Chadema iko mbali sana na waislamu

Chadema iko mbali sana na waislamu

20250331_202338.jpg
 
Tulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata

Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.

Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?
Wewe jamaa una usenge mwingi sana. Bakwata ni kitengo cha CCM cha kuwaghilibu Waislam waiunge mkono kwenye udhalimu wao wa kuifisadi nchi.
 
Tulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata

Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.

Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?
Una uhakika wamealikwa?Adui wa Waislamu ni sisi waislamu wenyewe tusitafute mchawi Mashekhee kibao wapo gerezani ulishawahi sikia Bakwata ikiwaongelea?
 
Tulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata

Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.

Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?
Wako biz na kitimoto MOSHI!
 
Viongozi wetu wa CHADEMA hawajaalikwa kwenye Baraza la Eid la Bakwata

Oparesheni NO REFORMS NO ELECTION Kanda ya Nyasa imeisha jana Iringa mjini.
 
Kuna mwanasheria mmoja wa chadema alishawahi kutamka kwa bahati mbaya kuwa hapendi viongozi wa nchi waislamu eti wanaharibu nchi nikamuangalia nikasema kweli chuki ni ugonjwa mmbaya sana
Mtaje huyo kiongozi kwa jina hapa.
 
..CCM wameshindwa hoja sasa wanakimbilia kwenye udini.

..No Reforms No Elections ni kwa ajili ya Watanzania wote bila kubagua dini zao.
 
Ndugu Muislamu, hayo mambo hayana Faida Wala maslahi kwa maendeleo ya dini yetu .

Usitumie dini malengo yako binafsi ya Kisiasa.
 
Hujaiona Grand Iftar iiliyoyoandaliwa na CHADEMA kanda ya Pwani?!
 
Tulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata

Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.

Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?
Huko huwa watu wanaenda tu eh? Wakiwa karibu na haki na kupinga dhulma si inatosha kuwa karibu na waislam?
 
chadema si chama rafiki kwa uislam hata kidogo, tazama safu yake ya kiuongozi, vita yao kubwa ni uongozi hawana diplomasia ya kijamii yaani kuishi na jamii zote Tanzania, ni chama hatari na cha kuogopa kwelikweli,wallah najiapiza hakitufai waislamu, mabaradhuli Hawa yarabh.

..CCM wenye damu ya Waislamu mikononi mwao ndio rafiki wa Waislamu?

..Mnataka Waislamu wangapi wafungwe, wateswe, na kuuwawa, ndipo mkubali kwamba CCM haipo kwa ajili ya Waislamu?
 
Tulitegemea tutaona Lissu na kundi lake baraza la eidel la liloandaliwa na Bakwata

Au baraza la eidel liloandaliwa na Shura ya imamu kupitia sheikh Ponda.

Lakini kokote hawapo. Halafu wanataka kuungwa mkono na waislam?
Imani inapokuwa mzigo mzito kuubeba
 
Back
Top Bottom