MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,200
Viashiria vinaonyesha CDM itapigwa chini kama uchaguzi utaitishwa jioni hii KWA VILE CDM mnalingia wafuasi ambO HAWANA MVUTO katika jamii haswa wakwepa kodi.
MTZ mwenye akili timamu CDM ni chama cha wabangaizaji wachache walioweka nafsi mbele. Wewe ni mmoja wapo kwa vile upo mbele kushupalia UFISADI unaofanywa na viongozi wa juu wa CDM ambao pia wapo katika payroll ya RACHEL pamoja na gazeti lenu mlitalo TUKUFU la TANZANIA DAIMA.
Poleni, CCM itawageuza kila wakati wa uchaguzi, mtaishia katika maandamano HADI MIGUU ITAINGIA NDANI