Jikite katika hoja mkuu. Tunasema chadema imejikatia tamaa
Jikite katika hoja mkuu. Tunasema chadema imejikatia tamaa
Hata Sadam Hussein alisema hivyohivyo kuwa bado ni shujaa lakini akaenda kukamatwa kwenye shimo dogo alipojificha.Kama Chadema kimekufa subirini muone!
Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...
Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu
Soma tena content za mada then jenga hoja. Matusi yatazidi kuififisha chadema
Chagadema wanatia huruma sanaaa
mi c mchaga ss hiyo chagadema ndo nn??
badilika acha kukaririshwa madafu
Badala ya kupambana na CCM wao wanapambana na WAISLAM hicho kimewaponza pia bila kusahau ukabila wao,lakin nafasi bado wanayo wajirekebishe tuh
View attachment 147226Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...
Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu