yoyote anayemjua lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza chadema wameua wangapi? Mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, lakini chadema will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all chadema supporters who know the truth but you are determined to fool tanzanians. M
ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
tatizo ni ushahidi wa mazingira,pale haonekani lwakatare peke yake,mbona humsemi yule binti aliyekwenda dirishani na kurudi kusikojulikana,mbona husemi kuhusu black wall kulia pichani? Mbona hutuambii kuhusu kelele za chupa na honi za magari? Mimi simtetei lwakatare lakini pia simtuhumu kwani ukisikiliza kwa umakini sauti ya mtu asiyeonekana utagundua he never resemble to be an assassin.lakini pia,ukiangalia waving colour around his physical body,you will discover that the video placed in the designed frame.
Hili ni zoezi la kusambaratisha hoja za Watoto Waliofeli Form Four.
mimi naamini Rwakatare amehongwa/amenunuliwa kusema vile maana video inaonyesha alikuwa aware kwamba anarekodiwa (stage managed) kwahiyo inapoteza credibility ya kama anachosema kina ukweli maana kama alirekodiwa under cover basi ningeamini CHADEMA wanafanya uharamia ule kwa waandishi wa habari! Kwa bahati mbaya UWT wamechemka hapo katika ku-prove the authenticity of that footage na the earlier CHADEMA wanagundua hilo the earlier wanajing'atua katika kashfa ile! they need to denounce him asap!Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
two wrong doesnt make right. Hoja unazoleta ni kama ku- divert from the topic, from the issue under discussion. The point in the video is lwakatare speaking. Full stop.
-Aanze kuleta video Mwigulu Nchemba aliyesema anayo ili kunusuru maisha ya watu
-Aliyepost kwenye mitandao akamatwe
-Jifunze na jielimishe kuhusu teknolojia ya kuchezesha na kupachika maneno kwenye video
-Mauaji ya Imran Kombe,Karume na kifo tata cha Prof.Malima vinajadilika
-Toa rai kwa Polisi iache kutumika kisiasa,TISS ambayo imekua mstari wa mbele kuiwinda CHADEMA kutumia watu wale wale na wasaliti wale wale wamejaribu kweli safari hii but wamekosea
NB:Wasipompandisha mahakamani jumatatu ili ukweli ujulikane basi itabidi watanzania wa-play part yao ili kukomesha tabia hii na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
chadema ni chama cha wahuni sema ndio hivyo kipenda roho, washabiki wake hawataki kuona ukweli yaleyale ya chacha wangwe , chama kimejaa wahuni
-Aanze kuleta video Mwigulu Nchemba aliyesema anayo ili kunusuru maisha ya watu
-Aliyepost kwenye mitandao akamatwe
-Jifunze na jielimishe kuhusu teknolojia ya kuchezesha na kupachika maneno kwenye video
-Mauaji ya Imran Kombe,Karume na kifo tata cha Prof.Malima vinajadilika
-Toa rai kwa Polisi iache kutumika kisiasa,TISS ambayo imekua mstari wa mbele kuiwinda CHADEMA kutumia watu wale wale na wasaliti wale wale wamejaribu kweli safari hii but wamekosea
NB:Wasipompandisha mahakamani jumatatu ili ukweli ujulikane basi itabidi watanzania wa-play part yao ili kukomesha tabia hii na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu
I like your argument. Kitu sahihi cha kufanya ni kumsubiri atoke kisha mumuulize ilikuwaje akasema yote yale hali dalili zinaonyesha alikuwa akijua kuwa anarekodiwa? By the way, yeye kujua kuwa anarekodiwa hakufanyi video isiwe real, ila inaleta mashaka kuwa huenda Lwakatare ali-stage video ile makusudi ili aki- discredi chama chake. Kwa wanasiasa wa aina yake wanaohamahama ikithibitika hivyo halitokuwa jambo la kushangaza.
inawezekana ukawa sahihi,je unajua ccm wameua wangapi?Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.