Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,398
- 1,264
CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo
CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama.
Mwisho, tukubali mazungumzo ya mezani na glass za juice tugongeane ila ktk utekelezaji tuvute gia ya usingizi. Hii ni kwa sababu watanzania wengi wana ugonjwa wa kusahau mapema.
Mwaka mwema kwenu wote.
Mimi ni
Syringe bila dawa