Omuchimati
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 427
- 202
You do grasp things from the wind,wind stands there as a synonym of a proverb........shenz type.......They only catches! Ha ha ha! Ongea lugha ya bibi yako utaeleweka vizuri kuliko kuvamia lugha za akina Prince George.
Kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa Lowassa alikimbia mwenyewe..hakufukuzwacomredi Tupa tupa, siasa ukiichunguza sana utagundua wanasiasa wazuri wanapigwa vita sana na wanasiasa uchwara Ambao hawana vision.
CCM walimkataa Lowassa kiongozi Ambaye ana Vision kwa sababutu wa unafiki, umbea, na majungu yaliyo kithiri ndani ya chama cha mapinduzi.
Magufuli ni Kiongozi Mzuri Sana, lakini Lowassa Alikuwa Anahitajika sana maana huyu ni kiongozi mwenye Malengo Au Vision, CCM ingemweka Hata Lowassa kuwa Rais alafu Magufuli Akawa waziri Mkuu Taifa lingeenda Mbali sana.
Lakini kutokana na Fitina Majungu, yaliyopo ndani ya chama cha mapinduzi kuwadhoofisha wanasiasa wazuri ambao kwa namna moja au nyingine wangelisaidia sana taifa hili kutoka kwenye umaskini ulio kithiri.
Tumwombee Mungu Mh Magufuli Afanye kama Mungu Apendavyo, sote ni watanzania bila kujali itikadi ya vyama vyetu, kwani maendeleo hayana chama yanatugusa wote.
bado nasisitiza kuwa Chadema impigie magoti sllaa
Hivi akifa huyo Dr Slaa vipi kwani huyo ndiye mtu pekee CHADEMA anaweza kuwa katibu mkuu jaribu kujishughulisha na mawazo yako.
SLAA HANA TIME NAO ALISHAWATOSA.......ANAENDELEA NA LIFE KAMA KAWA...........Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.
Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.
Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.
Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.
Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.
Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.
Hawawezi kukuelewa hawa jamaa ni wagumu sana maana wanaishi angani na kubadilishia gear angani huko huko,
Laana ya damu za wanachadema wa kweli zitawaamdama daima hawa
Sijui Mbowe kawapa Nini CDM yaani wanauamini uwongo wake kuliko ukweli wa Dr Slaa!Kitu ambacho Chadema wamefanikiwa sana ni kuwaaminisha washabiki wao na wajinga wengine kuwa Dr Slaa amehongwa na si wao kuuza Chama ....Dr Slaa aliwahi kuwauliza ...ziara zake za kisiasa Marekani na kwingine walikuwa wanajua fedha ilikuwa inatoka wapi? Waliwahi kuhoji? ....Namna hii ya siasa na uelewa ndio maana nakataa wanaosema tatizo ni CCM ....tatizo ni sisi wenyewe .....CCM si dubwasha ...ni watu ...wengine wamekuwa wakuu wa serikali for years na sasa ndio wanaimba wimbo wa kutukomboa wakiwa Chadema!!! ....ONLY IN TANZANIA ....
Slaa ni mshamba wa k anashawishiwa na lile gubeli anasusa .. Kwanza sio presidential material basi tu tulikuwa hatuna optionSLAA HANA TIME NAO ALISHAWATOSA.......ANAENDELEA NA LIFE KAMA KAWA...........