CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

Siku zote anaeshauri hapati hasara, ila mshauriwa anayo haki ya kuchukua au kukataa ushauri.
Kama umeshukuru Rais kuua upinzani kuna haja gani ya kutoa tena ushauri kwa vyama hivyo visife!!!
 
Kwani wewe ndiye mshauri wa Dr. Slaa? Kwa nn usimshauri ajiunge na chama kingine?
 
" Nina kazi ya kuondoa upayukaji CDM"-Dr Mashinji
juzi tu keshapayuka, au anaposema ana kazi ya kuuondoa upayukaji, mi sijamuelewa unaweza kunielewesha mkuu, hivi LAWRENCE MASHA YUKO WAPI?
 
Chadema ni imara kuliko slaa ndio maana alipotoka ccm hakwenda TLP, NCCR, UDP wala vyama vingine, acha kutuaminisha kuwa slaa ndio chadema.. Unataka kutuambia Slaa anatakiwa awe katibu mkuu wa kudumu, kwani yeye ni MLIMA useme atadumu mpaka mwisho wa dunia?! Chadema ni imara hata sasa ndio maana ccm wameamua kujifungia bungeni bila kuwapa wananchi haki yao ya habari za bunge.
 
INABIDI CDM TUTUME UJUMBE MAALUM UKIONGOZWA NA MMILIKI WA CHAMA MZEE MTEII ILI TUMUOMBE RADHI DR. SLAA ARUDI CHAMANI NA KIPEWA UKATIBU MKUU..

TUNADHALILIKA CDM HATUNA THINK TANK...
 
Move ya KUB ni Kisu kilichogonga kwenye mfupa wanaccm mmeanza kupiga mayowe sasa.
Move gani ya ovyo tu... sasa kutoka ndio inasaidia nini wakati huna sababu ya maana ya kutoka. waulizeni cuf, wamegoma uchaguzi lakini umefanyika cuf sasa nje hawana hata pa kusemea. huyo mashilingi katibu gani eti move yake ya maana anadai mwenyewe eti ni kuanzisha slogan ya 'lowassa mageuzi' huku wanapiga pedal mikono... viatu vya dr. slaa kapwaya sana sijui hiyo Phd kama ni zile za kuandikiwa thesis labda. chakufanya mbowe amwachie chama mwenyewe aliyekijenga dr. slaa aje arekebishe mambo.
 
Mwandishi, woga wa nn juu ya CDM? Mbona mmetoka kuwashinda kwa mbali majuzi tu? Au ni kweli mnawaibia kura na hamwashindi kihalali. Mbona woga hauwaishi?
 
juzi tu keshapayuka, au anaposema ana kazi ya kuuondoa upayukaji, mi sijamuelewa unaweza kunielewesha mkuu, hivi LAWRENCE MASHA YUKO WAPI?
Mwanamkakati mkuu wa bosi mkuu pale mikocheni.
 
Kama umeshukuru Rais kuua upinzani kuna haja gani ya kutoa tena ushauri kwa vyama hivyo visife!!!
UPinzani wa ovyo ndio hautakiwi, wa kuwapa vijana viroba na kupiga mayowe, tengenezeni think takers .na unataka kujua nimesimamia wapi ili iweje, kazi ya falsafa mara nyingine ni kumwacha msomaji mjinga kama wewe njia panda.
 
Ume panic[emoji2]
Huna lolote we mchumia tumbo, na huo ushaur wako wa kipuuzi.
 
Kifupi ni CHADEMA ijenge system imala ya kuongoza
Bila hivyo kitakuwa ni chama cha mtu moja
 
Ukiwa nje ya nchi akaja mtu mweusi kama wewe mkasalimiana akakutambulisha yeye ni mtanzania timua mbio.
 
HIVI KUWA NA MADIWANI WENGI NA WABUNGE WENGI NDO CHAMA KIMEKUFA?ACHENI USHABIKI MAANDAZI NINYI.
 
Mkuu matusi kwa KUB unatwanga kinu cha maji. Huna sifa hata ya kutukanwa. Slaa ni saizi yenu huko Lumumba si kwa CHADEMA.
 
Mkuu matusi kwa KUB unatwanga kinu cha maji. Huna sifa hata ya kutukanwa. Slaa ni saizi yenu huko Lumumba si kwa CHADEMA.
Ni ushauri tu mkuu...........hata we kama kuna mahala nitaona unafaa kushauriwa nitakushauri tu.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…