CHADEMA imekata tamaa, imekubali yaishe

CHADEMA imekata tamaa, imekubali yaishe

Chadema haiwezi kupona
-Pesa ya Sabodo zimepigwa meno
-Wajanja wamekiuzia chama magari mabovu
-Wamejikopesha ruzuku za chama
-Millioni 140 alizokopa Dr. Slaa ziko wapi?
-Chama hakina ofisi ya maana
-Uchaguzi wa chama haufanyiki
-Ubaguzi umetapakaa kote.
-Kuna chadema chumbani na chadema sebuleni
 
Chadema hakiwezi kupona
-Pesa ya Sabodo zimepigwa meno
-Wajanja wamekiuzia chama magari mabovu
-Wamejikopesha ruzuku za chama
-Millioni 140 alizokopa Dr. Slaa ziko wapi?
-Chama hakina ofisi ya maana
-Uchaguzi haufanyiki
-Ubaguzi umetapakaa kote.
-Kuna chadema chumbani na chadema sebuleni
 
CCMndio imekufa na ina nuuka....!! mtoto wa Mwenyekiti anagombea ubunge kwa kutumia nguvu ya baba yake!!! CCM inaendesha siasa zake kwa fitna tu..ni dalili za kufa hizo....!! kwenye uwanja sawa CC INA ISHANDWAHATA NA chausta!!
 
Kwanza hilo jina tu la ifweero kikwetu ni majanga sasa kwa unazi wako wa ccm bila haya uropoka unavyojisikia kwa vile umeshaahidiwa buku sana njaa itawamaliza.
 
Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...

Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu

HAMIS CHINGA.jpg
 
kuna watu kama 3 au 4 waliosababisha watu tuchukie cdm. Chama kmepoteza muelekeo sababu yao

Chadema ilikuwa zamani, hivi sasa watanzania wamekipuuza baada ya kugundua kuwa ni wajasiriamali wa kisiasa

Inahitaji uwe na akili ya maiti kuishabikia chadema

mkuu umekosea heading ilitakiwa kuwa chadema ilikufa bado kuzikwa tu

Chadema imefia kalenga, iko mochwari itazikwa chalinze

1. Mwenye stuli
2.kitabu mkuu
3.hazina
4.................????????????

Hivi chadema bado ipo? Tangu Wassira aseme hiki chama kitakufa kisiasa naona mwendo ndio huo kila kukicha.

Chama cha kilaghai tupa kule!

20051117.jpg
 
matokeo yake yule mungu waliyeanza nae kutoka kuzimu amewatoroka kwenye uchaguzi kule kalenga na sasa anawaita huko kuzimu.

nasi tumebaki kusema mungu wakuzimu alitoa na sasa anatwa. jina lake la huko kuzimu lihimidiwe, amen!

Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...

Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu
 
naona magamba hapa mmekaa mnafarijiana hapa,cdm hii ambayo naijua mimi haiwezi kuffa hata siku moja bali inazidi kuchanua kwa kasi killa siku

Hata NCCR haijafa, ipo, au sio? Isipokuwa "imekata tamaa imekubali yaishe".
 
Chadema ni sikio la kufa halina dawa watu wamemshauri sana mbowe lakini akajifanya mungu mtu.
 
Chama cha kifamilia na kikabila kitakuwa na support ya familia na kabila lake tu.
 
wewe ndio umekata tama kila siku chasema tu ndiyo unayoota hebu ongelea mambo mengineye yenye manufaa kwa nchi ya Tanganyika
 
CDM ipo juu sana katika historia ya siasa ya nchi hii.
CDM inapambana kumkomboa nyonge wa nchi hii na inapambana na:
1. ccm
2. policcm
3. nec ccm
5.TISSCCM
6.FORE CCM
7.Mafisadiccm
 
Haha kama huipendi ccm una matatizo bado, mtoto wa mwenyekiti anagombea kama anavyogombea Torongay, na msubiri kuvuna aibu nyingine chalinze
 
Back
Top Bottom