Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,185
- 109,048
Duniani kote serikali ikishakuwa madarakani hiyo ni serikali halali bila kujali imepatikanaje.
Serikali sio lazima ipatikane kwa kura, inaweza kupatikana hata kwa mapinduzi ya kijeshi au ya raia wengi ila ikishaingia madarakani inatambulika rasmi kuwa serikali ya nchi.
Soma pia Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane