Chadema ikifutwa nashauri tuandamane nchi nzima

Chadema ikifutwa nashauri tuandamane nchi nzima

Yanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
Km unafikiri demokrasia ni kichaka cha kufanya uhalifu mmestukiwa hamuwezi tena kujificha humo mtafunuliwa, mtashughulikiwa ipasavyo. Chadema itajifuta yenyewe kwa kukiuka masharti ya usajili. Kitafutwa hakuna kima atatoa ht pua mtabaki kuandamana humu mitandaoni
 
Yanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
Wakati huu chama hakijafutwa mmeshindwa kuandamana, kikifutwa ndo muweze kuandamana kweli?
Tumia akili kufikiri.
 
MKuu sikushauri, unawezakuja kuishia kujiona upo peke yako mbele vikosi vya CCM vya kuchapa, watu wa hii nchi ni wanafiki sana usiahadaike na mitandao.
 
Kaanze kuwachukua wazaz wako kjjn nani huyo anakuwa na control ya watu wote tz zaidi ya muumba ss sote sio chadema walansio ccm cha msingi every one apambane na anapona anafaida napo cause hata wakiongia chadema sio wote watafaidika kama ilivo kwa ccm hawafaifiki wote
Mawazo ya kingese sana haya
 
Sawa
Mkutane viunga vya twita halafu muelekee barabara ya fesibuku, na muendelea mpaka raundi abauti ya Insta na kumalizia malumbano viwanja vya JF .....
 
Sitaki kuamini kuwa hizi ni comment za watanzania wale wale waliochafua manoo noo hadi bafuni+chooni..
secretarybird uliyejichora tattoo sijui wapi huku, njoo uone wanachocommen nduguzo!
Hata mshangazi wako@Binti wa zamani yeye kazi yake ni kuprovide kila comment..
HECHEEE! MURA WAITO TAIKALHA UKIRHEE
 
IMG_20250610_204958.jpg
 
Back
Top Bottom