CHADEMA ifutwe kabisa

sijasoma yote lakini kwa kukuelekeza ni kwamba CHADEMA ni moja ya vyama bora africa kinapita kwenye changamoto lakini kitakaa sawa tu.
fundi hajengi bila kukata tofari wala hashoni bila kukata kitambaa kwa hiyo ni swala la muda wapo watu wenye nguvu na ushawishi mkubwa tu bado hawajavaa viatu vyao sawasawa
 
Watanzania wenzangu hamjambo?mimi sijambo ,kuna jambo moja naomba tuwekane sawa. Kuna vyama vya siasa kama CCM ambacho ni dume lao na vivyama vyama vya ajabu ajabu kama chadema,act ,cuf etc.hivi vyama vya upinzani havijui vinafanya nin na vimepoteza uelekeo wa kiutendaji.chama cha chadema nakiona kama kinaleta mtafaruku hapa nchini na hakijengi hoja badala ya kuleta migongano baina ya watu .
Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila ningependa mambo yafuatayo yatekelezwe mara moja.

1) Chama cha chadema kijitathmini ili kuona kwamba kama bado wanastahili kua chama cha siasa.

2) Msajili wa vyama vya siasa unatakiwa kutafuta namna ya kukifuta chama cha chadema na wenzake ambao hawana tija nchini.

3) Ndugu Mbowe anatakiwa aombe radhi watanzania na ikibid ajikane na ahamie chama tawala kwani chama chake hakna uhai mrefu tena.

4) Tundu lisu hatakiwi kuonekana tena nchini unless amekiri kuhamia ccm la sivyo abaki huko huko huko aliko.CCM inakuhitaji sana.

5) Tanzania ni nchi ya amani na tudumishe amani yetu.

6) Tanzania irudi haraka kwenye mfumo chama kimoja na nalitaka bunge litengeneze utaratibu wa kurudi huko.Tanzania hoyee.
Ungefutwa wewe na ukooo wako kwanza ndio ingebora sana sababu ni aibu kuendelea kuwa na mabashite kama nyie hapa Tanzania hamna faida jitathimini uone kama una Faida ya kuishi
 
Watanzania wenzangu hamjambo?mimi sijambo ,kuna jambo moja naomba tuwekane sawa. Kuna vyama vya siasa kama CCM ambacho ni dume lao na vivyama vyama vya ajabu ajabu kama chadema,act ,cuf etc.hivi vyama vya upinzani havijui vinafanya nin na vimepoteza uelekeo wa kiutendaji.chama cha chadema nakiona kama kinaleta mtafaruku hapa nchini na hakijengi hoja badala ya kuleta migongano baina ya watu .
Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila ningependa mambo yafuatayo yatekelezwe mara moja.

1) Chama cha chadema kijitathmini ili kuona kwamba kama bado wanastahili kua chama cha siasa.

2) Msajili wa vyama vya siasa unatakiwa kutafuta namna ya kukifuta chama cha chadema na wenzake ambao hawana tija nchini.

3) Ndugu Mbowe anatakiwa aombe radhi watanzania na ikibid ajikane na ahamie chama tawala kwani chama chake hakna uhai mrefu tena.

4) Tundu lisu hatakiwi kuonekana tena nchini unless amekiri kuhamia ccm la sivyo abaki huko huko huko aliko.CCM inakuhitaji sana.

5) Tanzania ni nchi ya amani na tudumishe amani yetu.

6) Tanzania irudi haraka kwenye mfumo chama kimoja na nalitaka bunge litengeneze utaratibu wa kurudi huko.Tanzania hoyee.
Kinyesi kitupu umeandika.
 
sijasoma yote lakini kwa kukuelekeza ni kwamba CHADEMA ni moja ya vyama bora africa kinapita kwenye changamoto lakini kitakaa sawa tu.
fundi hajengi bila kukata tofari wala hashoni bila kukata kitambaa kwa hiyo ni swala la muda wapo watu wenye nguvu na ushawishi mkubwa tu bado hawajavaa viatu vyao sawasawa
Uzi wake ni ironic, kaandika kimajungu uzi wake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom