05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,643
Kuna ndugu hapa ni mwana Chadema mzuri Sana na ni mwenezi wa TAWI. nimekaa nae nikamwuliza hili swali Ila amefeli kabisa kunipa hoja akaanza kunitolea maneno ya dhihaka badala ya kujibu swali.
Binafsi sababu nnashida na majib kwa uthabiti nimeona nilete swali lang hapa JF.
Swali: Je, Chadema akipewa taifa la Tanzania leo anaweza kuliongoza?
CHADEMA wana elites wa kutosha kusimama katika Baraza la mawaziri ?
CHADEMA wana watu wa kutosha kusimama mikoa na wilaya ?
CHADEMA wataweza vipi kupata watu wa kufaa kuunda na kusimama sera katika idata za mahakama, Bunge na serikali kuu in general Huku wale Wana CCM tukiwa tumewapumzisha ???
Au Serikali mseto haikwepeki viongozi?