atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,545
- 9,774
Tunakucheki tuuHuh? Mimi ni nani??? Ahahahaaaaa yaani nyie watu bana!!!
Tunakucheki tuuHuh? Mimi ni nani??? Ahahahaaaaa yaani nyie watu bana!!!
Bado unadai unaishi marekani???![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tunakucheki tuu
Hata kama slaa angukuwepo angeamrisha mikutano?chadema kosa kubwa lilikuwa kwa dr slaa kuondoka.lowasa ndye aliyekuja kukiua hiki chama.enzi ya dr slaa intelejisia ya chama ilikuwa juu sna.shv ni km wamekata tamaa liwale na liwe.
Ha ha ha 😂😂😂😂😂Chadema mficha maradhi kifo kitamuumbua.. ukweli ni KWAMBA chadema hakiwezi KU move on kwa sababu
Kina mafisadi wa Richmond mule ndani
Kina wauza ngada maarufu wa zamani
Kina mazero brain watu ambao shule hawajaenda au km wameenda Basi kwa kuungaunga
Kina waropokaji wa grade A
Kina mitom boy mule ndani
Kina wahuni
Kifupi CDM Ni jalala.japo wapo wachache waliokuwa na Nia nzuri happy mwanzo.ujumbe naowapa KARIBUNI NYUMBANI KUMENOGA
Mkuu your quite right,namshangaa mtoa mada kutoliona hilo.Ujinga ni kushindwa kuona na kutambua mazingira ya kisiasa ambayo wenye dola wmeyaweka/wamejiwekea ili kudhoofisha upinzani. Mikutano ya kisiasa wanafanya wao wakifanya wengine wanakamatwa,Live coverage ni kwa mtu mmoja tu hasa TBC wengine hata vyombo vya habari vinawaogopa sababu vyombo vyenyewe vimebanwa. Kuna mengi ya kihuni yanayoendelea ambayo kama huna akili utaona ni sawa.
Kamanda amepanick...😅😅😅Tulia kamanda.
Wameshakufananisha na yule Promota maarufu Nkwingwa....WamepanickHuh? Mimi ni nani??? Ahahahaaaaa yaani nyie watu bana!!!
Kuwapa ushauri CDM ni sawa na kwenda kutoa ushauri mortuary, ni kujisumbua tu labda kama una hamu ya matusi
Kutokubali udhaifu ulionao na kuurekebisha ni dalili tosha kabisa kwamba umeshashindwa! Mikutano ya kisiasa siyo njia pekee ya kuimarisha chama. Chama kinaiimarika kuanzia ndani ya chama chenyewe. Kama ndani ya chama chenyewe kumeparaganyika hata ufanye mikutano mingapi ya siasa ni bure tu. Ni sawasawa na familia kama baba na mama hawaelewani hiyo familia itakuwa inayumba na hata mwishowe kusambaratatika. Nguvu ya kitu chochote inaanzia WITHIN! hasa kwa binadamu.Hata kama slaa angukuwepo angeamrisha mikutano?
We Nyani Ngabu uwezi kuishi Ikungulyabhashashi.....?Naishi Ikungulyabashashi....
We Nyani Ngabu uwezi kuishi Ikungulyabhashashi.....?
Usituchafulie kwetu siye mzee baba