Naam hiki hasa ndo kinatafutwa, Mtoi anawaumiza sana akina Ritz, Chamviga, Chama, Faiza Fox na watu wenye mwelekeo huo, wamemuwinda muda mrefu wamefeli, walifanikiwa kumpata kwa urahisi The Big Show wa mtwara na sasa wamebadili mbinu ili waendelee kumsaka Mohamed Mtoi..Ninachokiona hapa hao waliokutuma wewe "funguo malaya" wanataka mumfitinishe na chama kila mwanachama wa CHADEMA aliye maarufu na mwenye kubeba haya majina ya Mohamed,Said,n.k ili baadae mhalalishe kete yenu ya udini kusema waislam hawatakiwi CHADEMA.Nenda kawaambie waliokutuma Lumumba kuwa umejaribu,umeshindwa,kuna milango(vyama) haifunguki kwa "funguo malaya".
Chamviga, rekodi yako hapa JF inaonesha una chuki kwa Wakristo. Hiyo chuki ndio chimbuko la hoja zako za kisiasa.
Rejea rekodi yako hii hapa
Kwa hiyo hatushangai. Ajenda yako ni ile ile.
MODS;
Mkuu Haki sawa ameshauri hili tamko lipandishwe kwenye hoja ya msingi kama majibu sahihi.
Mkuu mohamed Mtoi nadhani kuna haja ya kuangalia Taarifa hii kwa Mtazamo wa Kisheria zaidi na ikiwezekana hatua kama ya Yericko Nyerere muda fulani kuhusu kutishiwa ni vizuri ikafikiriwa,ili kupata Ufananuzi wa hicho kinachodaiwa na mleta Bandiko.
CC. Paw Invisible
Nimekudharau, kwa kuwa mtu aliyegubikwa na mtazamo wa chuki, huyo hajastaarabika hata kidogo.Kwahiyo umeumia sana au? Mimi nimesema kweli otherwise niprove wrong.
Angalieni tena maneno "itafsiriwe kwenye proper context!" sasa mpaka hapa sijaona katika chadema aliyeweka proper context,akiwamo msemaji wetu wa chama.tutegemee tu kuwa wenye wajibu wa kulinda chama chetu wanafanya kazi.
Mkuu Tumaini Makene, asante kwa taarifa hii kuhusu Chadema na viongozi wake katika suala zima la kupokea ushauri, ushauri siku zote huwa ni ushauri tuu, mshauriwa ana hiyari aupokee au kuupuuza, ila kwa mujibu wa kitu kinachoitwa "right to information" kwa mtu yoyote au taasisi yoyote ambayo iko paid by taxpayers money, the tax pays have all the right to know each and everything kuhusu chombo hicho ambacho ndio hatma ya kodi zao!.
Chadema is no exception, its not a "private party" to enjoy "the right to privacy", itahojiwa, itaulizwa, itachunguzwa, itashauriwa, na pale inapoboronga, itabamizwa kwa sababu ni kodi zetu ndizo zinazoiendesha Chadema!.
Kwa vile sote tuko humu jf, sisi wengine hatuna vyama, mazuri tutapongeza, madudu tutakemea, na kwenye ushauri tutatao, its up to Chadema to take it or leave it, ila kuna sisi wengine hatupendagi makelele ya watu kuja kutulilia humu kila baada ya miaka mitano!, ndio maana sisi wengine tunashauri, na tukiisha puuzwa, wakati wa kuleta vilio humu vya November, 2015, sio tuu tutawakumbusha tuliwashauri nini, bali badala ya kuwapa pole kwa vilio, tutawazomea tukiamini hayo ndio mliyoyataka!.
Asante.
Pasco.
Uliza shule yake kwanza. Maana angekuwa na shule angefanya mambo yake ya msingi bila kutumiwa na akina Mwigulu pale LumumbaMmh! Ndumira kuwili a k a Msaliti at work...hivi wewe ni Chadema au ni ACT? Alafu hicho ulichoandika mbona hakieleweki?
Utakuwa upuuzi wa aina yake kwenda kumsikiliza mhalifu eti akujuze wapi mhalifu mwenzie tafanya uhalifu kwenye Mali/Eneo lako.Ila cha msingi hapa ,ni wazi kuwa njama dhahiri iko njiani kufanywa/kutokea ndani ya CDM na hili si geni maana Madiwani toka Shinyanga wamelisema ,sasa inawezekana kukwama mpango wa kwanza Plani ya Pili iko njiani -Hivyo taarifa hii yaweza kuwa na harufu hivyo ni vizuri Idara husika ikafanye tathimini.
Mkuu Kilaza, asante!, ni mimi na account yangu haijabakwa!, ila nakiri sometimes if not most of the times, Pasco wa jf, huwa ni mpuuzi fulani!, ila 2015 November tutakutana humu kukumbushana baadhi ya maupuuzi, tulioshauri, yakapuuziwa!.this is too low for you
najua unao uwezo wa kufikiri vizuri zaidi ya hapa kama ukiamua kuacha unafiki na upunguani
naendelea kuamini akaunti yako imebakwa na sio wewe uliyeandika huu upuuzi
yaani wewe unataka cdm ichukue uchizi wa ludo kumfukuza mtoi....???
ka mtu chenyewe kanachoshauri ndo yuleyule aliyetumika kumtengenezea lwakatare kesi tena kwa shiling 50000 alafu leo cdm imsikilize laxima utakuwa na uchizi kidogo ndani yako kumuamini huyu mdudu(ludo)
Mkuu Kilaza, asante!, ni mimi na account yangu haijabakwa!, ila nakiri sometimes if not most of the times, Pasco wa jf, huwa ni mpuuzi fulani!, ila 2015 November tutakutana humu kukumbushana baadhi ya maupuuzi, tulioshauri, yakapuuziwa!.
Naombea sana hili lako jina, liwe ni jina tuu, ila wewe mwenyewe usiwe kama jina lako, kwa sababu tunatofautiana sana uelewa wa issues humu ndani, werevu sikuzote huwa ni wasikilizaji wazuri wa ushauri!, hata akiambiwa na kichaa kuwa nyuma kuna nyoka, mwerevu atageuka!, mjinga ndio atapuuza kwa sababu aliyemwambia ni mwenda wazimu!.
Haijalishi huyo mwendawazimu aliwahi kuwafanyia nini nyuma, kinachotakiwa kufanywa na ni kusikiliza na sio lazima ku act!.
Mimi mwenyewe hapa nilipo sina chama, lakini nina marafiki zangu kibao CCM, Chadema, CUF na NCCR!, najua 100% sure ndani ya UKAWA kuna wana Ukawa wa ukweli na kuna "wasanii" tena ni wakubwa tuu, ila wako kwenye "payroll" ya wale "jamaa zetu", mimi nawajua fika!, kwa vile siko Chadema, nikiwashauri Chadema kuwa makini, kuwa ndani ya kundi lao la Mamba "Ukawa" na kenge wapo!, wanaweza wakapuuza!, jee unaijua kazi ya kenge kwenye kundi mamba?!. Kwa anayeijua kazi ya kenge kwenye kundi la mamba, hawezi kuambia kuna kenge na safari ikaendelea!, akapuuzia, eti tuu kwa sababu mtoa taarifa za kenge ndani ya kundi la mamba naye ni kenge!.
Asante.
Pasco.
Mkuu Kilaza, asante tena, kama in reality shetani amewahi kumshauri Mungu, what is Chadema kukataa ushauri wa shetani as if ni chama malaika!.leo mbona umelewa mapema hivyo mkuu
yaani unamaanisha shetani amshauri Mungu?????
u cant be serious
naendelea kuamini sio tu acc yako imebakwa bali na anayeitumia kalewa
Mkuu Tabby, asante kwa kutuwezesha kusoma "in between the lines", wengi wa wachangiaji wa uzi huh, wanaishia kuusoma juu juu tuu, na kujibu pumba with emotions!, ni wachache wenye uwezo wa kuzama deep ili kuuibua "the motive behind!" and the "underlying facts!"Katika kipindi kama hiki, mimi ningekuwa cDM, ningejali zaidi taarifa, halafu inatoka wapi na imenifikiaje yafuate. Sijafahamu hapa LUDO anachezea team gani. Kutoa siri za mwandani wake ccm hadharani ni kuhatarisha ajira yake pamoja na mahusiano na mwajiri mambo yanyoweza kumgharimu kazi na maisha.
Lakini, pia yawezekana mwajiri amebreach, Ludo akaamua kumwaga mboga angalau kidogo.
Yawezekana ikawa ni mkakati wa ajira yake, ku create tension na confusion CDM, ili Mohamed, Uongozi wa CDM ama wote wasiaminiane na wasiwe karibu. Na hili naliona katika hoja mbili "..... Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.
Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.
Blue ya kwanza ni Ishara kwamba Mohamed, amepata matatizo kwa sababu ya CHADEMA, na hivyo anaita wito wa kuwalinda viongozi wa CDM na chama ili yasiwakute yaliyompata Mohamed.
Blue ya pili, inaonyesha kwamba ama Dr. Slaa na Mbowe, wakikutana na Mohamed, atadhurika.
Utata wa kuielewa nia na uhalisia wa hoja ya Ludo ni pale anapoomba usalama uimarishwe kwa viongozi wa CDM ambao miongoni mwao ni Mbowe na Dr. wa ukweli, na hapo hapo anaonyesha hao viongozi tena ndio washika hatari. Maana yake nini?
Kwa haraka nilidhani ni tatizo la uandishi na uwezo wa kueleza, pengine wangeongea naye angetoa ufafanuzi. Nidyo maana nikasema wamskilize, wachunguze anachokisema kabla hawajakibeba ama kukibeza.
leo mbona umelewa mapema hivyo mkuu
ludo awe mshauri wa cdm
yaani unamaanisha shetani amshauri mungu?????
u cant be serious
alafu mkuu mbona unataka kujiona "mjanja"sana wewe eti baada ya nov 2015 tutakumbuka maneno yako kila mtu anajua cdm(hata cdm wenyewe wanajua hilo) urais haishindi ila mpango uliopo kwanza ni kuongeza wabunge wengi ili kuwa na nguvu bungeni .........
naendelea kuamini sio tu acc yako imebakwa bali na anayeitumia kalewa