CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

HIVI YULE KATIBU WENU WEKA MBALI NA MENO YA TEMBO BADO YUPO??? KADA,, JANGILIII
 
CDM death is slowly becoming a reality even to those who didn't want to hear of it. It is now definite that, it is just a matter of time and CDM will be officially dead and buried. This is not a good thing for the country but the owners chose to kill it. What else can one do?
 
Amuombe nini? Kwani mbowe ndiyo alimtuma kuchukua Rushwa toka Kwa Membe akaikacha Chadema kwa kisingizio feki? Slaa hawezi kurudi chadema mpaka arejeshe pesa za Haramu za ccm alizopewa Cash na membe Kwa nia ya kumkomoa Lowasa.
 
You are absolutely right, the party doesn't have vision, they only catches things from the wind.............
 
INABIDI CDM TUTUME UJUMBE MAALUM UKIONGOZWA NA MMILIKI WA CHAMA MZEE MTEII ILI TUMUOMBE RADHI DR. SLAA ARUDI CHAMANI NA KIPEWA UKATIBU MKUU..

TUNADHALILIKA CDM HATUNA THINK TANK...
Membe alimpatia dola million 2 cash pesa haramu za marehemu Gadafi na NIDA , mkataba wao ilikuwa ni yeye kuhama chadema kabsa, Sasa kama mnataka arejeshwe inabidi mmpatie Membe pesa zake za kumsajili Slaa mafichoni canada.
 
Kiualisia Dr slaa walikuwa kirusi ndani ya chadema bora mbowe ailivyobadili gia angani ogopa sana MTU ambaye Ana sema yeye tu au anamisimamo ya kushikiwa kuna kipindi Pasco Wa jf alisema chadema kuna kirusi wawe makini ndio ulikuwa muda Wa kumchana huyu Babu kama alijiua lowasa fisadi kwa nini aliunda kamati Na kumfuata gwajima awe kwenye mazungumzo kwa nini aliwekeza mwenyekiti habari za lowasa kama anapenda watu wasafi kwa nini kaacha kuongea baada ya kampeni kuisha
 
Lakini alibainisha wazi kuwa alitaka Lowassa akane na kuomba radhi kuwa yeye si fisadi,yaani akane hadharani na wampe mda kama mwanachama wa kawaida, na wala si kama mgombea wa Urais, kwanini Chadema ilishindwa kuufuata ushauri wa katibu wake?.
 
Slaa alikuwa Na maamuzi ya kigeu geu Na pia mazungumzo ya lowasa kuja chadema hayakuwa ya uwanachama tu ndio maana kulikuwa Na mazungumzo kama ya kuwa mwanachama angepewa kadi kama bulayo na wengine akina mpendazoe Na wengine tukubali tukatae slaa aliweka maslai binafsi Na siyo chama kwa hiyo akuwa Na mapenzi Na chama ndio maana alikiacha chama Na maneno mengi ya kukikashfu. Chama
 
Kati ya LOWASSA na DR SLAA ni nani alikuwa na mapenzi ya dhati kwa chama wakati huo, haya yalipokuwa yanaendelea?
 
sizani kama kweli dr. mihogo anahitajika tena huko kadima.
 
Kama Dr.Slaa no muhimu CCM mngemchukua mbona ameonyesha mahaba wakati wa uchaguzi 2015?
 
INABIDI CDM TUTUME UJUMBE MAALUM UKIONGOZWA NA MMILIKI WA CHAMA MZEE MTEII ILI TUMUOMBE RADHI DR. SLAA ARUDI CHAMANI NA KIPEWA UKATIBU MKUU..

TUNADHALILIKA CDM HATUNA THINK TANK...
Mchukueni huko lumumba. Mulimlipia Serene Hotel, deni la nyumba yake na takrima nyingine nyingi.
 
Kawatuma? Si mumchukue badala ya ndovu master
 
You are absolutely right, the party doesn't have vision, they only catches things from the wind.............

They only catches! Ha ha ha! Ongea lugha ya bibi yako utaeleweka vizuri kuliko kuvamia lugha za akina Prince George.
 
They only catches! Ha ha ha! Ongea lugha ya bibi yako utaeleweka vizuri kuliko kuvamia lugha za akina Prince George.
Duh hujaelewa nini nenda kwa dictionary mzee utaelewa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…