Jiukize JPM pamoja na umwamba wake wote kwa nini alishidwa kuifuta? Huyu wa Zenji ndiyo aifute?, sawa aifute tu afu aone kama ataitawala kwa raha Tanganyika.Yanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi