Nawataka CHADEMA kumuomba radhi Makonda, wakikaidi watakutana na hasira ya Mungu

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.

Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Chadema wameendelea kushindwa kujenga ofisi ya chama, wameendela kuishi kwenye banda linalofanana na choo.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.

Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Leo Magufuli hayupo lakini akina Mdee ,Lijualikali, Nassari wameendelea kupeta.

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
 
Upo katika utimamu wa akili au ndiyo umerukwa?

Unasema kuwa leo ni siku ya 35 Mbowe yupo ndani!! Ni Mbowe wa wapi huyo ambaye yupo ndani? Au ndiyo namna ya kutujulisha mwenzetu umekwishapagawa na maradhi ya akili?

Ungekuwa katika utimamu wa akili ungekuwa tayari uliishasikia namna Makonda alivyomwomba msamaha Mbowe, tena kwa kupiga magoti.

Kubwa zaidi ni kwamba Rais Samia alimwomba msamaha Mbowe kwa kuamini upuuzi ulioandaliwa na akina Siro na Diwani. Na Mbowe alilipokea ombi la Rais bila kinyongo.
 
Vyeti ni vyake au feki? Jina lake halisi ni nani haswa ?
Haha wasukuma wapuuzi sana ati anawaita wanawake waliotelekezwa na waume au watu waliozaa nao anajitokeza mpuuzi mmoja anasema yye ni mtt wa lowasa . Mazuzu yakashangilia
 
Vile vyeti

Hata Dj ana ziro ya form 6
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.

Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Sukuma Gang ndiyo laana inawatafuna,jiwe ndiyo yuko motoni, cyprian musiba ndiyo mavi debe huko Membe kamnyoosha,Sabaya anauguza kinyeo,Makonda anaishi kama digidigi.
 
Upo katika utimamu wa akili au ndiyo umerukwa?

Unasema kuwa leo ni siku ya 35 Mbowe yupo ndani!! Ni Mbowe wa wapi huyo ambaye yupo ndani? Au ndiyo namna ya kutujulisha mwenzetu umekwishapagawa na maradhi ya akili?

Ungekuwa katika utimamu wa akili ungekuwa tayari uliishasikia namna Makonda alivyomwomba msamaha Mbowe, tena kwa kupiga magoti.

Kubwa zaidi ni kwamba Rais Samia alimwomba msamaha Mbowe kwa kuamini upuuzi ulioandaliwa na akina Siro na Diwani. Na Mbowe alilipokea ombi la Rais bila kinyongo.
Kule vyuoni tulijifunza nn haswa? Hizi chuki juu ya wapinzani za nn haswa? Upinxani yz umeletwa na nani haswa? Kosa la eapinzani ni nini haswa? Kuwa na mawazo tofuti ni haramu ?
 
Kwa hiyo na lile tukio la Makonda kuvamia Clouds TV akiwa na majambazi wenzake nalo ni lakusingiziwa? Acha kumsafisha asiyesafishika
Mkuu, kumbuka kuwa na Shetani ana wafuasi na watetezi wengi tu, hivyo usiangaike sana kumshawishi mfuasi wa Shetani ajue jinsi Shetani alivyo mwingia Kaini amuue Abel. Utachukiwa wewe badala ya Shetani
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.

Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Mr Jik naona upo kazin kusafisha yasiyosafishika!!!
 
Vyeti ni vyake au feki? Jina lake halisi ni nani haswa ?
Haha wasukuma wapuuzi sana ati anawaita wanawake waliotelekezwa na waume au watu waliozaa nao anajitokeza mpuuzi mmoja anasema yye ni mtt wa lowasa . Mazuzu yakashangilia

Hivi hili liliishaje, hii nji inamatukio mengi sana ambayo inabidi tujue mwisho wake.
 
Upo katika utimamu wa akili au ndiyo umerukwa?

Unasema kuwa leo ni siku ya 35 Mbowe yupo ndani!! Ni Mbowe wa wapi huyo ambaye yupo ndani? Au ndiyo namna ya kutujulisha mwenzetu umekwishapagawa na maradhi ya akili?

Ungekuwa katika utimamu wa akili ungekuwa tayari uliishasikia namna Makonda alivyomwomba msamaha Mbowe, tena kwa kupiga magoti.

Kubwa zaidi ni kwamba Rais Samia alimwomba msamaha Mbowe kwa kuamini upuuzi ulioandaliwa na akina Siro na Diwani. Na Mbowe alilipokea ombi la Rais bila kinyongo.
Jibu hoja yake
 
Back
Top Bottom