CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

CHADEMA walianza kama hawapo na hakuna aliyedhania kuna siku CDM kitakuwa chama kikuu cha Upinzani ni Mwl. NYERERE peke yake aliona mbali kwa ajili ya CHADEMA.

Graph yao haijawahi kushuka kila tunapofanya Uchaguzi. wengi bado ni vipofu hasa MACCM watakuja fumbuliwa macho CHADEMA TAYARI WAKO IKULU.
 
kila mtu amechoshwa na ccm lakini bado hakuna chama cha kuongoza nchi kutoka upinzani hao chadema mara nyingi wanakurupuka wajipange sana miaka 50 ijayo wanaweza shika nnchi
 
Ni kweli mkuu! hatuwezi kuwaachia wezi wa EPA, richmond, green bank na kagoda kuendelea kutawala. Wamekalia kufanya ufuska na anasa ambazo wananchi wanasema sasa basi. Ahadi kibao lakini hakuna utekelezaji aka maisha bora kwa kila mtanzania, kujivua gamba, mawaziri mzigo, rais mzururaji na kibakuli mkononi. Pipozzzzzzzzzzzzzzzz
View attachment 135831
 
Kiburi kama cha KANU chama tawala Kenya enzi hizo ndio bado kimewashika wengi hasa watawala wetu.

ccm wanaona wao ndio wana haki yakutawala Taifa hili milele 2015 sio mbali CHADEMA itawashangaza wasioamini juu ya MABADILIKO.
 
Harakati za kuhakikisha CHADEMA inatwaa dola na serikali ya Tanzania inaundwa na Chama hiki mwanzo niliona haitawezekana kwa sababu CCM ni chama kilicho jizatiti kutetea nafasi yake labda kutokana na huwezo wao kifedha.Ila sasa dalili za CCM kufungasha na kuwapisha CHADEMA naona zinakaribia kutokana na kwamba CCM wenyewe wanagongana na CHADEMA yazidi kueleweka kwa wale wazalendo wa CCM,pili CHADEMA inajaribu kutoa dira kwa wananchi ni namna gani tunaweza kutoka katika dimbwi hili la tope zito tulilonasa takribani miaka 52 na kivipi tunaweza songa mbele kitu ambacho waasisi wa safari ya maendeleo kwa taifa hili wameshindwa.Maoni yangu kwa wananchi ni kuwa mabadiliko ya taifa hili ni jukumu la kila mmoja wetu na nafasi ta kuleta mabadiliko hayo tunayo sisi wenyewe kupitia haki tuliyonayo na kupiga kura na kuchagua,Kiongozi bora si bora kiongozi kama wale tulioanza nao safari na kutuishia ndani ya dimbwi.
 
Ikulu ni mahala pa takatifu, haiwezi kukanyagwa na wahuni, wazinifu na waporaji wa ruzuku

duuh akili za Lumumba ni laana tupu....umesahau ufisadi wa kutisha wa EPA, RICHMOND, KIWIRA, kweny halmashaur, tamisemi, mishahara hewa!!! a cha ujinga kumbuka rushwa iliyotumika kweny uchaguz ndan ya ccm mpaka wajumbe walihongwa choon wanawake....hahahaha jiulze baada ya kuhongwa choon kiliendlea nin......acha akil ya kukopa dogo!!!
 
Ni kweli mkuu! hatuwezi kuwaachia wezi wa EPA, richmond, green bank na kagoda kuendelea kutawala. Wamekalia kufanya ufuska na anasa ambazo wananchi wanasema sasa basi. Ahadi kibao lakini hakuna utekelezaji aka maisha bora kwa kila mtanzania, kujivua gamba, mawaziri mzigo, rais mzururaji na kibakuli mkononi. Pipozzzzzzzzzzzzzzzz
View attachment 135831

Aibu yao CCM.
 
Mkuu mleta Hoja Ungeandika heading yako isomeke hivi "2015 Ikulu ni ya Wananchi" Maana CDM inaamini kwenye nguvu ya umma na umma ni Wananchi.

Ni kweli mkuu, CCM kwa sasa wanakodi maturubai, viti na kibali cha sehemu ya kuuhifadhi mwili... (lol)
 
Hivi bado kuna mtu anawaza juu ya mfu CCM ?!!!? Ha mbatuabisha kuzungumzia mfu. RIP CCM tulikupenda lakini Mungu kakupenda zaidi.
 
Kwa uhakika kadri siku zinavyoyoyoma tunatabainisha wazi kuwa ni chama gani kimejipanga kuingia Ikulu baada ya upigaji Kura wa Uchaguzi Mkuu wa 2015.

Bila ya kupendelea, CHADEMA wako makini sana na graph yao iko juu kwa kila Wanachokifanya, Wanachaamua ama Wanachokabiliana nacho kwa ajili ya mstakabali wa chama cha chao na hatima ya kuingia Ikulu.

Wakati CCM wanaendelea na mtindo wao wa kubadili badili Makatibu wakuu kwa sababu wanashindwa kukabiliana na kasi ya Utawala Imara wa CHADEMA chama kikuu cha Upinzani.CHADEMA wao wameonyesha uthubutu wa kufanya Maamuzi magumu.

CCM kwa muda mrefu sasa kinatumia Rasilimali nyingi,Muda mwingi na Nguvu nyingi kupitia Polisi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama KWA KUJIHAMI badala ya kujijenga kuanzia ngazi zote na kwa rika zote.

CCM imebaki na Propaganda zisizo na mashiko wala hazijengi Taifa letu.Kuwatumia watu aina ya Mwigulu kwa kuibua Propaganda chafu dhidi ya Upinzani huko ni Kujidhalilisha, Kukosa mwelekeo na Kupoteza hali ya kukubalika kwa Wananchi.

Kwa ujumla zama za leo Wananchi wana uelewa wa juu sana juu ya mambo ya siasa za Nchi yetu.Wanajua Mbichi na Mbivu.

Kwa asilimia kubwa CHADEMA wanaeleweka vizuri zaidi kwa Umma kila wanapozungumzia mambo ya Kitaifa kuliko CCM.Mfano,RASIMU YA KATIBA (KATIBA MPYA), GESI na URANIUM.

kwa hali halisi iliyopo hata kwenye mikutano ya kisiasa CCM wakitaka kufanya mikutano lazima waandae masinia ya wali na malori na mabus yakusomba watu kutoka hadi wilaya nyingine ndio Mkutano angalau utajaa watu.Lakini sivyo hali ilivyo kwa CHADEMA wao bila hata ya kutoa Kanga na Tisheti bure Wananchi popote ulipo mkutano watajaa pasipo kusombwa na magari.

Kwa mtindo huu 2015 Ikulu inashauku kubwa ya Kuipokea CHADEMA.

Nchi nzima inazizima kuwalaki Viongozi wa CHADEMA,CCM hawataki kusikia maneno kama haya Lakini Ukweli ndio huu 2015 IKULU NI YA CHADEMA.

Bangi mbaya sana !!!
 
bora ikulu iwe cdm bhana maana tumechoka na ukiritimba wa wavua gamba mana kila leo nikuvua gamba sijui litakwisha lini hilo gamba la nyoka lao
 
Nafikir jinsi mlivyo na tamaa ya madaraka ndomana mnaona hata nchi mnaweza kupewa, hilo hilitawezekana kwa gharama yoyote inchi otabaki mikononi mwa CCM daima

Ndo mana tunasema ccm ndo watakaoanzisha vita mana hawataamini wala kukubali kitakachotokea 2015.
 
Kwa uhakika kadri siku zinavyoyoyoma tunatabainisha wazi kuwa ni chama gani kimejipanga kuingia Ikulu baada ya upigaji Kura wa Uchaguzi Mkuu wa 2015.

Bila ya kupendelea, CHADEMA wako makini sana na graph yao iko juu kwa kila Wanachokifanya, Wanachaamua ama Wanachokabiliana nacho kwa ajili ya mstakabali wa chama cha chao na hatima ya kuingia Ikulu.

Wakati CCM wanaendelea na mtindo wao wa kubadili badili Makatibu wakuu kwa sababu wanashindwa kukabiliana na kasi ya Utawala Imara wa CHADEMA chama kikuu cha Upinzani.CHADEMA wao wameonyesha uthubutu wa kufanya Maamuzi magumu.

CCM kwa muda mrefu sasa kinatumia Rasilimali nyingi,Muda mwingi na Nguvu nyingi kupitia Polisi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama KWA KUJIHAMI badala ya kujijenga kuanzia ngazi zote na kwa rika zote.

CCM imebaki na Propaganda zisizo na mashiko wala hazijengi Taifa letu.Kuwatumia watu aina ya Mwigulu kwa kuibua Propaganda chafu dhidi ya Upinzani huko ni Kujidhalilisha, Kukosa mwelekeo na Kupoteza hali ya kukubalika kwa Wananchi.

Kwa ujumla zama za leo Wananchi wana uelewa wa juu sana juu ya mambo ya siasa za Nchi yetu.Wanajua Mbichi na Mbivu.

Kwa asilimia kubwa CHADEMA wanaeleweka vizuri zaidi kwa Umma kila wanapozungumzia mambo ya Kitaifa kuliko CCM.Mfano,RASIMU YA KATIBA (KATIBA MPYA), GESI na URANIUM.

kwa hali halisi iliyopo hata kwenye mikutano ya kisiasa CCM wakitaka kufanya mikutano lazima waandae masinia ya wali na malori na mabus yakusomba watu kutoka hadi wilaya nyingine ndio Mkutano angalau utajaa watu.Lakini sivyo hali ilivyo kwa CHADEMA wao bila hata ya kutoa Kanga na Tisheti bure Wananchi popote ulipo mkutano watajaa pasipo kusombwa na magari.

Kwa mtindo huu 2015 Ikulu inashauku kubwa ya Kuipokea CHADEMA.

Nchi nzima inazizima kuwalaki Viongozi wa CHADEMA,CCM hawataki kusikia maneno kama haya Lakini Ukweli ndio huu 2015 IKULU NI YA CHADEMA.

Ndoto ya mwendawazimu!!!!!

NI Zitto AU Slaa? Bado hakijaeleweka.

Kwanza malizeni mgogoro ndani ya chama, IKULU baadae.

DEMOCRACY NOW.
 
kila mtu amechoshwa na ccm lakini bado hakuna chama cha kuongoza nchi kutoka upinzani hao chadema mara nyingi wanakurupuka wajipange sana miaka 50 ijayo wanaweza shika nnchi

U r very right chadema kama kweli wanataka chama kiwe imara wawe wasikivu wafanyie kazi mapungufu yao, kama ukanda, udini, na kuacha hoja na kauli zenye nia ya kuvuruga umoja na mshikamano wa watanzania, tujifunxe kutoka kwrnye siasa za marekani wanagombana vyama, ila maslahi ya marekani wote wanasahau vyama vyao na itikadi zao wanakuwa kitu kimoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom