Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,015
- 43,157
Wanaukumbi.
CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI ..
Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia.
Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama cheni wakigeuze kuwa jukwaa la kufanya hatakati zao kwa kuwa watawaharibia chama hamkutaka kusikiliza kabisa yaani..
UFIPA na wanaharakati uchwara walisema haya;
1. Walisema uchaguzi mwaka huu hautafanyika mpaka mabadiliko yafanywe (wakati yalishafanywa wakasusa kushiriki) lakini tume huru ya uchaguzi ikatanganza kuwa uchaguzi upo na tarehe ikatangazaa
2. Walihamasisha watu wasijiandikishe kushiriki uchaguzi kwa kuwa haupo lakini watanzania wamejitokeza sana kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwa ajili ya uchaguzi wa Oktoba 2025
3. Walipayuka sana kuwa bunge halijavunjwa eti CCM wamebanwa na wafadhili sijui wanaogopa vikwazo haya jana bunge limefika kikomo rasmi na halipo tena na kuruhusu mchakato wa kuchagua wabunge upya kufanyika
4. Baada ya bunge kufika kikomo jana na leo watu wanapigiwa kura za maoni kutaka kuteuliwa kuwa wabunge kwa ajil iya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 ni ishara kuwa uchaguzi uko palepale
Nataka niwaulize bado mnawachukulia hawa wanaharakati ni watu wenye akili timamu? Bado mnadhani hawa ni watu wa maana kuwafuata na kuwasikiliza? Walisema uchaguzi hakuna huu unaoandaliwa sasa ni kitu gani ? Walisema bunge halivunjwi ili kukaa na kupitisha mabadiliko haya kilichovunjwa jana kwa tamko la Rais kwenye gazeti la serikali ni nini?
Wanaharakati ni watu wajinga sana na wamekuwa wanatumia vyama kama CHADEMA kufanya ajenda zao.! Walipigana sana kupata nafasi hii wakati wa Mbowe wakashindwa kuipata vizuri sasa wameipata wakati wa Chiba na wamefanikiwa kukivunjilia mbali chama hiki ambacho sasa kimebakia na kazi ya kwenda mhakamani kila wiki na kufanya mambo yao kwenye clubhouse na spaces huko kwa kuwa kimepigwa pini kufanya shughuli za kisiasa!.
Haya ndiyo mambo walikuwa wanataka wanaharakati ili wawe na ajenda ya kufanya kwa miaka mitano ijayo. Tuliwaambia CHADEMA haina ukubwa wanaojidanganya wako nao lakini walikuwa hawataki kusikia. Tuliwaambia wao siyo maarufu kama wanavyofhani hawakuwa wanasikia haya mbona uchaguzi unafanyika na hamna cha kufanya?
Mbona mmepigwa marufuku kufanya siasa na mmefyata mkia? Fanyeni mikutano basi mbona mmekwama sasa hivi? Si mlisema hakuna wa kuwazuia kufanya mikutano au? Mbona mmezuiliwa?
Kuwaonyesha kuwa uchaguzi upo palepale ni hivi leo CCM wanachagua watu wa kuwawakilisha kwenye nafasi ya ubunge nchi nzima na nyie mmekaa mnatoa macho tu kwa sababu ya ujinga wenu wa kusikiliza ushauri wa hovyo wa wanaharakati kuwa watawasaidia kuzuia uchaguzi.
Tuliwaambia mtu kashindwa kumjengea mama yake na baba yake choo kwao anawezaje kuwasaidia kujenga chama? Au hamjaona picha ya choo cha nyumbani kwa wazazi wake Maria ? Uke ulikuwa mfano tosha sana kwenu lakini hamna akili za kufikiria mambo kwa mtazamo mpana haya leo mmekuwa watazamaji kwenye uchaguzi !..
Hamnaga akili kabisa nyie watu!..