unatia huruma sana, then what happened cdm ndo uanpata umaarufu na sio cuf?chadema imedandia behewa la cuf!
Hawa wajinga ni wa kupuuza tu.
Mumewe hamtunzi!!!Huyu naye tumeshamchoka kwa nini asikae kwenye ndo yake atulie ajilie vya mmewe amekalia kuleta chokochoko hadi kwa majirani au kwa sababu mmewe anabifu na jirani yake
POLE mlimbwende kadumishe ndoa yakohahahahahahhahha mnatia aibu CDM kwani hamjui kuwa tuliwabeba sana?? kwani hamjui kuwa mliiga hadi rangi za bendera??/ mmesahau kuwa muafaka uliwauma sana kiasi kutuita CCM B??? halafu kweli wewe kilaza umesahau kuwa KIGOMA mlianza nyie NDOA??? then nikukumbushe kitu kaka sera ya serikali ya shirikisho yaani vyama vyote ni ya CUF ccm hawana, cdm hawana wote mnaiga. sasa basi nikuambie kitu CUF ndio wenye sera hiyo. na siyo niye vilaza mnaague vitu ambavyo hamvijui .