GE2025 CHADEMA imeponzwa na ujinga wa wanaharakati

GE2025 CHADEMA imeponzwa na ujinga wa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tuna tatizo kubwa sana kama taifa na hawa wanaojiita wanaharakati. Yaani Heche auliwe kwa sababu gani? Yaani ana umuhimu gani kwanza? Nani anaweza poteza muda wake na jitu jinga vile? Halafu kama anataka kumuuwa ndiyo wamkamate hadharani kwani hawajui anakokaa?
 
Upewe maua yako umetumbua jipu. Mbwa malaya moja tu ameshindwa ht kumzika babake bd umsikilize. Hawana akili ndio maana wanaitwa nyumbu.
SIJASHANGAZWA na kinachoendelea mitandaoni na kusambazwa na Maria Sarungi na chombo chake cha habari kilichopo huko Kenya juu ya wanasiasa wa Kenya hasa wabunge kuongelea na kukosoa uchaguzi wa Tanzania.

Hawajaanza leo! Walianza wakati ule wa kesi ya Lissu, pale Kisutu wakakodisha wanaharakati kuja Tanzania kufanya uchochezi lakini kwa umakini wa hali ya juu sana wa vyombo vya usalama wa Tanzania walizuiliwa kuingia nchini na kurudishwa kwao na wale walioingia wanajua nini kiliwapata na walikoma kurudia tena upuuzi ule.

Hawakuishiwa hapo,walikwenda mbali zaidi ambapo sasa Maria Sarungi na kundi lake wakakodisha na kulipa watu mitandaoni na kuanza kutukana viongozi na hasa Rais Samia.
 
Majaribio hayo baada ya kushindwa wakaenda mbali zaidi sasa wamehusisha na kuwatumia wanasiasa wa Kenya kufanya haya wanayoyafanya sasa na kuandika kwenye mitandao yao ya kijamii na kujifanya kuhojiwa na Mwanzo TV ya Maria Sarungi kuongelea mambo ya uchaguzi wa Tanzania.

Hivi wanasiasa wa Kenya walimaliza kushughulika na mashida yao kwanza mpaka sasa wajione wanaweza kuipa semina na mafunzo Tanzania? Walishamalizana na maugomvi yao ya kupelekana mahakamani kila siku wakimaliza uchaguzi? Walishamalizana na haya mambo?
 
Rais wa nchi yoyote ile ana jukumu la kulinda amani na utulivu wa nchi nyakati zote ndiyo maana Rais anaweza kuamuru vyombo vya usalama likiwemo jeshi kuingia vitani kupambana na nchi nyingine au vikundi ndani ya nchi vyenye kutaka kuleta uvunjifu wa amani na kuvuruga ustawi wa taifa na nchi husika..
 
Nimeona mahali eti watu wapige honi sijui wapige masufuria na upumbavu mwingi tu kama ishara ya kupinga sijui serikali na dola. Hivi mmeishiwa mbinu kiasi hiki mpaka sasa mnapiga masufuria na madebe ili kuleta kelele! Hivi mko sawa kiakili kweli au mnajipaga muda kusoma na kujisikiliza vitu mnaandika nyie watu?
 
Mimi sio mwanasiasa ila kwa mtazamo wangu

Chadema inaangushwa na hawa wanaharakati wa mitandaoni kina Maria na wenzie
Badala ya kufanya mipango mikali ya kuinua chama Chao
Wao wamekuwa watu wa kuibua siasa feki mitandaoni
 
Operations kataa WAHUNI 29th October.
Wahuni wanahaha humu kutaka kujiokoa...kibibi chao kimeshakaliwa na watanganyika kabisaa hadi aibu.
 
Wanaukumbi.


CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI ..

Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia.

Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama cheni wakigeuze kuwa jukwaa la kufanya hatakati zao kwa kuwa watawaharibia chama hamkutaka kusikiliza kabisa yaani..

UFIPA na wanaharakati uchwara walisema haya;

1. Walisema uchaguzi mwaka huu hautafanyika mpaka mabadiliko yafanywe (wakati yalishafanywa wakasusa kushiriki) lakini tume huru ya uchaguzi ikatanganza kuwa uchaguzi upo na tarehe ikatangazaa

2. Walihamasisha watu wasijiandikishe kushiriki uchaguzi kwa kuwa haupo lakini watanzania wamejitokeza sana kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwa ajili ya uchaguzi wa Oktoba 2025

3. Walipayuka sana kuwa bunge halijavunjwa eti CCM wamebanwa na wafadhili sijui wanaogopa vikwazo haya jana bunge limefika kikomo rasmi na halipo tena na kuruhusu mchakato wa kuchagua wabunge upya kufanyika

4. Baada ya bunge kufika kikomo jana na leo watu wanapigiwa kura za maoni kutaka kuteuliwa kuwa wabunge kwa ajil iya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 ni ishara kuwa uchaguzi uko palepale

Nataka niwaulize bado mnawachukulia hawa wanaharakati ni watu wenye akili timamu? Bado mnadhani hawa ni watu wa maana kuwafuata na kuwasikiliza? Walisema uchaguzi hakuna huu unaoandaliwa sasa ni kitu gani ? Walisema bunge halivunjwi ili kukaa na kupitisha mabadiliko haya kilichovunjwa jana kwa tamko la Rais kwenye gazeti la serikali ni nini?

Wanaharakati ni watu wajinga sana na wamekuwa wanatumia vyama kama CHADEMA kufanya ajenda zao.! Walipigana sana kupata nafasi hii wakati wa Mbowe wakashindwa kuipata vizuri sasa wameipata wakati wa Chiba na wamefanikiwa kukivunjilia mbali chama hiki ambacho sasa kimebakia na kazi ya kwenda mhakamani kila wiki na kufanya mambo yao kwenye clubhouse na spaces huko kwa kuwa kimepigwa pini kufanya shughuli za kisiasa!.

Haya ndiyo mambo walikuwa wanataka wanaharakati ili wawe na ajenda ya kufanya kwa miaka mitano ijayo. Tuliwaambia CHADEMA haina ukubwa wanaojidanganya wako nao lakini walikuwa hawataki kusikia. Tuliwaambia wao siyo maarufu kama wanavyofhani hawakuwa wanasikia haya mbona uchaguzi unafanyika na hamna cha kufanya?

Mbona mmepigwa marufuku kufanya siasa na mmefyata mkia? Fanyeni mikutano basi mbona mmekwama sasa hivi? Si mlisema hakuna wa kuwazuia kufanya mikutano au? Mbona mmezuiliwa?

Kuwaonyesha kuwa uchaguzi upo palepale ni hivi leo CCM wanachagua watu wa kuwawakilisha kwenye nafasi ya ubunge nchi nzima na nyie mmekaa mnatoa macho tu kwa sababu ya ujinga wenu wa kusikiliza ushauri wa hovyo wa wanaharakati kuwa watawasaidia kuzuia uchaguzi.

Tuliwaambia mtu kashindwa kumjengea mama yake na baba yake choo kwao anawezaje kuwasaidia kujenga chama? Au hamjaona picha ya choo cha nyumbani kwa wazazi wake Maria ? Uke ulikuwa mfano tosha sana kwenu lakini hamna akili za kufikiria mambo kwa mtazamo mpana haya leo mmekuwa watazamaji kwenye uchaguzi !..

Hamnaga akili kabisa nyie watu!..
Wewe ndiyo huna Akili hata punje moja, chadema kuponzwa na nini? Kazi ya chama cha upinzani ni kuikosoa Serikali ya ccm na chadema wanaifanya kazi yao vizuri sawasawa, Hakuna haki, mnateka, mnaua, mnawabambikia watu kesi kisha mnataka chadema ikae kimya? hivi una Akili Timanu? Mnapora kura uchaguzi wa maigizo wa upande mmoja kisha unataka chadema wakae kimya kweli? Ebu acha kunywa Gongo kisha kuja kuandika mandishi mengi yasiyo na Tija wala point hata moja
 
Upewe maua yako umetumbua jipu. Mbwa malaya moja tu ameshindwa ht kumzika babake bd umsikilize. Hawana akili ndio maana wanaitwa nyumbu.
Nyumbu ni ccm kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama maccm mlivyokuwa wengi nchi ina miaka 65 ya Uhuru hakuna maendeleo, pesa nyingi zinatumika kudidimiza kukandamiza demokrasia, kudhoofisha chadema kuwabambikia kesi, kuwateka kuwaua, acha Ufala maua jipe mwenyewe kwa uzwazwa wako
 
Nyumbu ni ccm kwani Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi lakini maccm bado yamezubaa yanaimba mapambio kufagilia Uonevu kwa wapinzani badala ya maendeleo
 
Hakuna kitu kimekufa hapo vyote vinaendelea hata maandamano ya kuandamana moyoni huendelea kila siku mpaka maccm yaje kuwa kama KANU ya kenya
 
Maccm yanatesa upinzani yamejaa ushetani wa kutisha sana
 
CCM IMEPONZWA NA WANAMTANDAO
Pia hata mleta Mada ni Mbumbumbu mpumbavu mkubwa, kwa Akili yake ndogo anawaona chadema eti wanakosea kukataa ujinga wa maccm, kasahau kuwa kazi ya chadema ni kukataa maovu uongo uonevu wizi ufisadi wa ccm
 
Tuna tatizo kubwa sana kama taifa na hawa wanaojiita wanaharakati. Yaani Heche auliwe kwa sababu gani? Yaani ana umuhimu gani kwanza? Nani anaweza poteza muda wake na jitu jinga vile? Halafu kama anataka kumuuwa ndiyo wamkamate hadharani kwani hawajui anakokaa?
Anza kujua kuwa wewe kwanza ni mpumbavu number one huna Akili hata moja IQ yako ni ndogo na aliyekupa kazi ya kuwasengenya chadema kakosea sana kwani huna vigezo vyovyote, ujinga wako umekufanya ujione upo sawa kichwani wakati ni poyoyo zwazwa, Tambua kuwa watanzania wameamka wanajua ukweli wote, Uonevu wenu kuwabambikia kesi kuwateka kuwaua wapinzani ufisadi wenu vyote vina mwisho wake, hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake, Rais wa Ufaransa, Filipino Korea kusini, iddy Amin, mabutu, Rungu, alibashiri wa Sudan na wenzao wapo wapi leo ?
 
LISSU ALIHARIBU MARIDHIANO YA CHADEMA NA CCM

"Mbowe alimuombea Lissu ashiriki Maridhiano na kikao kikakubali, kikaoni tulikubaliana kuwe na siri ila Lissu siku ya kwanza tu akayamwaga Club House na hapo ndipo maridhiano yalipoanza kuharibika" - @YerickoNyerereT

🎤 :CHAUMMA HQ
Mbowe hana vigezo vya kuigwa kwani ni mojawapo wa maadui wa Lisu na ndiyo Dalali wa kuuza watu toka chadema kwenda Chaumaccm chama cha uvunguni mwa ccm, maridhiano kwenye kubambikiana kesi yanasaidia nini? Acheni uonevu kwanza ndipo kila jema lifuate
 
….No Reforms, No Election imekufa, na imekufa tarehe 03 August 2025 baada ya Rais kuvunja bunge…”
Hakuna kilichokufa vyote vipo wewe chukua posho zako hapo ccm kakojoe ulale, watanzania wanaandamana moyoni saa 24 kila siku mpaka muache Udikiteta wenu
 
Back
Top Bottom