CHADEMA ibadili slogan ya itikadi yake haraka kuelekea 2015

CHADEMA ibadili slogan ya itikadi yake haraka kuelekea 2015

Kama cdm haijawai kuongeleya kitu ambacho wakiingia madarakani tutafanya hiki nakile basi hamna haja ya wao kushika dola

Nijuwavyo mm ukianza kampeni unakuwa na malengo mfano nikiingia madarakani elimu ya awali nitawagawia wanafunzi wotte madafta lack top vitabu kila mwanafunz na dawati lake

Ilimu ya juu nitaboresha zaidi sera kwa kweli ni nyingi ss cdm wao hawna

kampeni ya uchaguzi kwa

kawaida inakuwa si zaidi ya wiki sita.Sasa unataka kuniambia kuwa baada ya uchaguzi chd watakaa miaka mitano kusubili uchaguzi mwingi ili waweze kuuza sera zao?Jibu sio,wakati ndio huu, katika kampeni unakwenda kuonana na wananchi,na katika kipindi hicho kunakuwa na hamasa za uchaguzi, and mind u that u are not alone.Every political party will be doing the same we the wananchi.
Mfano unamuona Kinana anatembelea mpaka vijijini ndani kabisa,na kuuza sera za chama chake,ikibidi anawaita watekelezaji wa ilani yake kuwa mizigo, na kuiombamba mamlaka ya kuwachagua kuwapiga chini,ili kasi ya maendeleo iwe kubwa zaidi,LENGO LIKIWA 2015 WACHANGULIWE TENA.UPO.
 
Mkuu kwakweli huyu mtu nadhani ni mgonjwa wa akili, yani unamfundisha jambo hapa, lakini baada ya dakika kumi tu anauliza jambo hilohilo.

mkuu. Mlivyokuwa mnamtukana
naibu katibu mkuu zito. Mlikuwa
mnatumia itikadi gani? Au ni ile
itikadi ya udini na ukabila
 
Back
Top Bottom