Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,513
- Thread starter
- #101
Toa mapendekezo Yeriko.
Nilimsoma Dady0000 na kumweelewa. Kwa kifupi itikadi ya cdm iko imara na inakipa nafasi chama uwanja mpana kucheza nayo watakavyo. 2015 si mbali na sidhani kama Watanzania watakuwa wasahaurifu ( japo ugonjwa huo hupo) nguvu ya umma ya cdm ya mwaka 2012 and mid 2013. Suala tu la muda na ni kubsliane nawe sasa kwamba nguli wa siasa za cdm waitane sasa ktk mikakati mipya....ikiwa ni pamoja na mashinikizo ya kisiasa kwa serikali kupata tume mpya ya uchaguzi kama sivyo kupata sheria mpya za uchaguzi.
ccm wanajua karata yao ya mwisho ilikuwa uchongsnishivna upandikizaji wa vibaraka ndani ya cdm...now that has failed...wakarukia katiba mpya ambayo tayari cdm is out of their fake game.
Ukisoma makala yangu yote mpaka mwisho utaona, nimependekeza chakifanya ili kuongeza nguvu kuelekea 2015.