CHADEMA ifutwe kabisa

Jan 13, 2018
38
50
Watanzania wenzangu hamjambo?mimi sijambo ,kuna jambo moja naomba tuwekane sawa. Kuna vyama vya siasa kama CCM ambacho ni dume lao na vivyama vyama vya ajabu ajabu kama chadema,act ,cuf etc.hivi vyama vya upinzani havijui vinafanya nin na vimepoteza uelekeo wa kiutendaji.chama cha chadema nakiona kama kinaleta mtafaruku hapa nchini na hakijengi hoja badala ya kuleta migongano baina ya watu .
Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila ningependa mambo yafuatayo yatekelezwe mara moja.

1) Chama cha chadema kijitathmini ili kuona kwamba kama bado wanastahili kua chama cha siasa.

2) Msajili wa vyama vya siasa unatakiwa kutafuta namna ya kukifuta chama cha chadema na wenzake ambao hawana tija nchini.

3) Ndugu Mbowe anatakiwa aombe radhi watanzania na ikibid ajikane na ahamie chama tawala kwani chama chake hakna uhai mrefu tena.

4) Tundu lisu hatakiwi kuonekana tena nchini unless amekiri kuhamia ccm la sivyo abaki huko huko huko aliko.CCM inakuhitaji sana.

5) Tanzania ni nchi ya amani na tudumishe amani yetu.

6) Tanzania irudi haraka kwenye mfumo chama kimoja na nalitaka bunge litengeneze utaratibu wa kurudi huko.Tanzania hoyee.
 
Watanzania wenzangu hamjambo?mimi sijambo ,kuna jambo moja naomba tuwekane sawa. Kuna vyama vya siasa kama CCM ambacho ni dume lao na vivyama vyama vya ajabu ajabu kama chadema,act ,cuf etc.hivi vyama vya upinzani havijui vinafanya nin na vimepoteza uelekeo wa kiutendaji.chama cha chadema nakiona kama kinaleta mtafaruku hapa nchini na hakijengi hoja badala ya kuleta migongano baina ya watu .
Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila ningependa mambo yafuatayo yatekelezwe mara moja.

1) Chama cha chadema kijitatmini ili kuona kwamba kama bado wanastahili kua chama cha siasa.

2) Msajili wa vyama vya siasa unatakiwa kutafuta namna ya kukifuta chama cha chadema na wenzake ambao hawana tija nchini.

3) Ndugu Mbowe anatakiwa aombe radhi watanzania na ikibid ajikane na ahamie chama tawala kwani chama chake hakna uhai mrefu tena.

4) Tundu lisu hatakiwi kuonekana tena nchini unless amekiri kuhamia ccm la sivyo abaki huko huko huko aliko.CCM inakuhitaji sana.

5) Tanzania ni nchi ya amani na tudumishe amani yetu.

6) Tanzania irudi haraka kwenye mfumo chama kimoja na nalitaka bunge litengeneze utaratibu wa kurudi huko.Tanzania hoyee.
:oops:
 
Nadhani iwepo sheria ya kuvifuta vyama vitakavyoshindwa kushika dola ndani ya miaka 10 hii itasaidia kupunguza ruzuku inayoenda bure kwenye baadhi ya vyama.
 
Aliye karibu na mleta huu uzi naomba amasaidie kurudisha kichwa cha huyu mtu mahala pake ili aweze tena kutumia akili zake maana naona kama anatumia waste zaa masaburini.
 
Back
Top Bottom