CHADEMA hopeless

CHADEMA hopeless

Indeed they are, stolen from which Tanzanian? I am a Tanzanian and none has stolen anything from me, even our great elders who struggled for self rule from the UN never wanted to "capture power". Who are chadema to brainwash us into capturing power?

No one has asked you to join CDM. You are vehently denying our rights (we are many Tanzanians) to believe in Chadema. If you do not want to be brainwashed it is because you are already brainwashed by ---------. Remember you are a no body to dictate to anybody because I am Tanzanian who believe in the course of CDM. I will do all I can to fight for rights stolen by this CCM Gang may be you are one of them; the PEOPLE WILL DECIDE may be in favour of your line of thinking.
 
There are a bunch of jerks among the CDM who are mindless obstructionists with nothing to offer at the table.
 
Ketav a foolish son/daughter is a grief to his mother if not for anything just do it for ur mum stop showing how foolish you are because your ashaming ur mother and let us not reach a point of cursing your mother for wasting her time to give birth to you.enjoy ur day,

I suspect it’s a waste of typing to argue with you, and I know how difficult it is for those with a split political mind to think outside the confines of the two parties and their faithful followers.
 
i do not believe if Tanzania have such mental thinking. The Global of bussines is looking Tanzania as people of same thinking. Chadema now is a problem to the country. They are not a political party but a gang. Poor Tanzania i wish Gadafi could be in the country. Gang party chadema. Is a doomed party for the peace of the country.

C.C.M. Chama Cha Mafioso
 
ha ha ha - mmekamatwa na bado za masika, mlizoea kuwanyonya watu hadi tone la mwisho, hii nchi ya wote si kundi la watu mafia mnaojilimbikizia mali na kuwaacha wengine maskini wa kutupwa.

Mzee kama ulikuwa unajiandaa kugombea ubunge kwa CCM ili uendelee kula basi mambo yameshaharibika, wenye nchi yao wanaitaka - utaandika hata lugha za wenzako ila ujumbe ndiyo huo.

Watanzania wameshashtuka ndugu yangu - peleka message hii na kwa wenzio - wenye shamba wamerudi.
 
Watanzania habarini! nchi inapita katika kipindi kibaya kwa vile kuna baadhi ya wananchi wanatumia vibaya uhuru wa nchi na demokrasia. KILA siku wanataka shwari, wao amani ni kikwazo kwao kukaribia jumba la magogoni. Mwaka jana walichukua fomu na kujaribu kulifikia JUMBA la Magogoni, hata hivyo watanzania wakawaacha kwenye mataa kwa vile sera zao za PANGU PAKAVU zikakataliwa na watz.
Wakaona maamuzi ya wananchi ni mabaya hivyo;-

1. Wakasusia hafla ya kutangazwa matokeo ya URAIS
2. Wakasusia sherehe za kuapishwa Rais na TV wakazima
3. Wakawahi Dodoma kupokea posho za Ubunge
4. Wakasusia hotuba ya ufunguzi wa Bunge iliyofanywa na RAIS
5. Wakavunja umoja na vyama vingine vya upinzani BUNGENI
6. Wakavuruga zoezi la uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha
7. Wakazindua zoezi la maandamano endelevu nchini ANGENDA KUU IKIWA NI UFISADI NA KATIBA MPYA.
8. Wakatangaza wataendeleza maandamanoi nchini pamoja na Serikali ya CCM imekubali kuwepo na mjadala wa KATIBA na KUPIGA VITA UFISADI NDANI YA CCM NA SERIKALI.
9. Wakadandia MISIBA ILIYOTOKEA NYAMONGO.

HIZO NI VIASHIRIA VICHACHE JUU YA UENDESHAJE WA CHAMA FULANI CHA SIASA AMBACHO KINATAKA KUISHI KATIKA JUMBA LA MAGOGONI PASIPO KUTUMIA SANDUKU LA DEMOKRASIA.

TAFADHALI WATZ TUENDESHE MAOMBI KWA CHAMA HIKI KISICHO NA MTAZAMO WA UTAIFA NA TANZANIA KWANZA ILI WAONDOKANE NA STYLE YS SIASA WANAYOITUMIA KWANI INA MADHARA MAKUBWA KWA WANANCHI.

SINA HAJA YA KUTAJA CHAMA HUSIKA KWA VILE WANA JF WOTE WANAKIJUA CHAMA KINACHOENDA NJE YA MSTARI NA KOTOJALI MAMLAKA YA DOLA ILIYOPEWA RIDHAA NA WANANCHI.

Ukisoma kichwa cha habafri na hapo nilipoweka red sijui unapata picha gani
 
Wewe Mafilili hizo article zako ni UKWELI na sisi CDM hatuzitaki, UWE UNALETA ZA MISIFA KWETU :mimba:
 
Ukisoma kichwa cha habafri na hapo nilipoweka red sijui unapata picha gani
Jamani CCm imekwisha kabisa tuache utani inatakiwa ibadilishwe upya kabisaa!
Msiwasingizie RACHEAL hawa hawana tatizo kila sehemu na kila chama mafisadi wapo lakini mnatumia mbinu gani kuwadhibiti wasiinuke hilo ndo tatizo la ccm na kama mawazo yenu ndo hayo hapo juu, LOWASA NA WENZIE WATAENDELEA KUWABULUZA SANA WASHENZI NYIE. MMEALIBU KABISA CCM! (nasikia mnakiita chama cha magamba)
 
Watanzania habarini! nchi inapita katika kipindi kibaya kwa vile kuna baadhi ya wananchi wanatumia vibaya uhuru wa nchi na demokrasia. KILA siku wanataka shwari, wao amani ni kikwazo kwao kukaribia jumba la magogoni. Mwaka jana walichukua fomu na kujaribu kulifikia JUMBA la Magogoni, hata hivyo watanzania wakawaacha kwenye mataa kwa vile sera zao za PANGU PAKAVU zikakataliwa na watz.
Wakaona maamuzi ya wananchi ni mabaya hivyo;-

1. Wakasusia hafla ya kutangazwa matokeo ya URAIS
2. Wakasusia sherehe za kuapishwa Rais na TV wakazima
3. Wakawahi Dodoma kupokea posho za Ubunge
4. Wakasusia hotuba ya ufunguzi wa Bunge iliyofanywa na RAIS
5. Wakavunja umoja na vyama vingine vya upinzani BUNGENI
6. Wakavuruga zoezi la uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha
7. Wakazindua zoezi la maandamano endelevu nchini ANGENDA KUU IKIWA NI UFISADI NA KATIBA MPYA.
8. Wakatangaza wataendeleza maandamanoi nchini pamoja na Serikali ya CCM imekubali kuwepo na mjadala wa KATIBA na KUPIGA VITA UFISADI NDANI YA CCM NA SERIKALI.
9. Wakadandia MISIBA ILIYOTOKEA NYAMONGO.

HIZO NI VIASHIRIA VICHACHE JUU YA UENDESHAJE WA CHAMA FULANI CHA SIASA AMBACHO KINATAKA KUISHI KATIKA JUMBA LA MAGOGONI PASIPO KUTUMIA SANDUKU LA DEMOKRASIA.

TAFADHALI WATZ TUENDESHE MAOMBI KWA CHAMA HIKI KISICHO NA MTAZAMO WA UTAIFA NA TANZANIA KWANZA ILI WAONDOKANE NA STYLE YS SIASA WANAYOITUMIA KWANI INA MADHARA MAKUBWA KWA WANANCHI.

SINA HAJA YA KUTAJA CHAMA HUSIKA KWA VILE WANA JF WOTE WANAKIJUA CHAMA KINACHOENDA NJE YA MSTARI NA KOTOJALI MAMLAKA YA DOLA ILIYOPEWA RIDHAA NA WANANCHI.

Sidhani kama huu ujumbe ulioweka hapa unamaana gani maana haueleweki na upo kama vile unataka kuonewa huruma na kubembelezana. Huu ujumbe mahali pake ni kwenye facebook kwa wambea wenzako kama kina nape shyroze na viky kamata nadhani ndo mtabembelezana vizuri sisi hapa twataka kazi na uwaibikaji maana hakuna maendeleo bila mboko na ole wenu tupate hii nchi kwa kweli mtanyooka na kazi zitafanyika
 
kweli nimeamini kuna watu wana upeo mdogo wa kufikiri, kwa hali ya sasa ya nchi yetu, ufisadi, rushwa, umaskini na mengineyo, siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuandika au kusema manaeno kama haya ambayo hayana hekima hata kidogo.

Inaweza kuwa ni ufahamu wako mdogo ila utaelewa kadri muda unavyoenda.
 
watanzania habarini! Nchi inapita katika kipindi kibaya kwa vile kuna baadhi ya wananchi wanatumia vibaya uhuru wa nchi na demokrasia. Kila siku wanataka shwari, wao amani ni kikwazo kwao kukaribia jumba la magogoni. Mwaka jana walichukua fomu na kujaribu kulifikia jumba la magogoni, hata hivyo watanzania wakawaacha kwenye mataa kwa vile sera zao za pangu pakavu zikakataliwa na watz.
Wakaona maamuzi ya wananchi ni mabaya hivyo;-

1. Wakasusia hafla ya kutangazwa matokeo ya urais
2. Wakasusia sherehe za kuapishwa rais na tv wakazima
3. Wakawahi dodoma kupokea posho za ubunge
4. Wakasusia hotuba ya ufunguzi wa bunge iliyofanywa na rais
5. Wakavunja umoja na vyama vingine vya upinzani bungeni
6. Wakavuruga zoezi la uchaguzi wa meya wa jiji la arusha
7. Wakazindua zoezi la maandamano endelevu nchini angenda kuu ikiwa ni ufisadi na katiba mpya.
8. Wakatangaza wataendeleza maandamanoi nchini pamoja na serikali ya ccm imekubali kuwepo na mjadala wa katiba na kupiga vita ufisadi ndani ya ccm na serikali.
9. Wakadandia misiba iliyotokea nyamongo.

Hizo ni viashiria vichache juu ya uendeshaje wa chama fulani cha siasa ambacho kinataka kuishi katika jumba la magogoni pasipo kutumia sanduku la demokrasia.

Tafadhali watz tuendeshe maombi kwa chama hiki kisicho na mtazamo wa utaifa na tanzania kwanza ili waondokane na style ys siasa wanayoitumia kwani ina madhara makubwa kwa wananchi.

Sina haja ya kutaja chama husika kwa vile wana jf wote wanakijua chama kinachoenda nje ya mstari na kotojali mamlaka ya dola iliyopewa ridhaa na wananchi.

lete umeme kwanza kabla hujamaliza hizi pumba zako. Lete umeme hata kama unatoka kwenye makalio ya fisi. Lete umeme then ndio tuongee
 
you are also been taken by Chadema's wind
. Use your brain to visual beyond horizon. chadema is a Company owned fem noise maker. Go 2 sleep. Leave the tanzania poor but rich in peace.

i am sure 4 100 percent you must be mad,if u have nothng 2 say abt us tanzanians you better kip quet kabsa.
 
lete umeme kwanza kabla hujamaliza hizi pumba zako. Lete umeme hata kama unatoka kwenye makalio ya fisi. Lete umeme then ndio tuongee

CDM kama nyie mna uchungu kwa watz wanaofiwa, kawekeni dawati muhimbili HAPO tutawaelewa
 
Watanzania habarini! nchi inapita katika kipindi kibaya kwa vile kuna baadhi ya wananchi wanatumia vibaya uhuru wa nchi na demokrasia. KILA siku wanataka shwari, wao amani ni kikwazo kwao kukaribia jumba la magogoni. Mwaka jana walichukua fomu na kujaribu kulifikia JUMBA la Magogoni, hata hivyo watanzania wakawaacha kwenye mataa kwa vile sera zao za PANGU PAKAVU zikakataliwa na watz.
Wakaona maamuzi ya wananchi ni mabaya hivyo.....) Quote-

Kama unaipenda nchi yako tafuta soln ya umaskini wa nchi yako hizo longo longo nyingine ni wastage of time. It is time to look for solutions sio kulalama arggh!
 
Ama kweli, sikio la kufa halisikii dawa. Hata liende kwa babu bado yatakuwa yaleyale!
 
Watanzania habarini! nchi inapita katika kipindi kibaya kwa vile kuna baadhi ya wananchi wanatumia vibaya uhuru wa nchi na demokrasia. KILA siku wanataka shwari, wao amani ni kikwazo kwao kukaribia jumba la magogoni. Mwaka jana walichukua fomu na kujaribu kulifikia JUMBA la Magogoni, hata hivyo watanzania wakawaacha kwenye mataa kwa vile sera zao za PANGU PAKAVU zikakataliwa na watz.
Wakaona maamuzi ya wananchi ni mabaya hivyo.....) Quote-

Kama unaipenda nchi yako tafuta soln ya umaskini wa nchi yako hizo longo longo nyingine ni wastage of time. It is time to look for solutions sio kulalama arggh!

Basi muwe wastaarabu msiwe mnadandia misiba ya watu msiokuwa na uhusiano wowote
 
Watanzania habarini! nchi inapita katika kipindi kibaya kwa vile kuna baadhi ya wananchi wanatumia vibaya uhuru wa nchi na demokrasia. KILA siku wanataka shwari, wao amani ni kikwazo kwao kukaribia jumba la magogoni. Mwaka jana walichukua fomu na kujaribu kulifikia JUMBA la Magogoni, hata hivyo watanzania wakawaacha kwenye mataa kwa vile sera zao za PANGU PAKAVU zikakataliwa na watz.
Wakaona maamuzi ya wananchi ni mabaya hivyo;-

1. Wakasusia hafla ya kutangazwa matokeo ya URAIS
2. Wakasusia sherehe za kuapishwa Rais na TV wakazima
3. Wakawahi Dodoma kupokea posho za Ubunge
4. Wakasusia hotuba ya ufunguzi wa Bunge iliyofanywa na RAIS
5. Wakavunja umoja na vyama vingine vya upinzani BUNGENI
6. Wakavuruga zoezi la uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha
7. Wakazindua zoezi la maandamano endelevu nchini ANGENDA KUU IKIWA NI UFISADI NA KATIBA MPYA.
8. Wakatangaza wataendeleza maandamanoi nchini pamoja na Serikali ya CCM imekubali kuwepo na mjadala wa KATIBA na KUPIGA VITA UFISADI NDANI YA CCM NA SERIKALI.
9. Wakadandia MISIBA ILIYOTOKEA NYAMONGO.

HIZO NI VIASHIRIA VICHACHE JUU YA UENDESHAJE WA CHAMA FULANI CHA SIASA AMBACHO KINATAKA KUISHI KATIKA JUMBA LA MAGOGONI PASIPO KUTUMIA SANDUKU LA DEMOKRASIA.

TAFADHALI WATZ TUENDESHE MAOMBI KWA CHAMA HIKI KISICHO NA MTAZAMO WA UTAIFA NA TANZANIA KWANZA ILI WAONDOKANE NA STYLE YS SIASA WANAYOITUMIA KWANI INA MADHARA MAKUBWA KWA WANANCHI.

SINA HAJA YA KUTAJA CHAMA HUSIKA KWA VILE WANA JF WOTE WANAKIJUA CHAMA KINACHOENDA NJE YA MSTARI NA KOTOJALI MAMLAKA YA DOLA ILIYOPEWA RIDHAA NA WANANCHI.

Hoja zako zinalenga kukitetea chama cha mapinduzi(MAGAMBA) kwa lengo la kuendeleza uongozi mbovu kwa maslahi ya wachache(viongozi wa CCM) kwa kuwahadaa wajinga wachache waliofaidika na fulana na kofia wakati wa uchaguzi 2010. Uongo wako kwa manufaa ya waliokutuma ni kama ifuatavyo:

  1. Mwaka jana walichukua fomu na kujaribu kulifikia JUMBA la Magogoni, hata hivyo watanzania wakawaacha kwenye mataa kwa vile sera zao za PANGU PAKAVU zikakataliwa na watz. Watanzania hawakuichagua CCM, CCM iliwekwa madarakani na Tume ya Uchaguzi na vyombo vya dola. Ni bahati mbaya sana sheria za uchaguzi na katiba haviruhusu matokeo ya urais kupingwa/kuhojiwa mahakamani. Kama unabisha mshauri mwenyekiti wa chama cha Magamba apite mikoani kuwashukuru wananchi kwa kumchagua. Hatathubutu kwa sababu anajua alichaguliwa na Tume ya uchaguzi na polisi. Pia ifahamike kuwa uchakachuaji wa kura unaonyesha kuwa chama cha magamba kilipigiwa kura na watanzania milioni tano. Hii in maana kuwa rais anaungwa mkono na 1/4 (25%) ya watanzania baada ya uchakachuaji. asilimia 75% hawaonyeshi kumuunga mkono rais na chama chake cha magamba. Si sahihi kudai eti CDM hawakuungwa mkono na watz kwa sababu sera zao siyo nzuri. Sera za CDM ni nzuri na zinatekelezeka; Hata CCM wameanza kuzitekeleza. Sera za CDM zilizoanza kutekelezwa ni pamoja na Kuandaa katiba mpya ya Tanzania. Ilani ya CCM haijataja kuwa watatengeneza katiba mpya.
2. Wakavuruga zoezi la uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha: Uchaguzi wa meya wa Arusha ulivurugwa na CCM kwa maslahi ya wakubwa. Kanuni zinaeleza wazi kuwa akidi ya kikao cha madiwani ni 3/4. Madiwani wa CCM hawafiki idadi inayotakiwa kufanya maamuzi. Pia Mary Chatanda hakustahili kupiga kura. Mkurugenzi ambaye ni kada wa chama cha magamba alishirikiana na madiwani wa chama chake kuvuruga uchaguzi. Najua kuna wapumbavu watahoji mbona CDM hawakwenda mahakamani? Haki mbele ya hakimu aliyewekwa na mkuu wa chama cha magamba haiwezi kutolewa. Mahakama zetu zinatoa maamuzi kwa maslahi ya wakubwa na si kwa mujibu wa sheria.

3. Kuhusu vita dhidi ya ufisadi: Si kweli CCM inapambana na ufisadi. CCM haiwezi kupambana na ufisadi kwa sababu miongoni mwa viongozi wakuu hakuna aliyemsafi. Mfano kiongozi mkuu wa Chama cha Magamba alitajwa hadharani na CDM kuwa ni fisadi. Alinyamaza, maana yake ni kuwa tuhuma dhidi yake ni za kweli. Kama yeye si fisadi kwa nini hawachukulii hatua waliomtaja kwa ufisadi? Kinachoendelea ndani ya CCM si kuvua magamba kama wanavyotaka tuamini bali ni mpambano wa nani agombee urais 2015. Badala ya kutekeleza ilani ambayo tume ya uchaguzi iliona inafaa hata kikawapa ushindi, wao wanafikiria urais 2015.

Ikumbukwe kuwa ule wakati wa kupigiwa makofi hata kama hakuna la maana mnalofanya umepita. Akili za wana-magamba wengi zimefungwa na mavazi ya kijani na njano. Kazi yao kuvaa mavazi ya njano/kijana na kubeba bendera yao hata kama mkutano ni wa wananchi wote. Hongera watu wa hai kwa kumpa kichapo mwenyekiti aliyevaa mavazi ya kijani na kupeperusha bendera ya chama cha magamba wakati wa mkutano wa wanakijiji wote.
 
Back
Top Bottom