CHADEMA impigie magoti Dr. Slaa!

Mkuu heshima katika jamii ni muhimu Sana. Yaani wewe hapa jamvini umejishushia heshima Sana. Sijui ni mkakati au ndo uwezo wako ulivyo. Huwa unaleta Mada za ajabu Sana hapa
 
Anayefanya mzaha kwenye siasa za mageuzi ni yule anayeweka gia za angani ni wale wanaochekacheka na kukubali kuzungushwa mikono!
 
Mkuu heshima katika jamii ni muhimu Sana. Yaani wewe hapa jamvini umejishushia heshima Sana. Sijui ni mkakati au ndo uwezo wako ulivyo. Huwa unaleta Mada za ajabu Sana hapa
Sihitaji heshima kutoka kwa Nyumbu mzee!
Hapa ni kuweka ukweli tu hata kama utaumiza!
 
Anayefanya mzaha kwenye siasa za mageuzi ni yule anayeweka gia za angani ni wale wanaochekacheka na kukubali kuzungushwa mikono!
Hiyo mizaha yenu ndiyo inawafanya Wtz kushindwa kushiriki siasa za Tz. Lakini yana mwisho
 
Nahisi umekosa cha kuandika, bora uchangie hoja za wengine wenye nyuzi zenye manufaa.
Chadema impigie magoti slaa, thubutu ako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Zitto mmeweza mtashindwa kwa dr!!?
 
Hiyo mizaha yenu ndiyo inawafanya Wtz kushindwa kushiriki siasa za Tz. Lakini yana mwisho
Kwa hiyo walioko kwenye siasa kwa sasa sio watanzania?umeamka ni viroba nini?
 
Babu anajifua, mwacheni apige buku !! elimu haina mwisho. Muda ukifika atarudi na ataamua hatma yake kisiasa, kama kufungua chama kipya ama kujiunga na kimojawapo kati ya hivi vilivyopo.
 

Uzi huu siyo wa kujibu hata; kujibu ni kupoteza muda. Dr. Slaa alishajiunga na Chama kingine na Chadema inasonga mbele.
 


Maajabu ya Dunia vipi Lumumba hawana nafasi?
Vipi matumizi yake yameisha?
 
Mwacheni Dr. ajilie mihogo ya kidhungu huko na mchumba wake.Alishasema hataki tena siasa yeye na mihogo,mihogo na yeye, na wala hajafukuzwa Chadema.
 
Hakuna sehemu nimemwamini mwanasiasa !

Asante.Ndiyo maana hatutakiwi kupigana wala kutukanana,tunatakiwa kushangilia upande unaotutetea,wakitetereka tunawapa vipande.
 
Baada ya kutafakari sana, mtoa post aliona inafaa kujiita jingalao
 
Hapa Ofisi Ndogo za CCM Lumumba,kuna agizo lenye msisitizo kuwa Dr. Slaa atumiwe nyaraka mbalimbali huko aliko ili akishauri chama. Sasa,Dr. Slaa anakuwa Mshauri Mwelekezi CCM. Nyaraka nyingi zahusu Bunge la Bajeti litakaloanza kesho hadi Julai 1.

Dr. Slaa alipokuwa CHADEMA kama Katibu Mkuu wao,alibezwa na kutwezwa na viongozi pamoja na wanachama wa CCM. Alikejeliwa na kudhihakiwa kila mahali kwa kuitwa 'Babu Slaa','Mzinzi Slaa','Kikono' na kadhalika.

Sasa CCM yataka kumtumia kushauri juu ya mambo makubwa ya kiserikali na kichama. Ianze kumuomba msamaha. Waziri Nape,jitokeze na umuombe msamaha Mshauri Dr. Wilbrod Peter Slaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
katika watu wanaonishangaza ni wewe unayejiita mzee wa Lumumba. Hivi huku kujipendekeza kutakuisha lini? kipi ambacho unataka kuwaambia watu ili wa kuamini na kukusikiliza? Bora Kubaki kimya kuepusha ujinga kuliko kuonyesha unajua harafu hujui
 
comredi Tupa tupa, siasa ukiichunguza sana utagundua wanasiasa wazuri wanapigwa vita sana na wanasiasa uchwara Ambao hawana vision.

CCM walimkataa Lowassa kiongozi Ambaye ana Vision kwa sababutu wa unafiki, umbea, na majungu yaliyo kithiri ndani ya chama cha mapinduzi.

Magufuli ni Kiongozi Mzuri Sana, lakini Lowassa Alikuwa Anahitajika sana maana huyu ni kiongozi mwenye Malengo Au Vision, CCM ingemweka Hata Lowassa kuwa Rais alafu Magufuli Akawa waziri Mkuu Taifa lingeenda Mbali sana.

Lakini kutokana na Fitina Majungu, yaliyopo ndani ya chama cha mapinduzi kuwadhoofisha wanasiasa wazuri ambao kwa namna moja au nyingine wangelisaidia sana taifa hili kutoka kwenye umaskini ulio kithiri.

Tumwombee Mungu Mh Magufuli Afanye kama Mungu Apendavyo, sote ni watanzania bila kujali itikadi ya vyama vyetu, kwani maendeleo hayana chama yanatugusa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…