CHADEMA imekata tamaa, imekubali yaishe

CHADEMA imekata tamaa, imekubali yaishe

mjibu kwa hoja mkuu. yeye ametoa maelezo yake kamili japo mafupi yakiwa na hoja. usibwabwaje

Anayebwabwaja ni huyo Ifweero,kila siku lazima cdm,sijui analipwa sh,ngapi kwa kila post,amakwelj cdm imewashika sehemu nyeti.
 
Chama kimekifa kifo kibaya sana
Kama kimekufa si ukiache wafu tuzikane wenyewe? Kwanini kujjisumbua kila siku na hoja moja tu? Hata kikienda makaburini tutaenda nacho, na wala hatuoni taabu wala aibu ya kujiita wanachama.wahenga walisema nyani haoni...
 
Back
Top Bottom