CHADEMA hopeless

CHADEMA hopeless

The issue is, who else if not a comatose accepts willingly to follow a leader as such? Zhu was so polite to say cdm "Mind is asleep." I say, the followers are comatose! reasons are obvious.

Unakifu sijui una jinsia gani kwani michango yako inafanana na wasio na aibu kutokana na matendo fulani
 
all who are to chadema have no diferency betweem educated and lay people. All have no coordination btn brain and body signs. Very sorry to tanzanian. What ever you comment for chadema your all are like. Mind is asleep.

Kiingereza kibovu mpaka basi, kwani umelazimishwa kutumia lugha usiyoijua vizuri? Kwanini usitumie kiswahili tu?
 
Nilifikiri vyama vya siasa lengo lake ni kuwatumikia wananchi! Sasa umenifahamisha "lengo" la cdm na nimelielewa, so they are just after capturing "power!".

They are capturing "power!" stolen from Tanzanians
 
However, hopeless they are, but we should ask ourselves why Tarime killings and CHEDEMA shouting? There must be something wrong or correct behind all these. So we must learn something from their hopelessness, instead of cursing them and doing nothing to restore the situation.
 
We vipi?Umetumwa?CCM ni dume la mbegu,CCM ni chama kikongwe,Mkuu wa kaya ana mauzoefu ya kufa mtu,akoseshwe usingizi na CDM?We ndio sijui uko nchi gani.Ahadi zote atazitekeleza tu si bado muda haujafika.Ameanza na zile bajaji 400 za wajawazito,itafuata meli ya Mv Bukoba na Dar kujengwa Fly over.We subiri uone
 
Nilifikiri vyama vya siasa lengo lake ni kuwatumikia wananchi! Sasa umenifahamisha "lengo" la cdm na nimelielewa, so they are just after capturing "power!".

Ulifikiri lakini kumbe hujui, lengo na madhumuni ya vyama vya kisiasa duniani kote ni kutawala dola na si zaidi ya hapo, na inapotokea dola inatawaliwa na chama ambacho si chako kazi yako inakuwa kuangalia ni wapi wamekosea, ili uwatumikie wananchi inakupasa kukusanya kodi na kuzitumia kuwaletea maendeleo na wakusanya kodi hao ni chama tawala, upinzani unawatumikia kwa kukosoa chama tawala, chama cha siasa sio charitable organization kinakosoa chama tawala na kuhakikisha chama tawala kinapeleka huduma muhimu, utawala wa haki na sheria na matumizi bora ya rasilimali, kwa kuzingatia hayo chadema kimekuwa chama pekee kinachowatumikia wananchi kwa kuikosoa ccm na serikali yake kwa kila kona na hapo ndipo mnapoumia, vumilieni kwakuwa nyie ni chama tawala na mmeshindwa kutimiza malengo ya watanzania.
 
Ufinyu wa mawazo unamsumbua yawezekana hata shule yake ndogo,hivi toka lini mtu au binadamu ukazuiwa kwenda kuzika maiti hata kama siyo ya ndugu yako isitoshe hata ikiwa umbali gani,mbona tunashuhudia watu wanatoka ulaya kuja kuzika marafiki tu wala si ndugu,au wengine wanaacha mizunguko yao na kwenda kuzika hata kufunga duka pindi maiti itakapopitishwa mbele ya sehemu yake kama sehemu ya mwisho kwa marehemu,sasa kuna mantiki gani ya kuwakamata kina Lissu eti wametoka Singida hawajilikani ni nini walichofuata Tarime,natamani ningekuwa wakili wa hiyo kesi nipandishe CV zangu kwa ufinyu wenu wa kufikiri.Haina tija tena hata ile mikopo tuliyoahidiwa na wahisani inaweza kufutwa kwa sababu wote tutaonekana mbumbumbu wa sheria kama kamanda CO .Mas.
 
Atimize tu kwani ameshikwa mikono? Tatizo ni mieleka itakavyo fululiza kwani ulinzi usioonekana umekoma.
 
ha ha ha, kwa mfumo huu hizo ahadi hazitekelezeki --- yaani hata 10% hafikishi. hapo CHADEMA kazi ni kwenda kuishitaki serikali kwa wananchi sababu imeshindwa kutatua matatizo hata yale ya msingi.

Safari hii hakuna kupumzika baada ya uchaguzi ni mchaka mchaka tu - ofisi sasa hivi ni za moto - Bravo CHADEMA kuwanyima maofisa usingizi - ha ha
 
i do not believe if Tanzania have such mental thinking. The Global of bussines is looking Tanzania as people of same thinking. Chadema now is a problem to the country. They are not a political party but a gang. Poor Tanzania i wish Gadafi could be in the country. Gang party chadema. Is a doomed party for the peace of the country.
I do not expect a person like you to POST SOMETHING DIFFERENT FROM THIS..... Nyie ndo akina.............. ZIDUMU FIKRA ZA MAGAMBA NO MATTER WHAT...............!!!!!!!!!!!!!!
 
Yes! Hasa ile ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania kwa ari mpya. nguvu mpya na kasi mpya (AGUKA)!
 
Ulifikiri lakini kumbe hujui, lengo na madhumuni ya vyama vya kisiasa duniani kote ni kutawala dola na si zaidi ya hapo, na inapotokea dola inatawaliwa na chama ambacho si chako kazi yako inakuwa kuangalia ni wapi wamekosea, ili uwatumikie wananchi inakupasa kukusanya kodi na kuzitumia kuwaletea maendeleo na wakusanya kodi hao ni chama tawala, upinzani unawatumikia kwa kukosoa chama tawala, chama cha siasa sio charitable organization kinakosoa chama tawala na kuhakikisha chama tawala kinapeleka huduma muhimu, utawala wa haki na sheria na matumizi bora ya rasilimali, kwa kuzingatia hayo chadema kimekuwa chama pekee kinachowatumikia wananchi kwa kuikosoa ccm na serikali yake kwa kila kona na hapo ndipo mnapoumia, vumilieni kwakuwa nyie ni chama tawala na mmeshindwa kutimiza malengo ya watanzania.

Kumbuka, kutawala na ku "capture power" ni vitu viwili tofauti.
 
They are capturing "power!" stolen from Tanzanians

Indeed they are, stolen from which Tanzanian? I am a Tanzanian and none has stolen anything from me, even our great elders who struggled for self rule from the UN never wanted to "capture power". Who are chadema to brainwash us into capturing power?
 
We vipi?Umetumwa?CCM ni dume la mbegu,CCM ni chama kikongwe,Mkuu wa kaya ana mauzoefu ya kufa mtu,akoseshwe usingizi na CDM?We ndio sijui uko nchi gani.Ahadi zote atazitekeleza tu si bado muda haujafika.Ameanza na zile bajaji 400 za wajawazito,itafuata meli ya Mv Bukoba na Dar kujengwa Fly over.We subiri uone
mwambie watu wa Chunya tunasubiri meli yetu,
 
JK anakwamishwa na fikra zake mwenyewe, anakwamishwa na uoga wake mwenyewe, anajikwamisha , ameshindwa kazi kabisa
 
Mkumbushe, tunasubiri viwanja vya ndege, meli, ma-fly overs etc.
Amkumbushe yule waziri wake wa mambo ya ndani siku 60 zimekwisha na hivyo tunahitaji vitambusho. Tehe tehe teheee
 
you are also been taken by Chadema's wind
. Use your brain to visual beyond horizon. chadema is a Company owned fem noise maker. Go 2 sleep. Leave the tanzania poor but rich in peace.

Do you really know the meaning of peace? For your abject poverty and peace are not compatible. Read the Statement of Barrick regarding Nyamongo killings they admit abject poverty id the cause of the killings.
 
Indeed they are, stolen from which Tanzanian? I am a Tanzanian and none has stolen anything from me, even our great elders who struggled for self rule from the UN never wanted to "capture power". Who are chadema to brainwash us into capturing power?

Power is captured by CCM through vote rigging in each and every election.
 
Back
Top Bottom