maandamano [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

CHADEMA YA SASA HAIPENDI SERIKALI IFANYE MAAMUZI SAHIHI KUSUDI IPATE PA KUONEKANA LAKINI WAPI[emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji29]
CHADEMA YA SASA HAIPENDI WATU WAKWELI NA WASIOPENDA NA KUVUMILIA UFISADI KAMA JPM[emoji81]

CHADEMA ya Mbowe na Lowasa inatetea matajiri [emoji38]
CHADEMA ya Dr.Slaa ilikemea ufisadi hadharani lakini CHADEMA ya sasa inakemea ufisadi mafichoni [emoji28] [emoji28] [emoji28]

samahani lakini,
ivi ktk watu walio na hali ya ubin-adamu na wewe umo??au uko ktk hali ya walio ktk msukule?
sidhani kama mtu halisi aweza jivunia haya uliyo weka kwenye bandiko lako
poor man zero mind poor arguments
 
Dawa imekuingiaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Yaani taratibu yaani hatua kwa hatua. Naona CHADEMA ya Dr slaa ndiyo ilikuwa kimkakati zaidi[emoji13]
Naona hii HADEMA ya lowasa imepoa kama barafu [emoji14]
Naona CHADEMA ya sasa imekuwa butu butu na imeshuka kiwango ka simba fc[emoji2]. Naona CHADEMA ya sasa inatafutiza kick kila kukicha lakini wapi[emoji23]
CHADEMA ya sasa inatetea uozo. Ufisadi ...ujinga[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]

CHADEMA ya sasa imepoteza mvuto kwa wananchi wa hali ya chini ambao Ni weengi sana nchini[emoji35]
CHADEMA ya sasa imekumbatia mafisadi[emoji28]
CHADEMA ya sasa yaanza kufutika na kuelekea kwa akina TLP[emoji23]
CHADEMA ya Lowassa haijafanya maandamano [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

CHADEMA YA SASA HAIPENDI SERIKALI IFANYE MAAMUZI SAHIHI KUSUDI IPATE PA KUONEKANA LAKINI WAPI[emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji29]
CHADEMA YA SASA HAIPENDI WATU WAKWELI NA WASIOPENDA NA KUVUMILIA UFISADI KAMA JPM[emoji81]

CHADEMA ya Mbowe na Lowasa inatetea matajiri [emoji38]
CHADEMA ya Dr.Slaa ilikemea ufisadi hadharani lakini CHADEMA ya sasa inakemea ufisadi mafichoni [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Ngoja waje wenyewe, utaipata leo na kuisomba namba...watakuja siyo tu wanazungusha mikono, bali wanazungusha midomo kwa matusi ya nguoni....
 
Back
Top Bottom