GE2025 CHADEMA imeponzwa na ujinga wa wanaharakati

GE2025 CHADEMA imeponzwa na ujinga wa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
SIJASHANGAZWA na kinachoendelea mitandaoni na kusambazwa na Maria Sarungi na chombo chake cha habari kilichopo huko Kenya juu ya wanasiasa wa Kenya hasa wabunge kuongelea na kukosoa uchaguzi wa Tanzania.

Hawajaanza leo! Walianza wakati ule wa kesi ya Lissu, pale Kisutu wakakodisha wanaharakati kuja Tanzania kufanya uchochezi lakini kwa umakini wa hali ya juu sana wa vyombo vya usalama wa Tanzania walizuiliwa kuingia nchini na kurudishwa kwao na wale walioingia wanajua nini kiliwapata na walikoma kurudia tena upuuzi ule.

Hawakuishiwa hapo,walikwenda mbali zaidi ambapo sasa Maria Sarungi na kundi lake wakakodisha na kulipa watu mitandaoni na kuanza kutukana viongozi na hasa Rais Samia.
Shida si chadema, shida ni wewe na maccm wenzako kuendekeza wizi ufisadi, utakaji, Uonevu kuwaua kuwabambikia kesi za uongo chadema, mkiacha huo ushetani hakuna chama kitawasuta kwa mabaya yenu
 
Hapa kama wenye-nchi walipa Kodi ndio tunaponzwa na hizi Sarakasi sababu mimi kama mlipa Kodi hata kama I care nothing about CHADEMA CUF au Chama chochote kile..., Kodi yangu kutumika kama Ruzuku na Kupoteza watendaji na Rasilimali Muda pamoja na Nguvu kazi (kina Mnyika, Mdee et al) sababu ya hizi Sarakasi ambazo wala sioni kama zinafurahisha siweze kulaumu Chama fulani (Ukizingatia napenda kuishi kwenye nchi ambayo kuna Uhuru wa kila mtu kusema na kufuatilia na kufuata chochote anachopenda hata kama nakiona ni pumba), bali nalaumu mfumo mzima wa haya maigizo...., Ndio maana kitambo sana nilisema (Miaka miwili nyuma to be exact)
 
Shida si chadema, shida ni wewe na maccm wenzako kuendekeza wizi ufisadi, utakaji, Uonevu kuwaua kuwabambikia kesi za uongo chadema, mkiacha huo ushetani hakuna chama kitawasuta kwa mabaya yenu
Utakuwepo kwenye maandamano?
 
UFIPA mmesema na kuutangazia ulimwengu kuwa hamtaki kushiriki uchaguzi kwa kuwa mnataka manbo yenu yanayowaaminisha kuwa hayo ndiyo yatafanya msinde uchaguzi. Yaani bila hayo kufanyika hamuwezi kushiriki uchaguzi hata iweje! Watu wakaheshimu msimamno wenu huu na ilikuwa ni matarajio yetu kuwa mmetulia mnangoja siku mabadiliko yafanyike ili mrudi sasa kushiriki uchaguzi.
 
Back
Top Bottom