CHADEMA imedumaa na wale wengine wamefubaa kabisa

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,115
Reaction score
136,850
Hiki chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi wa 2015, badala ya kuendelea kukua, sasa ni dhahiri kabisa kuwa hakifanyi hivyo bali kimedumaa, kinazidi kudumaa, na kimedhoofu sana.

Wengi wetu tiliona jinsi chama hicho kilivyoendelea kustawi baada ya uchaguzi wa 2010. Kati ya 2010 hadi 2015 chama kilikua, kilistawi, hadi kikawa tishio la kweli dhidi ya CCM na kukifanya chama hicho tawala kulazimika kufanya mabadiliko na kimsingi kukiri kwamba ufisadi ni tatizo kubwa.

Sasa toka 2015 mpaka hivi sasa hiki chama ni kama kimechanganyikiwa kabisa. Hakijui hata kifanye nini. Kutwa kucha kinapoteza wanachama wake wanaohamia CCM. Kinapoteza wabunge, madiwani, na kadhalika.

Wenye chama, kwa mujibu wa kauli na matendo yao, wanaona eti hakuna tatizo. Mbunge akikihama na kwenda CCM, wenye chama wanakuja na majibu yaliyo 'formulaic'. Oh...kanunuliwa huyo...oh wamenunuliwa hao.

Kwa mtindo huu, hadi kufikia 2020, kama hicho chama hakitajitafakari na kufanya mabadiliko, basi kitaingia katika huo uchaguzi mkuu kikiwa dhoofu kushinda wakati mwingine wowote ule.

Kuhusu CUF, ACT, TLP, UDP, na wengineo, who really gives a damn about them? Vimefubaa.

Naisubiri kwa hamu Oktoba nione nani mwingine atayeitosa CHADEMA na kuhamia CCM.

Yours very truly,

Big Bad Wolf.
 
Baada ya yeye mwenyewe kushushuliwa juu ya mtu ambaye yeye binafsi alimtuhumu mbele ya rais kwamba ni kikwazo cha maendeleo jimboni kwake na zaidi akimtuhunu mtu huyo kuwa ni mla rushwa ma mbadhirifu. Lakini mbele ya hadhara na dunia akaishia kupewa kashfa na kudharirishwa, baada ya kashfa hizo eti mwezi mmoja baadaye anaibuka kuunga mkono juhudi za mheshimiwa. Kwa akili ndogo tu unaweza ukapata picha ya matukio haya kuwa kama hayana blackmailing basi yanaendana na hongo.
Mwengine aliwahi kujisifu kuwa ana pesa ya kutosha kuendelea kununua wapinzani, ushahidi ulipotoka hadharani na TAKUKURU kuanza kufanya uchunguzi bwana yule akapandishwa cheo. Hiyo kauli ya kuwanunua ilitolewa na wao wala siyo wale wanaolalamika.
Zaidi ya hayo matukio unataka ushahidi gani juu ya hili? Kwanini uwasingizie walalamikaji kwa kauli zilizotolewa na washindami wao?
 
Niliusikiliza ule mkutano wao wa SERA na ITIKADI. Kwa kweli hawa ni wa kuonea huruma sasa.

I bet wabunge watakaobaki na Chadema hadi 2020 ni:
Mbowe, of course
Wa viti maalum
Lema
Nassari
Mdee
Bulaya
Matiko
Heche
Sugu
Msigwa
Mnyika
Kubenea?? sijui

Mkuu umefuatilia habari za hizi SERA na ITIKADI zilizoelezwa katika mkutano wao?
Hiki chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi wa 2015, badala ya kuendelea kukua, sasa ni dhahiri kabisa kuwa hakifanyi hivyo bali kimedumaa, kinazidi kudumaa, na kimedhoofu sana.

Wengi wetu tiliona jinsi chama hicho kilivyoendelea kustawi baada ya uchaguzi wa 2010. Kati ya 2010 hadi 2015 chama kilikua, kilistawi, hadi kikawa tishio la kweli dhidi ya CCM na kukifanya chama hicho tawala kulazimika kufanya mabadiliko na kimsingi kukiri kwamba ufisadi ni tatizo kubwa.

Sasa toka 2015 mpaka hivi sasa hiki chama ni kama kimechanganyikiwa kabisa. Hakijui hata kifanye nini. Kutwa kucha kinapoteza wanachama wake wanaohamia CCM. Kinapoteza wabunge, madiwani, na kadhalika.

Wenye chama, kwa mujibu wa kauli na matendo yao, wanaona eti hakuna tatizo. Mbunge akikihama na kwenda CCM, wenye chama wanakuja na majibu yaliyo 'formulaic'. Oh...kanunuliwa huyo...oh wamenunuliwa hao.

Kwa mtindo huu, hadi kufikia 2020, kama hicho chama hakitajitafakari na kufanya mabadiliko, basi kitaingia katika huo uchaguzi mkuu kikiwa dhoofu kushinda wakati mwingine wowote ule.

Kuhusu CUF, ACT, TLP, UDP, na wengineo, who really gives a damn about them? Vimefubaa.

Naisubiri kwa hamu Oktoba nione nani mwingine atayeitosa CHADEMA na kuhamia CCM.

Yours very truly,

Big Bad Wolf.
 
Nyani ngabu wakati mwingine unapotea sana kulikon mkuu.
Ulicho andika ni ukwel sana atakaibisha labda awe si mtanzania

Boksi huwa linanielemea ndugu yangu!
 
kanyaboya upo? We jamaa ni muongo sijapata kuona
 
Well said
Chadema kwishney walahi
 
Bado unadai unaishi marekani???
 
Jukumu la kudai demokrasia katika Tanzania sio la CHADEMA pekee bali ni la kila Mtanzania. Tunapoteza muda mwingi kuangalia CHADEMA imefanya nini au imefanywa nini badala ya kuiangalia Tanzania.

Sera nyingi zinazofanywa na Magufuli zitarudisha taifa nyumba sana. Magufuli ameua vitu vyote vinavyoweza kufanya vyama kujijenga: kuanzia mikutano ya siasa; kununua wabunge; kuwaminya Bungeni; kuwapiga na wakati mwingine kuwaumiza n.k. Vitu hivi vimeviweka vyama vya upinzani kwenye wakati mgumu sana.
 
Boksi huwa linanielemea ndugu yangu!
Certified Zéro Brain

This is to certify that on this date of 2018 Nyani Ngabu is allowed to use the title "Certified Idiot "
Unawezaje kutoa povu bila kuelezea kuwa serikali imezuia ushindani, Unajitekenya na kucheka yenyewe

Zéro brain kamanda Kama wewe hupaswi kuongea leo, Mashavu yanakuwasha baada ya wenzako kukuovertake kuingia CCM

Wewe ni zéro brain kamanda hujui ushike wapi ccm au chadema
 
chadema kosa kubwa lilikuwa kwa dr slaa kuondoka.lowasa ndye aliyekuja kukiua hiki chama.enzi ya dr slaa intelejisia ya chama ilikuwa juu sna.shv ni km wamekata tamaa liwale na liwe.
 
Chadema mficha maradhi kifo kitamuumbua.. ukweli ni KWAMBA chadema hakiwezi KU move on kwa sababu
Kina mafisadi wa Richmond mule ndani
Kina wauza ngada maarufu wa zamani
Kina mazero brain watu ambao shule hawajaenda au km wameenda Basi kwa kuungaunga
Kina waropokaji wa grade A
Kina mitom boy mule ndani
Kina wahuni
Kifupi CDM Ni jalala.japo wapo wachache waliokuwa na Nia nzuri happy mwanzo.ujumbe naowapa KARIBUNI NYUMBANI KUMENOGA
 
Certified Zéro Brain

This is to certify that on this date of 2018 Nyani Ngabu is allowed to use the title "Certified Idiot "
Unawezaje kutoa povu bila kuelezea kuwa serikali imezuia ushindani, Unajitekenya na kucheka yenyewe

Zéro brain kamanda Kama wewe hupaswi kuongea leo, Mashavu yanakuwasha baada ya wenzako kukuovertake kuingia CCM

Wewe ni zéro brain kamanda hujui ushike wapi ccm au chadema
I really regret being born among the stupidest people in the world

This guy goes by the name so called nyani bangu is among the most stupidest people in this forum
 
Wewe mwenyewe umedumaa
Hiki chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi wa 2015, badala ya kuendelea kukua, sasa ni dhahiri kabisa kuwa hakifanyi hivyo bali kimedumaa, kinazidi kudumaa, na kimedhoofu sana.

Wengi wetu tiliona jinsi chama hicho kilivyoendelea kustawi baada ya uchaguzi wa 2010. Kati ya 2010 hadi 2015 chama kilikua, kilistawi, hadi kikawa tishio la kweli dhidi ya CCM na kukifanya chama hicho tawala kulazimika kufanya mabadiliko na kimsingi kukiri kwamba ufisadi ni tatizo kubwa.

Sasa toka 2015 mpaka hivi sasa hiki chama ni kama kimechanganyikiwa kabisa. Hakijui hata kifanye nini. Kutwa kucha kinapoteza wanachama wake wanaohamia CCM. Kinapoteza wabunge, madiwani, na kadhalika.

Wenye chama, kwa mujibu wa kauli na matendo yao, wanaona eti hakuna tatizo. Mbunge akikihama na kwenda CCM, wenye chama wanakuja na majibu yaliyo 'formulaic'. Oh...kanunuliwa huyo...oh wamenunuliwa hao.

Kwa mtindo huu, hadi kufikia 2020, kama hicho chama hakitajitafakari na kufanya mabadiliko, basi kitaingia katika huo uchaguzi mkuu kikiwa dhoofu kushinda wakati mwingine wowote ule.

Kuhusu CUF, ACT, TLP, UDP, na wengineo, who really gives a damn about them? Vimefubaa.

Naisubiri kwa hamu Oktoba nione nani mwingine atayeitosa CHADEMA na kuhamia CCM.

Yours very truly,

Big Bad Wolf.
 
Ujinga ni kushindwa kuona na kutambua mazingira ya kisiasa ambayo wenye dola wmeyaweka/wamejiwekea ili kudhoofisha upinzani. Mikutano ya kisiasa wanafanya wao wakifanya wengine wanakamatwa,Live coverage ni kwa mtu mmoja tu hasa TBC wengine hata vyombo vya habari vinawaogopa sababu vyombo vyenyewe vimebanwa. Kuna mengi ya kihuni yanayoendelea ambayo kama huna akili utaona ni sawa.
 
Baada ya yeye mwenyewe kushushuliwa juu ya mtu ambaye yeye binafsi alimtuhumu mbele ya rais kwamba ni kikwazo cha maendeleo jimboni kwake na zaidi akimtuhunu mtu huyo kuwa ni mla rushwa ma mbadhirifu. Lakini mbele ya hadhara na dunia akaishia kupewa kashfa na kudharirishwa, baada ya kashfa hizo eti mwezi mmoja baadaye anaibuka kuunga mkono juhudi za mheshimiwa. Kwa akili ndogo tu unaweza ukapata picha ya matukio haya kuwa kama hayana blackmailing basi yanaendana na hongo.
Mwengine aliwahi kujisifu kuwa ana pesa ya kutosha kuendelea kununua wapinzani, ushahidi ulipotoka hadharani na TAKUKURU kuanza kufanya uchunguzi bwana yule akapandishwa cheo. Hiyo kauli ya kuwanunua ilitolewa na wao wala siyo wale wanaolalamika.
Zaidi ya hayo matukio unataka ushahidi gani juu ya hili? Kwanini uwasingizie walalamikaji kwa kauli zilizotolewa na washindami wao?
Mkuu whatever the case, tuache kuwasaidia viongozi wa Chadema na unnecessary excuses. Kinachoendelea kinaichafua Chadema na aina ya watu hasa viongozi walionao. Huwezi kupoteza wabunge kwa kasi namna hii tena kwa stupid reasons alafu tuache kujiuliza viongozi wamechukua hatua gani kuzuia ujinga kama huu.

Viongozi wa Chadema wanahitaji pressure kubadilika na bila nguvu yetu kwa pamoja kuwataka kuwajibika na kujenga upya uelekeo wa chama wataendelea kudeka kupitia utetezi wenu ambao daima unaishia kulaumu wanaohama tu.

Labda siku Mbowe mwenyewe atakaposema anaunga mkono juhudi ndio tutakuwa na mjadala wa maana.
 
Tunaelekea kubaya sana

Back
Top Bottom