The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,457
- 14,822
Mkuu Mshana
Wazo zima la kufanya mazungumzo na CCM/Serikali linaonekana kuwa na kasoro tangu mwanzo. Je, CHADEMA wanaanzaje kufanya mazungumzo na wale waliokataa kufanya mazungumzo nao kabla ya tarehe 29 Oktoba?
Hizo mikakati hazieleweki. Tunachokiona ni matokeo ya mikakati hiyo. CHADEMA wametoa taarifa rasmi kwa umma kwamba Lissu yuko tayari kufanya mazungumzo endapo ataachiwa huru.
Jamaa amepambana lkn support kakoswa wabongo bado tumelalakuna wafuasi wengine wa CHADEMA wanamnyooshea TAL kidole juu ya hili .
Ilhali
-hawakuwahi kuhudhuria walau tu kesi yake au kusogelea majengo ya mahakama,
-Octer 29 walikua wamejifungia ndani.
Behind the keyboard na kuongea kwa maneno ni rahisi… TAL anapambana sana mkuu ..kule ngome pasikie tu.. ata akifanya hayo mazungumzo wakati bado yupo ngome kamwe sitamnyooshea kidole.
The guy amepambana sana na Watanzania bado hatujampa support inayotakiwa. Ata akisema anaishia hapa ana nawa mikono sintomlaumu
Kuna taarifa rasmi ya Chama juu ya kauli hizo.Umemsikia Lissu au umesoma/umesikia kauli za Kisabo kuwa "Lissu amesema a,b,c,d!"!!!????
Mazungumzo na wahalifu!?Kwenye mazungumzo kila mtu anakuja na hoja na madai yake, Ili mpate maridhiano ji lazima kila upande uridhie hoja za upande wa pili.
Sasa, Mfano kwenye mazungumzo tukapata
1. Tume mpya na muundo mpya wa tume ya uchaguzi
2.Katiba mpya.
3.Kubadirishwa kwa muundo wa jeshi la polisi.
4.Kuwajibishwa kwa waliohusika na mo29(Japo hi najua labda aje Mungu mwenyewe)
Hapo bado hatujasogea kama Nchi?
Kwahiyo hayo mazungumzo ya Lisu ni mazungumzo na nani!?Maswali yako ni kama mgeni hapa TZ, kwani anae hitaji mazungumzo ni TAL, CHADEMA au CCM ?
SijuiUnajua content ya hayo mazungumzo?
Sasa hapo hujaona kukataa mazungumzo ambayo hujui content yake ni nini ni ujinga?Sijui
Kwani utaratibu wa kutoka jela upoje!?Unajuaje Lissu ana nia ya kufanya mazungumzo kweli na hii habari si strategy ya kutoka jela tu?
Kwa sababu hakuna kesi, kesi nzima ni siasa.Kwani utaratibu wa kutoka jela upoje!?
Una masharti ya kisiasa!? Kwanini yatumike masharti ya kisiasa kutoka jela!?
Unawezaje kufanya mazungumzo na watu waliokataa kufanya mazungumzo nawe kabla ya uchaguzi? Kwa nini sasa? Je, ina maana mazungumzo yanafanyika tu pale wanapohitaji wao kufanya nawe, kama si unafiki?Sasa hapo hujaona kukataa mazungumzo ambayo hujui content yake ni nini ni ujinga?
Basi zitumike taratibu za kimahakama kufuta kesi hiyo. Kwa nini zitumike masharti ya kisiasa kumaliza kesi? Lissu ni mjuzi wa sheria; kwa nini akubali kesi zake zifutwe kinyume na taratibu za kimahakama kwa masharti ya kisiasa?Kwa sababu hakuna kesi, kesi nzima ni siasa.
Huelewi wapi?
Kwanza tuanze hapa: unaposema ‘upande wa pili,’ unamaanisha upande gani hasa, na ni wa kina nani?Wewe unashauri wafanye kitu gani? Bila kua na Mazungumzo Upande wa pili utajuaje madai yeenu?
Unajua content ya hayo mazungumzo?Unawezaje kufanya mazungumzo na watu waliokataa kufanya mazungumzo nawe kabla ya uchaguzi? Kwa nini sasa? Je, ina maana mazungumzo yanafanyika tu pale wanapohitaji wao kufanya nawe, kama si unafiki?
Hatutaki aendelee kuwekwa ndani lakin yasitumike masharti ya kisiasa yeye kutoka gerezani.Mnataka Lissu aendelee kuwekwa ndani mpaka lini ?
Taratibu za kimahakama ni zipi?Basi zitumike taratibu za kimahakama kufuta kesi hiyo. Kwa nini zitumike masharti ya kisiasa kumaliza kesi? Lissu ni mjuzi wa sheria; kwa nini akubali kesi zake zifutwe kinyume na taratibu za kimahakama kwa masharti ya kisiasa?
CHADEMA walikataa mazungumzo kwasababu yalikiuka masharti na misimamo yake.Unajua content ya hayo mazungumzo?
Nani alikataa mazungumzo kabla ya uchaguzi?
Ukiambiwa kuwa moja ya points za hayo mazungumzo ni kukazimisha serikaki kurudia huo uchaguzi na hilo linahalalisha kufanya mazungumzo ama kulazimisha serikali iwe kwenye checkmate utasemaje?
Kama Lissu ndiye analazimisha masharti yake, itasemaje mazungumzo yanafanyika wanapotaka wao tu, kwani CHADEMA hawajakataa mazungumzo kabla ya uchaguzi? Hili hulijui?
Yeye ndio ameweka masharti aachiwe huru ili aweze kuingia katika mazungumzo, hapo usaliti upo wapi ? Kwenye mazungumzo kuna kukubaliana na kukataliana piaHatutaki aendelee kuwekwa ndani lakin yasitumike masharti ya kisiasa yeye kutoka gerezani.
Sasa wakikubali mazungumzo haya ambayo wameyawekea masharti na misimamo yake, kwa kuzingatia masharti na misimamo hiyo, tatizo liko wapi?CHADEMA walikataa mazungumzo kwasababu yalikiuka masharti na misimamo yake.