GE2025 CHADEMA imeponzwa na ujinga wa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanaukumbi.

CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI ..

Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia.

Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama cheni wakigeuze kuwa jukwaa la kufanya hatakati zao kwa kuwa watawaharibia chama hamkutaka kusikiliza kabisa yaani..

UFIPA na wanaharakati uchwara walisema haya;

1. Walisema uchaguzi mwaka huu hautafanyika mpaka mabadiliko yafanywe (wakati yalishafanywa wakasusa kushiriki) lakini tume huru ya uchaguzi ikatanganza kuwa uchaguzi upo na tarehe ikatangazaa
2. Walihamasisha watu wasijiandikishe kushiriki uchaguzi kwa kuwa haupo lakini watanzania wamejitokeza sana kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwa ajili ya uchaguzi wa Oktoba 2025
3. Walipayuka sana kuwa bunge halijavunjwa eti CCM wamebanwa na wafadhili sijui wanaogopa vikwazo haya jana bunge limefika kikomo rasmi na halipo tena na kuruhusu mchakato wa kuchagua wabunge upya kufanyika
4. Baada ya bunge kufika kikomo jana na leo watu wanapigiwa kura za maoni kutaka kuteuliwa kuwa wabunge kwa ajil iya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 ni ishara kuwa uchaguzi uko palepale

Nataka niwaulize bado mnawachukulia hawa wanaharakati ni watu wenye akili timamu? Bado mnadhani hawa ni watu wa maana kuwafuata na kuwasikiliza? Walisema uchaguzi hakuna huu unaoandaliwa sasa ni kitu gani ? Walisema bunge halivunjwi ili kukaa na kupitisha mabadiliko haya kilichovunjwa jana kwa tamko la Rais kwenye gazeti la serikali ni nini?

Wanaharakati ni watu wajinga sana na wamekuwa wanatumia vyama kama CHADEMA kufanya ajenda zao.! Walipigana sana kupata nafasi hii wakati wa Mbowe wakashindwa kuipata vizuri sasa wameipata wakati wa Chiba na wamefanikiwa kukivunjilia mbali chama hiki ambacho sasa kimebakia na kazi ya kwenda mhakamani kila wiki na kufanya mambo yao kwenye clubhouse na spaces huko kwa kuwa kimepigwa pini kufanya shughuli za kisiasa!.

Haya ndiyo mambo walikuwa wanataka wanaharakati ili wawe na ajenda ya kufanya kwa miaka mitano ijayo. Tuliwaambia CHADEMA haina ukubwa wanaojidanganya wako nao lakini walikuwa hawataki kusikia. Tuliwaambia wao siyo maarufu kama wanavyofhani hawakuwa wanasikia haya mbona uchaguzi unafanyika na hamna cha kufanya?

Mbona mmepigwa marufuku kufanya siasa na mmefyata mkia? Fanyeni mikutano basi mbona mmekwama sasa hivi? Si mlisema hakuna wa kuwazuia kufanya mikutano au? Mbona mmezuiliwa?

Kuwaonyesha kuwa uchaguzi upo palepale ni hivi leo CCM wanachagua watu wa kuwawakilisha kwenye nafasi ya ubunge nchi nzima na nyie mmekaa mnatoa macho tu kwa sababu ya ujinga wenu wa kusikiliza ushauri wa hovyo wa wanaharakati kuwa watawasaidia kuzuia uchaguzi.

Tuliwaambia mtu kashindwa kumjengea mama yake na baba yake choo kwao anawezaje kuwasaidia kujenga chama? Au hamjaona picha ya choo cha nyumbani kwa wazazi wake Maria ? Uke ulikuwa mfano tosha sana kwenu lakini hamna akili za kufikiria mambo kwa mtazamo mpana haya leo mmekuwa watazamaji kwenye uchaguzi !..

Hamnaga akili kabisa nyie watu!..
Nenda kamsikilize Musiba Jambo TV,ipo siku utajuta uliyoyaandika
 
Kuna chama gani duniani hakina makundi na uungwaji mkono na group fulani, hata huko USA uchaguzi wa vyama kuna makundi kabisa huyu ni Pro huyu huyu Ant huyu tena kule na mtu anatoa pesa kabisa wazi kushawishi achaguliwe mtu. Musk katoka mamilioni kumsaidia Trump wala sio siri ili ije serikali itakayompa maslahi mapana. Mimi sioni cha ajabu ila uchaguzi ukiisha wa ndani wakija kupambana na adui wanakuwa wamoja.

Ukileta mifano ya Nyerere sio sawa ilikuwa chama kimoja na hata wakti huo mawaziri walikuwa ni hao hao tu kubadilishana tu hakukuwa na jipya. Makundi ndani ya chama kawaida huku kwenye team zetu kuna makundi sembuse vyama vya siasa.

Hujaelewa context, anyway ahsante kwa mchango wako though...
 
Maandishi mengi utumbo mtupu!no Reforms No Election
….No Reforms, No Election imekufa, na imekufa tarehe 03 August 2025 baada ya Rais kuvunja bunge…”
 
Kwa sasa wewe hagaika na Chaumwa,huku bada kunani?
CHADEMA hakuna chama pale kimeshajifia.. Kilichobaki ni kutangaza rasmi kuwa hakuna chama chenye jina hilo na mambo mengine yaendelee

Tuliwaonya hawa wasigeuze chama cha siasa kuwa jukwaa la wanaharakati hawakusikia. Wamekufa kifo kirahisi sana na ni huzuni kwa kweli...
 
Umeongea Kwa hisia sana lkn umeongea Ujinga.

Kwanz unazunguamzia wanaharakati ,ivi unaweza tuambia jukwaa la wanaharakati kufanyia harakt tofauti na ktk chama ktk nchi za kidemokrasia?.

Unasema CHADEMA inakufa.kwa namna Gani? Chadema ni watu siyo nembo na ofisi.ukitaka kulijua hili jiulize pamoja na ukubwa wa CCM,kwnn inapofika suala la kuweka tume huru wanakuwa mbog?,wanajua hawana watu na sera wezeshi Kwa raia.

Tujadil wanachopigia kelele wanaharakati ni kitu muhimu au namna Gani?
1. Suala la katiba mpya katika vipengele vya
a.separation of pawer imekufa hv mihimili mingin kushindwa kufanya Kaz Kwa uhuru.
b.suala la serikali tatu ili kupuguza mzigo Kwa serikali ya Tanzania bars.
C.Uwajibikaji wa viongoz na maadili kishuka hv kuathiri nchi.
d.ukosefu wa sera thabiti za kupunguza umaskini n.k

We huoni kama wanachopigania ni Kwa ajiri ya masirahi mapana ya nchi?.

Hakuna nguvu kubwa inatumika ila kinachofanyika ni kutumia upumbavu wa Lissu kuleta harakati kwenye siasa kuimaliza CHADEMA

Mahakama ikitoa hukumu on their favour inakuwa huru ikiwakatalia mambo yao siyo huru( huu wimbo tumeuzoea)

Bunge la hovyo na siyo huru kwa kuwa mlikataa kushiriki uchaguzi ili kuwa na bunge lisilo la hovyo na huru

Sasa mnamlaumu nani? CCM wanahusikaje na hayo yote?
 
LISSU ALIHARIBU MARIDHIANO YA CHADEMA NA CCM

"Mbowe alimuombea Lissu ashiriki Maridhiano na kikao kikakubali, kikaoni tulikubaliana kuwe na siri ila Lissu siku ya kwanza tu akayamwaga Club House na hapo ndipo maridhiano yalipoanza kuharibika" - @YerickoNyerereT

🎤 :CHAUMMA HQ

..maridhiano yanayohusu masuala ya nchi na wananchi kwanini yawe ya siri? pale kulikuwa hakuna maridhiano bali kulikuwa na utapeli. kauli sahihi ni kwamba Lissu alivuruga utapeli uliokuwa ukiendelea.
 
Wanaukumbi.

CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI ..

Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia.

Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama cheni wakigeuze kuwa jukwaa la kufanya hatakati zao kwa kuwa watawaharibia chama hamkutaka kusikiliza kabisa yaani..

UFIPA na wanaharakati uchwara walisema haya;

1. Walisema uchaguzi mwaka huu hautafanyika mpaka mabadiliko yafanywe (wakati yalishafanywa wakasusa kushiriki) lakini tume huru ya uchaguzi ikatanganza kuwa uchaguzi upo na tarehe ikatangazaa

2. Walihamasisha watu wasijiandikishe kushiriki uchaguzi kwa kuwa haupo lakini watanzania wamejitokeza sana kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwa ajili ya uchaguzi wa Oktoba 2025

3. Walipayuka sana kuwa bunge halijavunjwa eti CCM wamebanwa na wafadhili sijui wanaogopa vikwazo haya jana bunge limefika kikomo rasmi na halipo tena na kuruhusu mchakato wa kuchagua wabunge upya kufanyika

4. Baada ya bunge kufika kikomo jana na leo watu wanapigiwa kura za maoni kutaka kuteuliwa kuwa wabunge kwa ajil iya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 ni ishara kuwa uchaguzi uko palepale

Nataka niwaulize bado mnawachukulia hawa wanaharakati ni watu wenye akili timamu? Bado mnadhani hawa ni watu wa maana kuwafuata na kuwasikiliza? Walisema uchaguzi hakuna huu unaoandaliwa sasa ni kitu gani ? Walisema bunge halivunjwi ili kukaa na kupitisha mabadiliko haya kilichovunjwa jana kwa tamko la Rais kwenye gazeti la serikali ni nini?

Wanaharakati ni watu wajinga sana na wamekuwa wanatumia vyama kama CHADEMA kufanya ajenda zao.! Walipigana sana kupata nafasi hii wakati wa Mbowe wakashindwa kuipata vizuri sasa wameipata wakati wa Chiba na wamefanikiwa kukivunjilia mbali chama hiki ambacho sasa kimebakia na kazi ya kwenda mhakamani kila wiki na kufanya mambo yao kwenye clubhouse na spaces huko kwa kuwa kimepigwa pini kufanya shughuli za kisiasa!.

Haya ndiyo mambo walikuwa wanataka wanaharakati ili wawe na ajenda ya kufanya kwa miaka mitano ijayo. Tuliwaambia CHADEMA haina ukubwa wanaojidanganya wako nao lakini walikuwa hawataki kusikia. Tuliwaambia wao siyo maarufu kama wanavyofhani hawakuwa wanasikia haya mbona uchaguzi unafanyika na hamna cha kufanya?

Mbona mmepigwa marufuku kufanya siasa na mmefyata mkia? Fanyeni mikutano basi mbona mmekwama sasa hivi? Si mlisema hakuna wa kuwazuia kufanya mikutano au? Mbona mmezuiliwa?

Kuwaonyesha kuwa uchaguzi upo palepale ni hivi leo CCM wanachagua watu wa kuwawakilisha kwenye nafasi ya ubunge nchi nzima na nyie mmekaa mnatoa macho tu kwa sababu ya ujinga wenu wa kusikiliza ushauri wa hovyo wa wanaharakati kuwa watawasaidia kuzuia uchaguzi.

Tuliwaambia mtu kashindwa kumjengea mama yake na baba yake choo kwao anawezaje kuwasaidia kujenga chama? Au hamjaona picha ya choo cha nyumbani kwa wazazi wake Maria ? Uke ulikuwa mfano tosha sana kwenu lakini hamna akili za kufikiria mambo kwa mtazamo mpana haya leo mmekuwa watazamaji kwenye uchaguzi !..

Hamnaga akili kabisa nyie watu!..
Je umeshajua ccm yetu imeponzwa na nini?kukusaidia bure bila malipo wala madai ni kuwa,uchawa,machawa,utekaji,wanamtadao wa ufisadi,wizi na ubadhirifu wa rasilimali za taifa hili ukosefu wa haki,uwajibikaji,ukosefu wa utawala wa kisheria,dharau ,kejeli ,ukosefu wauzalendo,kijilimbikizia mali kwa wachache wenye nafasi ndiyo imekiponza chama chako na mwisho wake kesho kutwa!
 
Vipi wanamtandao na project yenu ya kuibrand CHAUBWABWA[ CHAUMMACCM] kama chama kikuu cha upinzani huku mkiizuia CHADEMA kufanya shughuli zote za kisiasa tangu June hadi leo ni October.

CHADEMA ingekuwa imekufa na haina mvuto basi policcm wasingekuwa wanahangaika nao.

Nakupa mfano , lini umesikia TLP wameitisha press ikazuiwa?

Je chama gani bado kina uhai na imani ya wananchi?

Najua jibu unalo ndio maana hata ile "chopa" mliona msiwape tena baada ya kushindwa kuuzika kwa wananchi.
 
Mmewateka na kuwauwa wakati hawashiriki uchaguzi.

Sasa wangelikuwa wanashiriki?

Kitu kimoja chadema walipatia ni kutokushiriki. Wangelikufa kama sisimizi. Hile kupigwa shaba live on TV.
 
LISSU ALIHARIBU MARIDHIANO YA CHADEMA NA CCM

"Mbowe alimuombea Lissu ashiriki Maridhiano na kikao kikakubali, kikaoni tulikubaliana kuwe na siri ila Lissu siku ya kwanza tu akayamwaga Club House na hapo ndipo maridhiano yalipoanza kuharibika" - @YerickoNyerereT

🎤 :CHAUMMA HQ
Tatizo lipo hapo kwenye Siri.
 
Back
Top Bottom