CHADEMA Iitishe Maandamano dhidi ya Jeshi la Polisi?

CHADEMA Iitishe Maandamano dhidi ya Jeshi la Polisi?

Walikuja na ahadi kedekede wakati wa uchaguzi mkuu, zile zilizokuwa kwenye ilani yao ya uchaguzi (CCM) na nyingine za papo kwa papo ila mbona hii ya kuuwa raia wasiyo na hatia kwa kulitumia jeshi lao la polisi hawakuitangaza?
Hakika hii ndo ahadi waliyofaulu kuitekeleza vyema na kwa usahihi ila wakumbuke The Hague haikujengwa kwa ajili ya akina Pinochet peke yao.
 
Kamanda Precise pangolin;
wacha kamba kama ungekuwa unasikia uchungu ungekuwa Mufindi kuziba pengo la kamanda Mwangosi (R.I.P), inasikitisha na kuhuzunisha sana kuona kijana wa watu amepoteza maisha kwa sababu ya upuuzi wa mtu kam Dr. Slaa kulikuwa na ulazima gani wakati serikali ilishakataza, kama haitoshi baada ya tukio hili badala ya kuungana na familia ya marehemu bado alijitia kudai Chadema watafanya mkutano hivi tuseme angekufa mtoto wake au kaka yake Josephine bado angeyasema hayo? Leo kuna wazazi hawatalala, kwa majonzi, leo kuna watoto maisha yao yatabadilika kwa kumkosa baba, yote sababu ya nini kwa sababu ya mshenzi mmoja aliyekosa busara; mtailaumu polisi lakini kama huo ushindani wa kipuuzi usingeshinikizwa na mpumbavu Dr. Slaa Mwangosi (R.I.P) angekuwa hai, yeye amaeshinikiza akiwa hotelini kazi nyake ni kutoa vyambo watoto watu.
Makamanda akili kichwani mwenu hakuna mtu mwenye uwezo wa kushindana na nguvu ya serikali.

Chama
Gongo la mboto DSM
Gaddaff na hosin Mubarak walikuwa na nguvu ya serikali sasa wapo wapi? Waliuwa sana lakini mwisho ukafika hata siku moja nguvu ya umma Haijawahi kushindwa kulikuwa na haja gani ya kutembea na mabomu mpaka yamewajeruhi na polisi wenyewe mwisho wenu umefika
 
Walikuwepo watu wenye fikra hizi wakati wa utawala wa makaburu au wakati wa harakati za hai za raia. Waliamini kabisa kuwa serikali haitakiwi kupingwa, haitakiwi kuhojiwa, na haitakiwi kugomewa. Kwamba ukigoma serikali itakuua. Na ilikuwa kweli. Serili ziliua wananchi wake na kutumia nguvu nyingi sana kuwakandamiza. Kumbe kwa kufanya hivyo serikali inajipatia wapinzani wengi zaidi! Badala ya kuilaumu serikali kwa mauaji haya unalaumu CHADEMA. Kana kwamba CDM ndiyo ilishika bunduki na kumlipua Mwangosi.

Oh pity!

Mwanakijiji ,
Hili tukio limenigusa sana, na nasikitika sana nitaendelea kuhoji busara za Dr. Slaa; naamini labda mh. Mbowe kama angekuwako upuuzi huu usingetokea, ni jana tu nimesilikiza alivyoogea kihekima kama mwanasiasa aliyekomaa; Dr. Slaa hana busara za kiongozi; wewe utasema sema lakini ukweli utabakia palepale; tatizo sio Chadema tatizo ni Dr. Slaa anayetaka madaraka kwa nguvu zote; ni nani aliyewashikiniza wanachama kufungua tawi tena kwa makeke? Lilikuwa na ulazima gani? Kama Mwangosi angeuliwa ofisini au nyumbani kwake hapo lingekuwa shauri lingine silaumu polisi hata kama Mwangosi angekuwa baba yangu; ningeumia kwa kumpoteza baba na si vinginevyo NYUMBA YA KAMANDA WA VITA HAINA MATANGA WALA MSIBA, huyu mpumbavu Dr. Slaa kama angekuwa na mwanaharakati wa angekuwepo kwenye tukio yeye anachofanya ni kuchochea moto kwa simu akiwa hotelini, utamtetea sana Dr. Slaa labda kwa sababu mnaishi kwa posho ukweli hekima hana. I am sorry if I offended anyone but I am looking deep into cause and effect!

Chama
Gongo la mbotoDSM
 
Gaddaff na hosin Mubarak walikuwa na nguvu ya serikali sasa wapo wapi? Waliuwa sana lakini mwisho ukafika hata siku moja nguvu ya umma Haijawahi kushindwa kulikuwa na haja gani ya kutembea na mabomu mpaka yamewajeruhi na polisi wenyewe mwisho wenu umefika

Nguvu ya umma hamna mliyo nayo ni kikundi cha wapuuzi wachache, usifikirie watanzania mafala.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Serikali hipi iwaondoe ndugu yangu? Binafsi naamini serikali ndio inawatumia Polisi kuua raia wake.
Kinachotakiwa ni serikali kung'oka kwa kuteketeza raia. Katiba (hii mbofumbofu)inatoa fursa sawa kwa raia na wakaazi kuishi ihali serikali yenye jukumu la kulinda wananchi linateketeza mmoja baada ya mwingine ili watakaobahatika kubaki waendeleze uoga. Bado hatujafikia tipping point tunaikaribia, wengi wataendelea kumeagwa damu kabla uoga wawaTanzani haujaondoka.
Nashauri tutengeneze kumbukumbu za waanga wote wanaopigania uhuru wa kweli ili siku ya siku ikifika waorodheshwe kama mashujaaa wa kweli. Bila documentary, historia itasahaulika.

Ushujaa usiishie kwenye mtandao tu nilishasema baada ya tukio la Morogoro tunataka shujaa mwingine atokee ndani ya JF lakini kama kawaida yenu mnachombeza mkiwa kwenye web wanaoumia ni wengine; hivi wewe huoni fahari vizazi vijavyo vikiwa vikuangalia kwenye documentary na sisi tupate bahati kumzika shujaa wa kweli? kwa jinsi ulivyo mnafiki leo usingizi utaupata na uchi utakusimama umlale mkeo na huyo Dr. wako kadhalika ni kama wewe tu lakini wenye machungu ya kweli hivi sasa hali zao ni Mungu tu ndiye anayejua!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nguvu ya umma hamna mliyo nayo ni kikundi cha wapuuzi wachache, usifikirie watanzania mafala.

Chama
Gongo la mboto DSM
Nafikiri Pamoja serikali kupita jeshi la polisi kumuua Yule kijana pale morogoro kwa kudhania umma usingeudhuria lakini nafikiri uliona kwenye picha ule wingi wa watu. Sasa kulikuwa na haja gani kumpiga mwandishi wa habari na bomu? Kwanini msitumie hizo nguvu kulinda Mali asili zinazoporwa Kama wanyama Pamoja na madini na wizi mwingine uliopindukia wa Mali za umma. Mnatumia bomu kumuua mtu mwenye kamera kalamu na karatasi? Mkuu najua utakuwa mstari wa mbele kutetea kwasababu baba yako ana cheo kikubwa serikalini na amekupeleka USA kutokana na hela anayopata kwa kutukandamiza sisi lakini mkuu hizi laana za haya mauwaji hayatawaacha muogopeni mungu.
 
Precise Pangolin,
Nakuja Dar mwezi Nov nitakupateje ili nikuonyeshe nilivyo si kila anayeitetea CCM baba yake fisadi; maisha ni kupanga sio lazima upangiwe, Mwangosi hakuuliwa nyumbani kwake au ofisini kabla hujawalaumu polisi waulize hao walioshinikiza maandamano mbona wao hawakuwepo kwenye tukio kama si unafiki ni kitu gani

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mwanakijiji ,
Hili tukio limenigusa sana, na nasikitika sana nitaendelea kuhoji busara za Dr. Slaa; naamini labda mh. Mbowe kama angekuwako upuuzi huu usingetokea, ni jana tu nimesilikiza alivyoogea kihekima kama mwanasiasa aliyekomaa; Dr. Slaa hana busara za kiongozi; wewe utasema sema lakini ukweli utabakia palepale; tatizo sio Chadema tatizo ni Dr. Slaa anayetaka madaraka kwa nguvu zote; ni nani aliyewashikiniza wanachama kufungua tawi tena kwa makeke? Lilikuwa na ulazima gani? Kama Mwangosi angeuliwa ofisini au nyumbani kwake hapo lingekuwa shauri lingine silaumu polisi hata kama Mwangosi angekuwa baba yangu; ningeumia kwa kumpoteza baba na si vinginevyo NYUMBA YA KAMANDA WA VITA HAINA MATANGA WALA MSIBA, huyu mpumbavu Dr. Slaa kama angekuwa na mwanaharakati wa angekuwepo kwenye tukio yeye anachofanya ni kuchochea moto kwa simu akiwa hotelini, utamtetea sana Dr. Slaa labda kwa sababu mnaishi kwa posho ukweli hekima hana. I am sorry I offended any but I am looking deep into cause and effect!

Chama
Gongo la mbotoDSM

Naelewa msimamo wako. Unaamini serikali inatakiwa kutiiwa bila kuulizwa, kutenda bila kukatazwa na kuua bila kuwajibishwa. Kwa sababu ni "serikali". Unaweza kabisa kujikuta unalaumu kwanini Steve Biko aliuawa (kwanini hakutulia nyumbani kwake), unauliiza kwanini Mandela alifungwa (kwanini asingeacha harakati awe salama), unaweza kuwa unalaumu mababu wetu walioinuka dhidi ya utawala wa Mjerumani naye akawazima kwa ukatili usio kifani - kwanini waliinuka dhidi ya serikali tena wakiwa na maji waweza hoji.

Unavyomlaumu Dr. Slaa unalaumu kwanini asimame dhgidi ya serikali. Unasema kuwa "serikali imesema" kwanini abishe! Unataka watu wakiambiwa na serikali ruka basi waruke, wakiambiwa binuka basi wabinuke kwa sababu serikali imesema. Mwangosi alitaka kujua kwanini polisi wamemshikilia Godfrey Mushi wa Nipashe. Hilo ndilo kosa lake. Polisi wangeweza kabisa kumuita pembeni na kuzungumza naye kumueleza kilichotokea na hata kusema kuwa kama ana concern aende kituoni. Hawakufanya hivyo. Walimshika kwa nguvu na kumpiga, na kumlipua.

Unasema Dr. Slaa ndiyo abebe lawama! Ati kwa kwenda kufungua tawi la chama chake!! Kwamba serikali ilisema asifungue na yeye alitakiwa kukubali asifunguwe. Inasikitisha kuwa huoni kuwa polisi walitumia nguvu zisizo za lazima dhidi ya mtu asiye na silaha. Huoni - nina uhakika hata ukijaribu huwezi kuona hili - kuwa Polisi wangeweza kufanya mengi tu ya kumwondosha Mwangosi pale zaidi ya kumlipua at a close range. Huwezi kuona ndugu yangu kwa sababu unaamini serikali haikosei na ikikosea kosa ni la waliokosewa.

Hili linatisha.
 
Mbuzi ukimpigia gitaa huwa hashituki hata kama anakula mazao shambani.CCM NA VYOMBO VYAKE DHALIMU HAVITISHWI NA MAANDAMANO,NDUGU YANGU TANZANIA HAKUNA UJASIRI,MATHALAN WAMEUAWA RAIA WENGI HAKUNA MAANDAMANO WAKATI TUNISIA ALIUAWA RAIA MMOJA WAKAANDAMANA RAIA TAKRIBAN MILIONI 25.NCHI HII NI YA KIAJABU SANA.LEO HII ANAUWA MWANDISHI WA HABARI NASHANGAA VYOMBO VYA HABARI VINASHINDWA KUUNGANA ILI VIPAZE SAUTI YA PAMOJA DHIDI YA DOLA DHALIMU NA DHAIFU.HAKUNA MTU AU KIKUNDI CHA WATU WA NCHI HII WANAOWEZA KUTHUBUTU KUSEMA KWAMBA Ni wazalendo kuliko wengine unless wawe wanapanga mauaji.je,kunavyombo vinapanga mauaji?kama vipo fahamu hao si WAZALENDO BALI NI WAFANYAKAZI TU.PLEASE THE HAGUE,COME AND VISIT MY LOVELY COUNTRY TANZANIA,THE GVT IS KILLING ITS PEOPLE EVERY DAY.MUNGU WANGU.
 
Naelewa msimamo wako. Unaamini serikali inatakiwa kutiiwa bila kuulizwa, kutenda bila kukatazwa na kuua bila kuwajibishwa. Kwa sababu ni "serikali". Unaweza kabisa kujikuta unalaumu kwanini Steve Biko aliuawa (kwanini hakutulia nyumbani kwake), unauliiza kwanini Mandela alifungwa (kwanini asingeacha harakati awe salama), unaweza kuwa unalaumu mababu wetu walioinuka dhidi ya utawala wa Mjerumani naye akawazima kwa ukatili usio kifani - kwanini waliinuka dhidi ya serikali tena wakiwa na maji waweza hoji.

Unavyomlaumu Dr. Slaa unalaumu kwanini asimame dhgidi ya serikali. Unasema kuwa "serikali imesema" kwanini abishe! Unataka watu wakiambiwa na serikali ruka basi waruke, wakiambiwa binuka basi wabinuke kwa sababu serikali imesema. Mwangosi alitaka kujua kwanini polisi wamemshikilia Godfrey Mushi wa Nipashe. Hilo ndilo kosa lake. Polisi wangeweza kabisa kumuita pembeni na kuzungumza naye kumueleza kilichotokea na hata kusema kuwa kama ana concern aende kituoni. Hawakufanya hivyo. Walimshika kwa nguvu na kumpiga, na kumlipua.

Unasema Dr. Slaa ndiyo abebe lawama! Ati kwa kwenda kufungua tawi la chama chake!! Kwamba serikali ilisema asifungue na yeye alitakiwa kukubali asifunguwe. Inasikitisha kuwa huoni kuwa polisi walitumia nguvu zisizo za lazima dhidi ya mtu asiye na silaha. Huoni - nina uhakika hata ukijaribu huwezi kuona hili - kuwa Polisi wangeweza kufanya mengi tu ya kumwondosha Mwangosi pale zaidi ya kumlipua at a close range. Huwezi kuona ndugu yangu kwa sababu unaamini serikali haikosei na ikikosea kosa ni la waliokosewa.

Hili linatisha.

Haitishi ni wsiwasi wenu, Dr. Slaa hajakatazwa kuhoji ila njia haikuwa sahihi kuhoji si lazima uvunje amri ya serikali; nadhani unaelewa nini maana ya serikali iwe ni Vatican, Tanzania utendaji ni uleule, kwani Dr. Slaa kama angehoji kwa press conference hangesikika? Lawana atazibeba sana kamanda mkuu alisema "liwalo na liwe" sasa mlaumu kitu gani? Hilo alilolitaka mwanaharamu huyu Dr. Slaa limeshakuwa lakini ukweli kuna mzazi leo hajalala kwa majonzi , wakati Slaa anavuana chupi na Josephine

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Haitishi ni wsiwasi wenu, Dr. Slaa hajakatazwa kuhoji ila njia haikuwa sahihi kuhoji si lazima uvunje amri ya serikali; nadhani unaelewa nini maana ya serikali iwe ni Vatican, Tanzania utendaji ni uleule, kwani Dr. Slaa kama angehoji kwa press conference hangesikika? Lawana atazibeba sana

Chama
Gongo la mboto DSM

Ni kweli atabeba lawama; za wale wasiotaka kuangalia makosa ya serikali na polisi.
 
Haitishi ni wsiwasi wenu, Dr. Slaa hajakatazwa kuhoji ila njia haikuwa sahihi kuhoji si lazima uvunje amri ya serikali; nadhani unaelewa nini maana ya serikali iwe ni Vatican, Tanzania utendaji ni uleule, kwani Dr. Slaa kama angehoji kwa press conference hangesikika? Lawana atazibeba sana kamanda mkuu alisema "liwalo na liwe" sasa mlaumu kitu gani? Hilo alilolitaka mwanaharamu huyu Dr. Slaa limeshakuwa lakini ukweli kuna mzazi leo hajalala kwa majonzi , wakati Slaa anavuana chupi na JosephineChama Gongo la mboto DSM
Chama, kuna mahali nimekusoma kuwa endapo Mwangos angetulia nyumbani kwake haya yasingemkuta., unadhani alikuwepo pale kwa makosa? Na kama ni makosa ni lipi hasa.
 
mwanakijiji ,
hili tukio limenigusa sana, na nasikitika sana nitaendelea kuhoji busara za dr. Slaa; naamini labda mh. Mbowe kama angekuwako upuuzi huu usingetokea, ni jana tu nimesilikiza alivyoogea kihekima kama mwanasiasa aliyekomaa; dr. Slaa hana busara za kiongozi; wewe utasema sema lakini ukweli utabakia palepale; tatizo sio chadema tatizo ni dr. Slaa anayetaka madaraka kwa nguvu zote; ni nani aliyewashikiniza wanachama kufungua tawi tena kwa makeke? Lilikuwa na ulazima gani? Kama mwangosi angeuliwa ofisini au nyumbani kwake hapo lingekuwa shauri lingine silaumu polisi hata kama mwangosi angekuwa baba yangu; ningeumia kwa kumpoteza baba na si vinginevyo nyumba ya kamanda wa vita haina matanga wala msiba, huyu mpumbavu dr. Slaa kama angekuwa na mwanaharakati wa angekuwepo kwenye tukio yeye anachofanya ni kuchochea moto kwa simu akiwa hotelini, utamtetea sana dr. Slaa labda kwa sababu mnaishi kwa posho ukweli hekima hana. I am sorry if i offended anyone but i am looking deep into cause and effect!

Chama
gongo la mbotodsm

hakuna mjinga kama wewe katika jamvi hili,hatumjadili dr hapa ,tunajadili mauaji yanayofanywa na dola,acha ushabiki wa kijinga,je kwa akili zako nyingi unadhani kila polisi wakiuwa ni kwa sababu ya dr?ninyi ccm mtatoka kwa damu nyingi za watu mnaowala kama nyama.huwezi kudivert hoja ya mauaji haya ya kutisha yanayofanywa hapa nchini,kisha unamrukia dr.wetu.kwa taarifa yako dr ndiye rais wa mioyoni mwetu.mtaua sana mafreemason nyie ccm gongo latmboto.
 
Haitishi ni wsiwasi wenu, Dr. Slaa hajakatazwa kuhoji ila njia haikuwa sahihi kuhoji si lazima uvunje amri ya serikali; nadhani unaelewa nini maana ya serikali iwe ni Vatican, Tanzania utendaji ni uleule, kwani Dr. Slaa kama angehoji kwa press conference hangesikika? Lawana atazibeba sana kamanda mkuu alisema "liwalo na liwe" sasa mlaumu kitu gani? Hilo alilolitaka mwanaharamu huyu Dr. Slaa limeshakuwa lakini ukweli kuna mzazi leo hajalala kwa majonzi , wakati Slaa anavuana chupi na Josephine

Chama
Gongo la mboto DSM
Chama kwanini unapenda kukwepa kujibu hoja umeulizwa kulikuwa na haja gani ya polisi kutumia nguvu kubwa kiasi hicho kwa mwandishi aliyekuwa Hana silaha?
 
Chama, kuna mahali nimekusoma kuwa endapo Mwangos angetulia nyumbani kwake haya yasingemkuta., unadhani alikuwepo pale kwa makosa? Na kama ni makosa ni lipi hasa.

Kosa lilikuwepo, alikuwepo kwenye mjumuiko ambao ulikosa uhalali, na hata polisi walipokwenda polisi walikwenda kiamani walikuwa na bango linalokataza mkusanyiko ule; walichotakiwa ni kutii AMRI YA SERIKALI.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
hakuna mjinga kama wewe katika jamvi hili,hatumjadili dr hapa ,tunajadili mauaji yanayofanywa na dola,acha ushabiki wa kijinga,je kwa akili zako nyingi unadhani kila polisi wakiuwa ni kwa sababu ya dr?ninyi ccm mtatoka kwa damu nyingi za watu mnaowala kama nyama.huwezi kudivert hoja ya mauaji haya ya kutisha yanayofanywa hapa nchini,kisha unamrukia dr.wetu.kwa taarifa yako dr ndiye rais wa mioyoni mwetu.mtaua sana mafreemason nyie ccm gongo latmboto.

Ujinga ndio unawafanya wangine waishi wangine wauliwe hivi kwa akilia yako unakifikiri Dr. Slaa ni mjanja? Ujinga wake ndio unaowaponza wajanja; yeye kwa ujinga wake alikuwa hotelini akiwashinikiza wajanja matokeo yake ndio haya unayoona!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Haitishi ni wsiwasi wenu, Dr. Slaa hajakatazwa kuhoji ila njia haikuwa sahihi kuhoji si lazima uvunje amri ya serikali; nadhani unaelewa nini maana ya serikali iwe ni Vatican, Tanzania utendaji ni uleule, kwani Dr. Slaa kama angehoji kwa press conference hangesikika? Lawana atazibeba sana kamanda mkuu alisema "liwalo na liwe" sasa mlaumu kitu gani? Hilo alilolitaka mwanaharamu huyu Dr. Slaa limeshakuwa lakini ukweli kuna mzazi leo hajalala kwa majonzi , wakati Slaa anavuana chupi na Josephine

Chama
Gongo la mboto DSM

Tunakuonya wewe mpumbavu,kama huwezi kuchangia bila kumtukana Dr,tafadhali nenda facebook,hapa tunataka kutetea haki za binadamu usidivert issues,so far so long the gvt has been killing its people,the time has come to bring the peace to our country Tz.TAFADHALI USIENDELEE KUMSHAMBULIA DR KAMA UNAJIPENDA.
 
Ni kweli atabeba lawama; za wale wasiotaka kuangalia makosa ya serikali na polisi.

Mwanakijiji
Kabla ya kulaumu tunaangalia cause and effect kama usingevuta bangi usingebaka, kama usingelewa usingepata ajali hivyo ndiyo vitu tunavyoangalia!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kosa lilikuwepo, alikuwepo kwenye mjumuiko ambao ulikosa uhalali, na hata polisi walipokwenda polisi walikwenda kiamani walikuwa na bango linalokataza mkusanyiko ule; walichotakiwa ni kutii AMRI YA SERIKALI.
Chama Gongo la mboto DSM
Chama, Mwangos ni mwandishi wa habari. Kazi ya uandishi wa habari pamoja na nyingine ni kuripoti matukio. Narudia ni kuripoti matukio. Kwa maana hiyo Mwangos akiwa mwananchi mwajiriwa alikuwepo kazini kama mtumishi mwingine akitafuta mkate wa siku kwa njia halali kama mtu mwingine.
Hakukuwa na kosa yeye kuwepo katika 'mkusanyiko' usio halali kwasababu kazi yake ni kuelezea umma kuhusu kukosekana kwa uhalali wa mkutano nani amefanya nini n.k.
Kusema angekaa nyumbani yasingemkuta nadhani ni kumdhalilisha na kuudhalilisha utu wa mwadamu kiwango dah..

Ukiangalia picha, hivi Chama unaweza kuamini kuwa Polisi sita wenye silaha wameshindwa kumdhibiti Mwangos na kumfungulia mashtaka hadi wamuue kwa kitu cha namna ile!
 
Tunakuonya wewe mpumbavu,kama huwezi kuchangia bila kumtukana Dr,tafadhali nenda facebook,hapa tunataka kutetea haki za binadamu usidivert issues,so far so long the gvt has been killing its people,the time has come to bring the peace to our country Tz.TAFADHALI USIENDELEE KUMSHAMBULIA DR KAMA UNAJIPENDA.

Punguani sana hivi kwa akili yako Dr. Slaa unafikiri ana majonzi? Kama angekuwa na majonzi na wata wanaokufa kwenye hivi movement angamfikiria yule marehemu wa Morogoro kabla hajasababisha madhara kwa mwingine; Dr. Slaa kwangu namuona kama mshenzi ambaye hana maana yoyote ile kwenye maisha yangu; wewe kama kwako ni mesiah huo mpango wako, amani hailetwi kwa kuvunja amani kenge mkubwa wewe!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom