Buttler Jo
JF-Expert Member
- May 26, 2025
- 900
- 804
Anza kwanza wewe afu wengine wafwatie..Yanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
Anza kwanza wewe afu wengine wafwatie..Yanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
Kama haitatokea safari hii huko CCM; basi haitatokea tena hadi chama hicho kisambaratike chenyewe.CCM wenyewe sidhani kama wana munkari wa uchaguzi mwaka huu, ngoja Bunge livunjwe tuone mwelekeo.
Hahaha 🤣😂, Mkuu usinivunje mbavu.Sitaki kuamini kuwa hizi ni comment za watanzania wale wale waliochafua manoo noo hadi bafuni+chooni..
secretarybird uliyejichora tattoo sijui wapi huku, njoo uone wanachocommen nduguzo!
Hata mshangazi wako@Binti wa zamani yeye kazi yake ni kuprovide kila comment..
HECHEEE! MURA WAITO TAIKALHA UKIRHEE
Tunapaswa kuliamsha sasa hivi.Yanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
Wewe askali polisi hohehahe unamtisha nani? Bosi wenu Wambura anaogelea utajiri wa mabilioni wakati ninyi mnalipwa mishahara kama MALAYA wa sinza. STUPIDKm unafikiri demokrasia ni kichaka cha kufanya uhalifu mmestukiwa hamuwezi tena kujificha humo mtafunuliwa, mtashughulikiwa ipasavyo. Chadema itajifuta yenyewe kwa kukiuka masharti ya usajili. Kitafutwa hakuna kima atatoa ht pua mtabaki kuandamana humu mitandaoni
Wewe na nani ni MSio kwa WATANZIA sisi, sisi ni maiti zitembeazo.
Says an experienced keyboard warriorYanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
Na kuna kila sababu inayoonyesha waarabu wamemwambia Familiarize nchi, tutakusaidia ili wale. Siyo sustainable kwa Tanganyika labda ZanzibarYanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
Thubutu!!Yanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
Ha ha ha ha ha !!Kweli kabisa lazima tukinukisheView attachment 3363542
Dada kalee mchepuko wako huu mziki haukuhusuHapo pa kuandamana utaandamana mwenyewe. Hii nchi ni keyboard warriors tu hamna mtu anatoka nje kupambania ugali wa mtu mwingine.
Msg ya jana ya Igunga ilifika penyewe. Uzuri vijana sasa hivi wapo makundi ya bpda . Kushawishika ni rahisi sana.Yanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
Dada kalee mchepuko wako huu mziki haukuhusu
Nimemtumana tusi baya sana HAKI YA MUNGUYanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi