CHADEMA imekata tamaa, imekubali yaishe

CHADEMA imekata tamaa, imekubali yaishe

View attachment 147226Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...

Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu

washkaji wamevuta midomo huku ndita kweli kweli, picture means a lot
 
View attachment 147226Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...

Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu

mokili ya Nzambe kanda ya nini papa?
 
Hii ni kweli kabisa si mchezo!
 
chadema bila Zitto kabwe haina nguvu.
 
Last edited by a moderator:
mjibu kwa hoja mkuu. yeye ametoa maelezo yake kamili japo mafupi yakiwa na hoja. usibwabwaje

Kuna hoja hapo? Mtaweweseka sana na ndoto zinazowazonga kuhusu cdm,kila siku mnaiota cdm! Mtakufa mtaiacha.
 
Mtoto mdogo akiona picha mbaya za vitisho katika tv akilala ni full kuweweseka,kwa CCM wameona taswira halisi la CDM,inakuja kwa kasi kuwakomboa Watanzania,mnawewesekaa,CCM mmekalia kitu chenye ncha kaliiii,maji mtaendelea kuita mma!
 
hawa cdm hawana chao chadema bila zitto ni makapi

mwambie aimarishe chama chake cha wasaliti.Kama cdm imekufa kwa nini kila siku kuiongelea? Kila uchao cdm cdm! Naona inawatisha sana magamba na mawakala wao.2015 sio mbali na tumejipanga kuchukua majimbo yote yaliyopo hapa Mwanza yaani Sengerema,Magu.Kwimba,Sumve,Misungwi.Kuhusu Ukerewe,Nyamagana na Ilemela hayo hata tukiweka jiwe lazima lishinde tu.Wakati nyie mnapiga porojo hapa sisi tupo kwenye mkakati mzito wa kuhakikisha magamba hayapati nafasi kanda ya ziwa.
 
Mtoto mdogo akiona picha mbaya za vitisho katika tv akilala ni full kuweweseka,kwa CCM wameona taswira halisi la CDM,inakuja kwa kasi kuwakomboa Watanzania,mnawewesekaa,CCM mmekalia kitu chenye ncha kaliiii,maji mtaendelea kuita mma!
Kasi ipi hiyo? Ya kukataliwa na wananchi?
 
View attachment 147226Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...

Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu

Tulia upakatwe mtoto wa kiume.We piga zogo watu tunapiga kimyakimya.Lumumba lazima tuje igeuza jengo la choo cha umma Kwa hasira.
 
Back
Top Bottom