Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,518
- Thread starter
- #141
Baada ya kunielewesha nimekuelewa mkuu Y.Nyerere,Itikadi iko safi na kama mie nilivyosema hii Tanganyika huru na Zanj huru kwa Tanzania mpya naunga mkono iongezwe katika kaulimbiu kwani inasadifu madai yaliyopo kwasasa na ina matakwa ya kijamii kwa ujumla.
Thanks!
Asante sana kwakunielewa mkuu,