Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Haya nenda kamuulize jiwe kwanini anawakubali hao wanao hama kutoka cdm na kuwapitisha bila kupingwa kwenye chama chake,huyo Mbowe naye ni binadamu kama wewe anahitaji kuishi maisha kama wewe yaani hata aibu huoni?
Mkuu whatever the case, tuache kuwasaidia viongozi wa Chadema na unnecessary excuses. Kinachoendelea kinaichafua Chadema na aina ya watu hasa viongozi walionao. Huwezi kupoteza wabunge kwa kasi namna hii tena kwa stupid reasons alafu tuache kujiuliza viongozi wamechukua hatua gani kuzuia ujinga kama huu.
Viongozi wa Chadema wanahitaji pressure kubadilika na bila nguvu yetu kwa pamoja kuwataka kuwajibika na kujenga upya uelekeo wa chama wataendelea kudeka kupitia utetezi wenu ambao daima unaishia kulaumu wanaohama tu.
Labda siku Mbowe mwenyewe atakaposema anaunga mkono juhudi ndio tutakuwa na mjadala wa maana.