Na CHADEMA inamtetea Lugumi, kuuzwa kwa nyumba za serikali, kununua mv Dar, nk. Tatizo wamebadilishwa mentality hawa jamaa wamekuwa wanamipasho kama waimba taarabu karibia tutawavisha Maderayes ni kweli CHADEMA inakumbatia mafisadi ndiyomaana hatutaki bunge liwe live na mijadala yetu bungeni ni kuhalalisha bangi, kuwa na uchungu bunge lisiwe live, kumuenzi diamond kwa kumtengenezea sanamu maalum pia kuingia bungeni tukiwa tumelewa chakari.