CHADEMA imekata tamaa, imekubali yaishe

CHADEMA imekata tamaa, imekubali yaishe

Kuna maeneo ambayo elimu ya uraia haijaenea vya kutosha,Dodoma,singida,Iringa,Lindi,Mtwara,Tabora na katavi
 
kandanda dakika 90 ni mapema sana kuanza kuropoka,
Nyie subirini makundi yatakayoibuka chumbani kwenu mbona mtakimbiana,na mlivyo waroho wa madaraka tutaona tu ngoja mkaa ukolee vizuri.
 
chadema bora wamuombe msamaha zito mapema la sivyo hii saccos ya mtei tutaisahau
 
Ukanda,Ukabira,Udini na Kupeana vyeo kwa upendeleo wa kimapenzi ndivyo vimeua Chadema
 
Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...

Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu

kama mnajua chalinze wanaenda kusindikiza mbona mmejaza viongozi tele! Kuanzia shinani mpaka taifa....
Kama mnajiamini mngemwachia Ridhi one awe peke yake na watu wa jimboni .... Kijana hata kusema hajui...
Ccm inashinda sehemu ambazo bado ni wajinga wajinga, kama chalinze.....
 
naona magamba hapa mmekaa mnafarijiana hapa,cdm hii ambayo naijua mimi haiwezi kuffa hata siku moja bali inazidi kuchanua kwa kasi killa siku

Kweli nakubali kuwamfuasi wa Chadema lazima uwe na akiili za Maiti.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
CCM hainaga jipya siku zote za maisha. Chama kinachotawala kwa ujanja ujanja, sera za kiujanja ujanja, kushinda kwake ni kwa ujanja ujanja, angalieni hata bunge maalum la katiba wanaendesha kwa mbinu hizo hizo na wote wanakishabikia hiki chama ni upimbi ule ule.

Mtoa hoja huna hoja yoyote ya maana, umekesha usiku kucha unatunga hoja za kipimbi huku umasikini umekujaa hadi kwenye kucha. Nakushauri uhamie chdm tukitokomeze chama kilicholeta umasikini tz. Miaka 51 sasa wananchi bado wako gizani.
 
Acha kudanganya watanzania kwa mahaba yako wewe.Taifa linapambana na katiba wewe unaleta porojo watu wengine bhana mnamatatizo.hayo ni maoni yako siku yakikugeuka utatuambia nini hapa? Acheni kutudanganya.kama ni ushindi ccm watashinda lakini kuwadanganya watu kwamba kimekata tamaa ni mahaba yako tu.subiri wamalize katiba utanikumbuka maneno yangu
Mbona unatokwa povu jingi hivi mkuu
 
Mbona unatokwa povu jingi hivi mkuu

Tushikamane pamoja tuandike katiba mpya yenye maudhui mapana kiongozi haya mambo ya kivyama weka pembeni kwani hakuna shaka tar.6/4/14 Ridhiwani atakuwa mbunge wetu wanachalinze.

Mimi hutanielewa nimesimama kwenye nchi kwanza muda wa uchaguzi ukifika tutafanya siasa.kazi ni kwako wewe kuchukua hatua.
 
kama mnajua chalinze wanaenda kusindikiza mbona mmejaza viongozi tele! Kuanzia shinani mpaka taifa....
Kama mnajiamini mngemwachia Ridhi one awe peke yake na watu wa jimboni .... Kijana hata kusema hajui...
Ccm inashinda sehemu ambazo bado ni wajinga wajinga, kama chalinze.....
Team work mkuu
 
Tushikamane pamoja tuandike katiba mpya yenye maudhui mapana kiongozi haya mambo ya kivyama weka pembeni kwani hakuna shaka tar.6/4/14 Ridhiwani atakuwa mbunge wetu wanachalinze.

Mimi hutanielewa nimesimama kwenye nchi kwanza muda wa uchaguzi ukifika tutafanya siasa.kazi ni kwako wewe kuchukua hatua.
Umeongea kiutaifa sana mkuu, bravo....
 
Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...

Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu
Wewe ndiye mropokaji hadi kwenye uandishi...k.eng.e mkubwa!
 
kiongozi haya mambo ya kivyama weka pembeni kwani hakuna shaka tar.6/4/14 Ridhiwani atakuwa mbunge wetu wanachalinze.
Ridhiwani huyu huyu ambaye Goba juzi kagoma kuomba kura sababu tu hawajamjengea kibanda cha kuhutubia asipigwe na jua leo hii anachaguliwa?

Chalinze Jimbo alilololiongoza JK kwa miaka 15 lkn kwa elimu duni waliyo nayo mhitimu wa STD 7 anasifiwa kama msomi!
 
Mkuu nakuelewa sana lakini kwa sasa mimi sipendi kujikita kwenye siasa niko kwenye Tanganyika yangu.Tukimaliza katiba tutakuja kuichambua siasa mkuu.mwacheni mwana wa mfalme apite tutampima bungeni
 
Back
Top Bottom