CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

Ndoto ya mwendawazimu!!!!!

NI Zitto AU Slaa? Bado hakijaeleweka.

Kwanza malizeni mgogoro ndani ya chama, IKULU baadae.

DEMOCRACY NOW.



CHADEMA Wameyakabili matatizo yao. CCM kila kitu mmeshindwa,Majangili waua Tembo wana nguvu kuliko Serikali ya CCM.Madawa ya Kulevya Yanaingizwa Nchi imeigezwa kuwa uchochoro, Migogoro ya Wafugaji na Wakulima inaongezeka badala yakumalizika. CCM HAIONYESHI DIRA YAKUENDELEA KUTAWALA ZAIDI.
 
Kwa uhakika kadri siku zinavyoyoyoma tunatabainisha wazi kuwa ni chama gani kimejipanga kuingia Ikulu baada ya upigaji Kura wa Uchaguzi Mkuu wa 2015.


Bila ya kupendelea, CHADEMA wako makini sana na graph yao iko juu kwa kila Wanachokifanya, Wanachaamua ama Wanachokabiliana nacho kwa ajili ya mstakabali wa chama cha chao na hatima ya kuingia Ikulu.


Wakati CCM wanaendelea na mtindo wao wa kubadili badili Makatibu wakuu kwa sababu wanashindwa kukabiliana na kasi ya Utawala Imara wa CHADEMA chama kikuu cha Upinzani.CHADEMA wao wameonyesha uthubutu wa kufanya Maamuzi magumu.

CCM kwa muda mrefu sasa kinatumia Rasilimali nyingi,Muda mwingi na Nguvu nyingi kupitia Polisi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama KWA KUJIHAMI badala ya kujijenga kuanzia ngazi zote na kwa rika zote.


CCM imebaki na Propaganda zisizo na mashiko wala hazijengi Taifa letu.Kuwatumia watu aina ya Mwigulu kwa kuibua Propaganda chafu dhidi ya Upinzani huko ni Kujidhalilisha, Kukosa mwelekeo na Kupoteza hali ya kukubalika kwa Wananchi.

Kwa ujumla zama za leo Wananchi wana uelewa wa juu sana juu ya mambo ya siasa za Nchi yetu.Wanajua Mbichi na Mbivu.

Kwa asilimia kubwa CHADEMA wanaeleweka vizuri zaidi kwa Umma kila wanapozungumzia mambo ya Kitaifa kuliko CCM.Mfano,RASIMU YA KATIBA (KATIBA MPYA), GESI na URANIUM.


kwa hali halisi iliyopo hata kwenye mikutano ya kisiasa CCM wakitaka kufanya mikutano lazima waandae masinia ya wali na malori na mabus yakusomba watu kutoka hadi wilaya nyingine ndio Mkutano angalau utajaa watu.Lakini sivyo hali ilivyo kwa CHADEMA wao bila hata ya kutoa Kanga na Tisheti bure Wananchi popote ulipo mkutano watajaa pasipo kusombwa na magari.


Kwa mtindo huu 2015 Ikulu inashauku kubwa ya Kuipokea CHADEMA.

Nchi nzima inazizima kuwalaki Viongozi wa CHADEMA,CCM hawataki kusikia maneno kama haya Lakini Ukweli ndio huu 2015 IKULU NI YA CHADEMA.

Ikulu si ya CCM wala CHADEMA, Ikulu ni ya watanzania
 
WANANCHI Ndio wanaoridhia ni chama gani kishike Dola, na chama kitakachoshinda Mgombea wao Ataingia Ikulu kwa niaba ya Wananchi.

SOMO LINAELEWEKA NA KUWAINGIA IPASAVYO.
 
SIDHANI KAMA INAWEZEKANA, INAMAANA WANAINGIA KWA MTUTU WA BUNDUKI?... jua 'mbwa anayebweka huwa hawezi kuuma"!
 
Hiyo ikulu labda iwe ya kule kiboroloni au masama;
kama ni magogoni sema NO kwa CHADEMA;
sema YES kwa CCM.
 
Mmeshikwa na wendawazimu ninyi chadema hakuna mtu mwenye akili ya kuongoza nchi,wote wanatumia yale majani makali.
 
Mmeshikwa na wendawazimu ninyi chadema hakuna mtu mwenye akili ya kuongoza nchi,wote wanatumia yale majani makali.

hivi sugu,lema,nasary,afande sele wakikutana wanajadili nini zaidi ya bange?
 
Kwa nini walio upande wa CCM mkibanwa kwenye kona kwa kuelezwa Ukweli kazi yenu ni kutoa Matusi tu???

UPEO WENU WA KUZIKABILI HOJA NDIKO ULIKOISHIA???

Nilitarajia Vijana wa Lumumba watapinga Kwa Hoja nzito Wakituonyesha ni namna gani 2015 IKULU SI YA CHADEMA na wala hakuna anayetueleza Jinsi gani inawezekana CCM kubakia Ikulu.

Hizo ndio Propaganda mnazofundishwa na Nape za kutukana tu!!! Mmefilisika mpaka kwenye Ubongo.


Ama kweli kwa mwendo huu 2015 IKULU NI YA CHADEMA.
 
CCM Wanajua sana ukweli ndio maana hawataki mambo haya yakamilike kabla ya Uchunguzi Mkuu 2015.

1.Maboresho ya Daftari la Kudumu la wapiga Kura.

2.Tume Huru ya Uchaguzi.

3.Katiba Mpya.
 
Mh. Mbowe atakuja kumnadi mgombea wa CHADEMA ndugu YAHYA kwenye kampeni zinazoendelea hapa kata-Namikango.

CHADEMA TUTASHINDA.
 
chadema ni genge la waporaji, mnachukua pesa za wananchi maskini kwa ujanja ujanja kwa nini??
 
We jidanganye, wenye tz wameamua subiria uone. Huo ni ujinga ulio nao na hilo ndilo tatzo la lumumba
 
CCM NI WEZI WAKUBWA TZ. MWAKA 2007 Dr. Slaa alimtaja Kikwete kuwa mla rushwa mkubwa TZ. leo amebariki posho UNATABASAMU!
 
Back
Top Bottom