ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,341
Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe... Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu