Wataalam wa kupinga watapinga kila kitu isipokuwa kifo cha ccm 2015
wapinzani wetu hawawezi kukubali kwa sauti,wanakubali kimoyomoyo
Hapa tunalitazama hili kisayansi sio rejareja tu mkuu,
Mkuu Yericko unaongea kwa kuwabembeleza sana,wapinzani na hasa CDM na CUF wameshinda uchaguzi kwakua hakuna WIN bila LOOSE.mimi nakaa kata yenye vijiji 8,CDM imechukua 6,CCM imechukua 2.mwanzo viti vilikua vya CCM vyote.nani kapokonywa hapo?nani kashinda?sasa hivi Balozi wangu ni UKAWA,Diwani UKAWA,Mbunge UKAWA kasoro RAIS.
Kila kukicha vijana wachace sana, tena wasiojitambua kutoka sehemu mbalimbali, wamekuwa wakisikika wakitoa majigambo mbalimbali kuwa eti uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa CHADEMA imefanya vizuri sana,nakwamba hiyo ni ishara tosha kuwa 2015 Oktoba njia ya kwenda Ikulu ni nyeupee!, Sasa mimi nauliza je kupata 14% kutoka 5% za awali ni mafanikio makubwa yanayotosha kuipeleka CDM ikulu? Baadhi ya vijana hawa bila aibu wengine wanatamba kuwa kwa vile CCM ilikuwa na asimia nyingi 2009 na sasa imebakiwa na 81, sasa Wananchi wameichoka. Je hii ni kweli ? Je mwanafunzi kama kwenye "weekly test" anapata 5%,mara akapanda na kupata 14% , ambazo zote kimsingi ni "F" , Je Mzazi wake akimchinjia Mbuzi na kumpongeza kuwa kwa vile alikuwa na 5% na sasa ana 14% basi mtihani wa Taifa atapata 100% au kufaulu kwenda Advanced Level (Form V)?, Mzazi wa jinsi hii atakuwa na busara kupoteza uhai wa mnyama huyo kwa kumpongeza mwanafunzi aliyepata 14%?
Mkuu ukawa imepata 38% na Ccm 47% take it from me...
Hiyo 14% mnajifariji pamoja na mapingamizi na kuapisha ambao hawaja shinda na wale ambao walishinda bila kupigiwa kura hahahahaView attachment 217817
Variable factors katika aspect mbalimbali za uchaguzi
1aftari la wapiga kura lililotumika ni lile la mwaka 2010 kwa hiyo CHADEMA kimefanya kazi kutoka pale kilipokua mwaka 2010
2: Kuna vijana wengi ambao hawajandikishwa kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura
3:Kuna maeneo ambayo CHADEMA hakikuweka mgombea mwaka 2010 lakini leo kimevuna maelfu ya kura
4:CHADEMA kilifanya operesheni kuzungumzia katiba Mpya,Kuboresha daftari la wapiga kura nchi nzima
5:Kata zilizochukuliwa CCM zimechukuliwa kwa wapiga kura wale wale wa Mwaka 2010
6:Maeneo yote ya kata hizo tuonyeshe uwiano wa kura za mwaka 2010 na kura za sasa tuweke kwenye analytical graph ili kujua pamoja na changamoto nilizotaja hapo juu kati ya CCM na CHADEMA ni kipi kimekua/kimekubalika kwa kasi tangu 2010
Ben Sanane, mbona unaanzisha ubishi usiokuwa na tija? Kwenye uchaguzi huu uliopita 2014 Des.hapakuwa na daftari la wapiga kura la zamani, pia "variable" gani unazojaribu kutumia wewe ili "ku-justfy" unayoyaongelea? kuwa mkweli , hesabu haina longo longo, takwimu zinasomeka CHADEMA 14% pekee ndicho ilichovuna, "nothing more", sasa wewe utetezi usiokuwa na "supporting Number" is imaterial" . Kumbuka "if a person can talk something using Numbers then he/she knows something about it".